Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Dah mnatoka mpaka jasho lameno kwa kujieleza hivi mnapungukiwa nini watu wakiamini msivyo amini?
 
Mungu atabaki kuwa Mungu hata kama unaumwa na huponi au una shida milioni bado Mungu anabaki kuwa Mungu
Wana aminigi siku pumzi zikibana na kuachia ila inakua wesha chelewa mana hata kidole hakinyanyuki mda huo
 
Unakubali kuniita mimi ni mungu lakini ajabu hunitolei sadaka, je hivi ndivyo ambavyo inatakiwa kum-treat mungu?

Kama mimi ni mungu na inawezekana kuthibitisha kua nipo, kwanini isiwe hivyo hivyo kwa hao miungu mingine ambayo mnaiabudu na kudai ipo?

Hiyo imani ya hakuna mungu ina hubiriwa na dini gani?
 
Imani yako ya kiroho imetoka kwenye msingi wa dini gani?

Mtu wa dini tofauti na yako akisema mungu wako ni wa uongo na dini yako si njia sahihi kwasababu imani yake ya kiroho imesema hivyo, utakubali?

Utakubali dini yako na mungu wako ni wa uongo kwasababu jibu la kujua uwongo wao ni imani ya kiroho aliyooneshwa mwingine ambaye yuko kinyume na imani yako, na wewe usingeweza kujua ukweli huu kwasababu msingi wa imani yako ni potofu unakufanya ujione upo sahihi wakati sio kweli?
 
extra-ordinary claims require extra-ordinary proof
 
Hiyo mistari 2 mwisho naumiza sana kicwa wanalipwa na nani mana wanaoamini wanategemea malipo sasa kwa nini wanawapinga?
wanajifanya hawa amini shetani huku wanamfanyia kazi yake tena kwa nguvu
 
extra-ordinary claims require extra-ordinary proof
Asee we na kuchwizzy nyie ni watu hatari sana.

Kwamba mnahitaji mtu aje na ushahidi? ndio ushahidi mtapata kuweni na subira.

Lakini jambo ambalo nashindwa kuelewa kutoka kwenu ni kwamba nyie wote wawili ni kitu gani ambacho mnaweza kuonyesha ulimwengu kwamba haya ndio mambo yetu tofauti na kurejea kwenye kazi za watangulizi wenu.

Najua uwezo huo hamna kwa maana mnachojua ni kuja kueleza mambo ambayo wanasayansi wenzenu walishafanya kitu ambacho kila mtu anaweza.

And for your information, hapa hakuna mtu yoyote katoa ushahidi wowote wa maana.Si nyie wala wanaosema Mungu yupo.Kinachofanyika hapa ni kwamba kila mtu anajaribu kuelezea upande wake.Na kitu kizuri ni kwamba wote walioweza kufanya kitu hapa duniani had power and authority means walisimama wakasema wanachojua sio walichosoma au kusikia.Kitu ambacho wewe bado naweza sema

Moreover, don't think am trying to disrespect you but am telling the truth
 
Hayo ni mapokeo ya wanadamu
 
miungu mtu.
 
Bro tunaishi kwenye information age.
Tayari watu smart kuliko sisi wamesha lay foundation nzuri ya maarifa yetu

Sisi tunachofanya ni kusimama juu ya mabega yao tu
Newton mwenyewe aliwahi kukiri kuwa, mafanikio yake yote ni kwasababu alisimama juu ya mabega ya watu smart kuliko yeye waliomtangulia before (Galileo, Keplers etc)

Hii ina apply kwa kila Philosopher, Thinker, na scientist

Sasa wewe ulitegemea sisi tuje na original research yetu kwa kila tunachosema ili uamini?

Huu mjadala wa uwepo wa Mungu una ma elfu na elfu ya miaka,
Kuna arguments zishatolewa na kuwa refuted pia

Tunatumia best arguments zilizopo, siku tukija na mpya tuta share pia na dunia kwa faida ya kila mmoja kama walivyofanya wenzetu
 
Sisi kushidwa kuuonyeshea ulimwengu kitu chochote hakuthibitishi madai yako kua ni ya kweli, lakini hata hivyo bado hainizuii nishindwe kuhoji madai ambayo kwa namna moja au nyingine yamedaiwa kua ni ya kweli at the same time yana ambiguity ndani yake.

Ni kama vile ambavyo wewe huna uwezo wa elimu ya mambo ya anga sitegemei kuona ukikubali endapo ukiambiwa huko juu katikati ya jua kuna chupa ya chai inazunguka, hivyo kwakua huna clue yeyote kuhusiana na mambo ya anga inakubidi ukubali habari hiyo, utakubali?

Unahitaji elimu ya sayansi ya kiwango gani kuweza kujua unicorn ni mythical creature?

Wait.... umesema hakuna aliyetoa ushahidi wowote mpaka sisi? Ushahidi gani ambao sisi tunahitajika kuutoa kwenu nyinyi?
 
We hujui hata jinsi ya kusoma na kujibu hoja...
Unajibu tu unavyoelewa
Shida niliyo ona kwako hata ulichokiuliza hukijui au unataka nijibu unavyotaka wewe. Nilivyo mimi huwa najibu kwa usahihi yaani inavyotakiwa.
Nimekuuliza kwanini Allah asingeteua katika Kila kabila na kila jamii ya watu, Asia, Ulaya, Africa, America etc mitume yake ambayo ingesambaza ujumbe kuhusu uislamu kwa wakati mmoja tena usiopingana
Ulivyo kuwa mjinga swali hili nimekujibu kwa kukuwekea ay kabisa ya kuwa katika kila umma Allah alipeleka mjumbe. Sasa nashangaa unavyosema kwamba sijajibu.

Lakini kingine nikakwambia ya kuwa hata wsle ambao hawakufikiwa na ujumbe wamewekewa hukumu yao,sababu Mola wetu anajua hilo na ametaka iwe hivyo.

Unaposema bila kupingwa unataka kuondoa suala la uhuru,Mola wetu alituumba akatupa akili na akatupa uhuru wa kuchagua. Sasa usilazimishe tujibu ujinga na uongo,kama unavyotaka wewe sisi tunajibu uhalisia.
 
Njia hii ingekua na manufaa mengi Sana
Usilete dhana katika uhalisia jambo liko dhidi yako.
Moja kusingekua na huu utitiri wa dini nyingi ambazo zinamfanya mtu kutokua kuwa na uhakika ipi ni sahihi
Uwepo wa dini nyingi ni hiari ya watu leo pasingekuwa na uhuru mngedai na kulalama juu ya hilo.

Mwanadamu kiasili ni mtu kubadilika.

Lingine kwamba si kweli ya kuwa ukweli au usahihi haupo yaani kila kitu kipo wazi ni kuchukua tu na kufanyia kazi. Mfano mzuri leo hii nani asiye jua madhara ya kunywa pombe ? Lakini kwanini watu wanakunywa ? Sababu wameamua na huu ndiyo uhuru lakini katika vitabu tumeshaambiwa ya kuwa pombe ni haramu.

Sasa fikiri kielimu na usifikirie kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…