Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Kinachofanya mseme Mungu hayupo ni kwa kuwa haonekani au?
 
Basi badala ya kupoteza muda kukaa kumpinga Mungu mngetumia huo muda kutafuta dawa za magonjwa watu wangewashukuru zaidi kuliko huo upotoshaji wenu
 
Bro, hope na faith ni vitu viwili tofauti
Usichanganye mambo
 
Na ndio maana nimetanguliza kusema kua kukubali kua kitu fulani hukijui kwasababu umeshindwa kukitafiti na kupata majibu sahihi ni jambo la busara wala sio aibu. Kutokubali kushindwa na kulazimisha majibu ambayo hayajapitia uchunguzi kwa lengo la kujipa tumaini ni ujinga kabisa.

Imagine unaelewa kabisa hiki unachokisadiki sio halisi umekitunga tu lakini unaamua kufumba macho na ubongo kujidanganya kua ni cha kweli kwa ajili ya kujipa tumaini, huu si wazimu?

Kwenye swala la imani (faith) ambayo ni common kwenye dini so nimegusa imani kwenye angle ya kiroho ambayo ni universal, sikumaanisha imani ya (trust) kama kuweka confidence kwa mtu mwingine kua hatokuangusha kwa jambo fulani. Kama mimi nilivyokuwekea confidence kua hutanijibu post yangu kwa kunitukana. Trust, Believe, Faith, Hope and Love ni somo pana na ni maneno yanayo changanya sana kimatumizi kulingana na muktadha husika

Hivyo leo hii ukimuambia mkristo kwamba Thor ni mungu wa kweli basi bila shaka hawezi kukubali kisa "thor" ni "imani ya mungu hivyo hapaswi kuhoji", well lazima akatae sababu sio "Imani" yake!.

Kuna swali ambalo hujalijibu, niliuliza kama imani haitakiwi kuhoji kwanini tuna imani zaidi ya moja kuhusu mungu huku zikipingana?

Huoni wingi wa hizo imani ulikuja baada ya watu kuanza kuhoji imani iliyotangulia ambayo walikua wakiiamini na wao kuanzisha imani yao walioona inafaa?

Kitendo cha wewe kusema (nitafanya kila njia ili kuhakikisha naokoa maisha yake) ni tayari hujui kama atapona au hatopona lakini bado unafanya kila njia ili umsaidie.
Na mpaka hapo tayari umeshaweka hope, na hope tayari ni imani.
Kama ungetaka kutumia logic basi ungeshindwa kumsaidia ndugu yako sababu hauwezi kuapply logic juu ya imani.


Hiki ulichokiandika hapa nime-notice kua we ni miongoni mwa watu ambao wanasumbuliwa na matumizi haya maneno matano trust, hope, faith, love and believe. Kwa ufupi tu ni kwamba hujaelewa mantiki yangu, mantiki yangu kwanza haikua mimi kukataa kutumia imani, tatizo linakuja kwako kushindwa kujua imani gani ambayo naizungumzia hapa.

Mzee kajifunze maana ya hayo maneno na matumizi yake kwanza unaonekana kuchanganywa sana
 
Bro, hope na faith ni vitu viwili tofauti
Usichanganye mambo
yani jamaa kaniacha njia panda mi mwenyewe nilikua naimani kua najadiliana na mtu ambaye kavuka hizo level za kushindwa kutofautisha faith, hope, trust, believe and love lakini kumbe sio

Atakuambia hata hii imani niliyojengea hoja hapa hainitofautishi na imani ya kuamini mungu yupo
 
Unajalibu ku justify hoja zako kwa reasoning....
sisi tunaoamini Mungu yupo tunaongozwa na imani /faith.....
just to remind you reasoning hazitufingi
 
Kweli nimeamini shetani ana nguvu na ushawishi zama hizi....
manake unaandika kwa ushawishi mkubwa....
mtu mwenye imani haba anaweza nunua mawazo yako
 
Inawezekana kila mtu ana tafsiri yake kuhusu mungu......
nilishawahi kutana na mlevi mmoja bar anasema pesa ndio mungu wake.....
 
Huyo jamaa amekuzidi maarifa achana nae baki na imani yako pita vile.....
hii mijadala hainaga mwisho
 
Huyo jamaa amekuzidi maarifa achana nae baki na imani yako pita vile.....
hii mijadala hainaga mwisho
Na pia inapoteza muda

Binafsi nalog off nina kazi zingine mhimu siyo kupoteza muda na hawa wapumbavu.
 
Huyo jamaa amekuzidi maarifa achana nae baki na imani yako pita vile.....
hii mijadala hainaga mwisho
Maarifa yap hayo unazugumzia?
Maarifa ni eternity ndio maana tunasoma na kujifunza kila siku..,
sipo hapa kum-impress mtu yeyote.
Najijua vizur kuliko unavonijua sihitaj comment yako ku-justify nina maarifa au sina.
Mind your own business.
Amekuzid maarifa wewe sio wote.
 
Kakuzidi huyo!! kubali mapungufu pita vile....
usione noma
 
Kakuzidi huyo!! kubali mapungufu pita vile....
usione noma
Kuzidiwa maarifa ni mapungufu?
umeshindwa kuelewa maana ya mapungufu utaelew maarifa,
Sina mashaka kuandika uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho.
Huna credentials za kuiweka into trial IQ wala maarifa yang.
Hayo ni mapungufu yako usilazmishe yawe yang.
 
Angalia unavyolia lia hutaki kubali jamaa kakuzidi kwenye hii angle hahaaa wabongo wabishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…