EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
[emoji28][emoji28][emoji28]Mbona unanilisha maneno, wapi nimesema hayo uliyoandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28]Mbona unanilisha maneno, wapi nimesema hayo uliyoandika.
Safi.
Hapo sasa tunaweza jadili bila ambiguity yoyote kuhusu neno Mungu
Kiranga unapomuuliza kuhusu uwepo wa Mungu, huwa ana respond kwa kukutaka wewe uthibitishe uwepo wa Mungu
Kama ushawahi kushangazwa na response ya namna hio, Logic nyuma yake ni hii.
Unapokuja na claim ( hoja) ya kitu chochote,sio lazima iwe kuhusu Mungu au imani, hii ni just basic logic
Mwenye jukuma la kuthibitisha hio claim, ni wewe
Sisi wengine, by default tutakua denials (Tutapinga, hata kama hatuna evidence)
Kwa mfano, ukisema kuna farasi mwenye pembe moja (unicorn 🦄) na ukatwambia sisi, sisi hatuwezi amini moja kwa moja... Hata kama hatuta kukatalia waziwazi kiuhalisia tutakua denials wa hoja yako mpaka utakapo tuonyesha huyo farasi mwenye pembe moja
Tukisema hakuna Farasi mwenye pembe moja, hii sio hoja yetu, (kuna negation) hapo
Hoja ni Farasi mwenye pembe moja, so sisi hatuna mzigo wa kuthibitisha kauli yetu, ni just plain simple
Hakuna ushahidi
Wewe ndio mwenye jukumu na mzigo wa kuthibitisha
Thibitisha kuwa Mungu yupo, mapingamizi yetu yatategemea na uthibitisho wako
Usi quote Quran, we've been through this before
Ni logical fallacy
Dah mnatoka mpaka jasho lameno kwa kujieleza hivi mnapungukiwa nini watu wakiamini msivyo amini?Safi.

kwanza unajua nini mana ya mungu mkuu?So unakubaliana na mimi kuwa mungu,miungu ni people's invention tu from their imagination au unakata kauli hii
Wana aminigi siku pumzi zikibana na kuachia ila inakua wesha chelewa mana hata kidole hakinyanyuki mda huoMungu atabaki kuwa Mungu hata kama unaumwa na huponi au una shida milioni bado Mungu anabaki kuwa Mungu
Unakubali kuniita mimi ni mungu lakini ajabu hunitolei sadaka, je hivi ndivyo ambavyo inatakiwa kum-treat mungu?Hata wewe hapo ni mungu, kwani mara ngapi mnafundisha kuwa mwanadam ndio mungu mwenyewe? Na anajitawala kabisa katika uungu wake. Leo unauliza kuhusu thor.Hao wote ni miiungu na ipo mingi zaidi na zaidi
Ndio mana imani ni nyingi na hata mnazo waaminisha watu kuwa hakuna Mungu nazo ni mielekeo ya kiimani pia.
point yangu iko kwenye swali hili ulilolikimbiaUnazunguka sana go straight to the point
point yako ni nin?
Imani yako ya kiroho imetoka kwenye msingi wa dini gani?Ndio hapo wewe unapo taka mtu akudhibitishie uwepo wa Mungu nje ya imani, kila kitu kina njia zake za kujitambulisha. Uwepo wa Mungu mtu atauona akijikita katika elimu hiyo. Ni sawa na leo nikuambie mambo ya uchawi utanikatalia kata kata, si kwambo hayapo ila ni kwamba hauyajui na wala njia zake hauna ufahamu nazo.
Ukinikubalia ni sawa na usiponikubalia pia ni sawa. Kwa sababu si kila jambo utaweza kulijua. Ila kuna mambo mengi usiyoyajua nje ya elimu zako
extra-ordinary claims require extra-ordinary proofCarl sagan aliwahi kusema
Tuhuma nzito zinahitaji ushahidi mzito
Hayo maelezo uliyoyatoa kuhusu majini na misukule ni ya kawaida sana
Mimi mwenyewe binafsi naweza buni maelezo mazuri na yakushangaza kuliko hayo
Yote unayoyaeleza,script writers wabovu wa bongo movie wanaweza buni zaidi ya hapo
Njoo na ushahidi extraordinary kuhusu Majini, mizimu au misukule
Sio hizi ambazo mwandishi yoyote anaweza akatunga
Katika maelezo yako sijaona kitu cha kuni convince
Sijaona compelling evidence yoyote
Umerudia yale yale tunayo yasikia kila siku kwenye masimulizi na kuyaona kwenye movie
Kuwa majini yanakaa baharini, misukule ina nywele ndefu
Mizimu inakaa porini etc..
Hiyo mistari 2 mwisho naumiza sana kicwa wanalipwa na nani mana wanaoamini wanategemea malipo sasa kwa nini wanawapinga?Unakubali kuniita mimi ni mungu lakini ajabu hunitolei sadaka, je hivi ndivyo ambavyo inatakiwa kum-treat mungu?
Kama mimi ni mungu na inawezekana kuthibitisha kua nipo, kwanini isiwe hivyo hivyo kwa hao miungu mingine ambayo mnaiabudu?
Hiyo imani ya hakuna mungu ina hubiliwa na dini gani?
sielew chochotpoint yangu iko kwenye swali hili ulilolikimbia
unaelewa nini kuhusu "burden of proof"?
Asee we na kuchwizzy nyie ni watu hatari sana.extra-ordinary claims require extra-ordinary proof
Hayo ni mapokeo ya wanadamuImani yako ya kiroho imetoka kwenye msingi wa dini gani?
Mtu wa dini tofauti na yako akisema mungu wako ni wa uongo na dini yako si njia sahihi kwasababu imani yake ya kiroho imesema hivyo, utakubali?
Utakubali dini yako na mungu wako ni wa uongo kwasababu jibu la kujua uwongo wao ni imani ya kiroho aliyooneshwa mwingine ambaye yuko kinyume na imani yako, na wewe usingeweza kujua ukweli huu kwasababu msingi wa imani yako ni potofu unakufanya ujione upo sahihi wakati sio kweli?
miungu mtu.Unakubali kuniita mimi ni mungu lakini ajabu hunitolei sadaka, je hivi ndivyo ambavyo inatakiwa kum-treat mungu?
Kama mimi ni mungu na inawezekana kuthibitisha kua nipo, kwanini isiwe hivyo hivyo kwa hao miungu mingine ambayo mnaiabudu na kudai ipo?
Hiyo imani ya hakuna mungu ina hubiriwa na dini gani?
Bro tunaishi kwenye information age.Asee we na kuchwizzy nyie ni watu hatari sana.
Kwamba mnahitaji mtu aje na ushahidi? ndio ushahidi mtapata kuweni na subira.
Lakini jambo ambalo nashindwa kuelewa kutoka kwenu ni kwamba nyie wote wawili ni kitu gani ambacho mnaweza kuonyesha ulimwengu kwamba haya ndio mambo yetu tofauti na kurejea kwenye kazi za watangulizi wenu.
Najua uwezo huo hamna kwa maana mnachojua ni kuja kueleza mambo ambayo wanasayansi wenzenu walishafanya kitu ambacho kila mtu anaweza.
And for your information, hapa hakuna mtu yoyote katoa ushahidi wowote wa maana.Si nyie wala wanaosema Mungu yupo.Kinachofanyika hapa ni kwamba kila mtu anajaribu kuelezea upande wake.Na kitu kizuri ni kwamba wote walioweza kufanya kitu hapa duniani had power and authority means walisimama wakasema wanachojua sio walichosoma au kusikia.Kitu ambacho wewe bado naweza sema
Moreover, don't think am trying to disrespect you but am telling the truth
Sisi kushidwa kuuonyeshea ulimwengu kitu chochote hakuthibitishi madai yako kua ni ya kweli, lakini hata hivyo bado hainizuii nishindwe kuhoji madai ambayo kwa namna moja au nyingine yamedaiwa kua ni ya kweli at the same time yana ambiguity ndani yake.Asee we na kuchwizzy nyie ni watu hatari sana.
Kwamba mnahitaji mtu aje na ushahidi? ndio ushahidi mtapata kuweni na subira.
Lakini jambo ambalo nashindwa kuelewa kutoka kwenu ni kwamba nyie wote wawili ni kitu gani ambacho mnaweza kuonyesha ulimwengu kwamba haya ndio mambo yetu tofauti na kurejea kwenye kazi za watangulizi wenu.
Najua uwezo huo hamna kwa maana mnachojua ni kuja kueleza mambo ambayo wanasayansi wenzenu walishafanya kitu ambacho kila mtu anaweza.
And for your information, hapa hakuna mtu yoyote katoa ushahidi wowote wa maana.Si nyie wala wanaosema Mungu yupo.Kinachofanyika hapa ni kwamba kila mtu anajaribu kuelezea upande wake.Na kitu kizuri ni kwamba wote walioweza kufanya kitu hapa duniani had power and authority means walisimama wakasema wanachojua sio walichosoma au kusikia.Kitu ambacho wewe bado naweza sema
Moreover, don't think am trying to disrespect you but am telling the truth
kwa hiyo ni ya kweli?Hayo ni mapokeo ya wanadamu
sijakuelewamiungu mtu.
Shida niliyo ona kwako hata ulichokiuliza hukijui au unataka nijibu unavyotaka wewe. Nilivyo mimi huwa najibu kwa usahihi yaani inavyotakiwa.We hujui hata jinsi ya kusoma na kujibu hoja...
Unajibu tu unavyoelewa
Ulivyo kuwa mjinga swali hili nimekujibu kwa kukuwekea ay kabisa ya kuwa katika kila umma Allah alipeleka mjumbe. Sasa nashangaa unavyosema kwamba sijajibu.Nimekuuliza kwanini Allah asingeteua katika Kila kabila na kila jamii ya watu, Asia, Ulaya, Africa, America etc mitume yake ambayo ingesambaza ujumbe kuhusu uislamu kwa wakati mmoja tena usiopingana
Usilete dhana katika uhalisia jambo liko dhidi yako.Njia hii ingekua na manufaa mengi Sana
Uwepo wa dini nyingi ni hiari ya watu leo pasingekuwa na uhuru mngedai na kulalama juu ya hilo.Moja kusingekua na huu utitiri wa dini nyingi ambazo zinamfanya mtu kutokua kuwa na uhakika ipi ni sahihi