Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Kuamini yupo bila uthibitisho sioni kama kuna kutofautisha na hao waumini, Halafu njia uliyotumia kujenga hoja ina weakness kubwa sana kwasababu inaweza kumrahisishia mtu yeyote yule ambaye anataka ku penetrate uwongo

Chukulia kua mimi nakuambia naamini spiderman yupo in real, kisha we ukanitaka nithibitishe nikakuambia hiyo ni hypothesis bado natafiti... tafsiri yake ni nini, spiderman yupo inabidi ukubali? Au utafiti haujakamilika sina haki ya kukupa jibu mpaka pale nitakapo kamilisha? current status ni spiderman yupo based on which evidence?

wait.. kama unatafiti basi maliza tafiti uje na jibu la uhakika, kwanini unakuja na madai ambayo hayajafikia hitimisho. Upo kwenye kutafiti na haujamaliza unacho kitafiti usiwe na haraka, humu kuna mwenzako kaomba ruhusa ya miaka miwili ya kutafuta jibu (japo research yako hujaweka wazi itachukua muda gani).
Unaelewa maana ya hypothesis?
 
Pseudoscience ni kwa watu wote hata wewe unayepinga bila scientific proof
pseudoscience wala hai relate na hiki ulicho ki propose hapa, na unanipa mashaka kujua kua unaielewa vyema concept ya "burden of proof"
 
Nikupe heko kwanza kwa kugundua udhaifu wa kutumia vitabu vya dini ku prove uwepo wa Mungu
(Circular Argument)

Pia kabla huja prove uwepo wa Mungu, ni busara kama ukitoa tafsiri yako ya neno Mungu

Mungu sio neno lenye maana moja, ku avoid ambiguity, mmoja anapaswa kutoa tafsiri yake ya neno hilo

Nakupa mfano, Mwanasayansi Professor Albert Einstein, alipoulizwa na wanafunzi wake kama anaamini juu uwepo wa Mungu

Alijibu ndio,kuwa anaamini Mungu yupo

Mkristo au muislam, anaweza kufurahi juu ya kisa hiki kwa kugundua kuwa kumbe mwanadamu mashuhuri namna hii anaamini Mungu yupo, mimi ni mjinga kiasi gani nipinge?

Ila ukitafuta tafsiri ya neno Mungu kulingana na Einstein ni tofauti kabisa, kiufupi ni kinyume cha na maana ya neno Mungu kwa mujibu wa imani ya kikristo au kiislamu

Albert Einstein aliamini Mungu ni 'summation of all laws of physics'
Mungu ni mkusanyiko wa sheria zote za asili, kwa maana nyingine Mungu ni just concept tu, abstraction ya jinsi gani Ulimwengu unafanya kazi

Kwa mkristo anayeamini Mungu mwenye hisia, aliyeumba kila kitu kwa kusudi, yaani Personal God. Hii ni habari mbaya kwake

Umeona hapo, kundi la watu ambao mwanzoni tunaona wanakubaliana, kumbe kiuhalisia wanatofautiana kwa 100%

Pia kwenye hoja yako sioni premise inayo justify hitimisho lako juu ya uwepo wa Mungu kupitia wema na ubaya

Ukirejea 'Problem of evil' utaona hivyo vitu viwili (Good and Evil) ndio vinatumika kuthibitisha kuwa Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuwepo kwenye ulimwengu wenye kila aina ya maovu na natural calamities kama huu
Kwa sababu kwa upendo wote asingeruhusu mateso yatokee, kwa uwezo wote asingeshindwa, na kwa ujuzi wote angekuwa na njia bora zaidi ya kuuepuka

Mungu mwenye upendo wote kwa viumbe vyake hawezi kuumba 'Mbwa mwitu' wanaokula nyama ya Swala mjamzito akiwa hai... Huo ni mfano wa natural cruelty iliyopo kwenye animal kingdom
Unless uwe unaamini wanyama hawahisi maumivu
Hii naichukua[emoji57][emoji57]
 
Kwanini unahisi sielewi maana yake? Ni kwasababu napingana na maelezo yako?

We umeyaelewaje maelezo yangu?
Wewe unaielewa vipi sayansi?
Na centre ya sayansi ya mwanzo ilikuwa vip na wap?
Logic na science najua unaelewa vyema
 
Nimekuuliz unaelew maana ya hypothesis?
Na wakati gani inafany kaz
Hivi unaelewa nilicho kiandika?

Ishu haipo kwenye tafsiri kama unavyofikiria, mi nimeichukulia hiyo tafsiri kama tricky ya wewe ku penetrate habari ya uongo kwa defense ya kua bado unatafiti.

hypothesis by definition is an assumption, an idea that is proposed for the sake of argument so that it can be tested to see if it might be true

Nimekuambia hicho unacho kiwasilisha kwa mtindo wa hypothesis hakina uhalali wa kukubalika (no research no right to speak)kwasababu hakijapitia hitimisho katika research. Nimekupa mfano hapo kua mtu yeyote anaweza kuweka claims za uwongo na akajitetea kua madai yake ni hypothesis bado anaendelea kutafiti, je madai ya mtu huyo yanawekwa kwenye kundi gani?

Je utayakubali maelezo yake kwakua yeye amedai ni hypothesis?
 
Mjadala ulioko mezani ni kuhusu usalama wa chanjo kwa raia, we unakuja kuongelea habari za mama j wa yanga
 
Mjadala ulioko mezani ni kuhusu usalama wa chanjo kwa raia, we unakuja kuongelea habari za mama j wa yanga
Msingi wa kuhoji uthibitisho wa Mungu ni hoja za kisayansi kabla sijakupa hizo hoja nimekuulza.
Wewe unaielewa vipi sayansi?
Na centre ya sayansi ya mwanzo ilikuwa vip na wap?
Pengine sayansi yako ina walakini
 
Sikwepi maswali na hakuna swali uliloniuliza sijajibu
Msingi wa kuhoji uthibitisho wa Mungu ni hoja za kisayansi kabla sijakupa hizo hoja nimekuulza.
Wewe unaielewa vipi sayansi?
Na centre ya sayansi ya mwanzo ilikuwa vip na wap?
Pengine sayansi yako ina walakini
 
Hivi unaelewa nilicho kiandika?

Ishu haipo kwenye tafsiri kama unavyofikiria, mi nimeichukulia hiyo tafsiri kama tricky ya wewe ku penetrate habari ya uongo kwa defense ya kua bado unatafiti.

hypothesis by definition is an assumption, an idea that is proposed for the sake of argument so that it can be tested to see if it might be true

Nimekuambia hicho unacho kiwasilisha kwa mtindo wa hypothesis hakina uhalali wa kukubalika (no research no right to speak)kwasababu hakijapitia hitimisho katika research.
Nimekupa mfano hapo kua mtu yeyote anaweza kuweka claims za uwongo na akajitetea kua madai yake ni hypothesis bado anaendelea kutafiti, je madai ya mtu huyo yanawekwa kwenye kundi gani?

Je utayakubali maelezo yake kwakua yeye amedai ni hypothesis?
Huu mstari umejibu maana ya hypothesis
Nahisi umecopy hujaelewa.
 
Msingi wa kuhoji uthibitisho wa Mungu ni hoja za kisayansi kabla sijakupa hizo hoja nimekuulza.
Wewe unaielewa vipi sayansi?
Na centre ya sayansi ya mwanzo ilikuwa vip na wap?
Pengine sayansi yako ina walakini

Kuna maswali mengi yana ingia hapa kwenye hoja yako, inawezekana hii confusion inajitokeza kutokana hatuja kubaliana ni aina gani ya huyo mungu ambaye unamkusudia.

Ikiwa kama sifa za mungu wako ni pamoja na kuto kuonekana, asiyepimika, undetectable nk. hivyo kuniambia kua uthibitisho wa mungu wa aina hii unahitaji sayansi utakua unatuongopea, hiyo ni logical fallacy iliyo sheheni inconsistences

Mimi wala sihitaji sayansi, logic pekee inatosha kujua ukweli na uwongo. Katika hoja yako nikiona rhetorical statements nitajua tu kua huu ni uongo. Kwa mfano mtu aniambie kua katikati ya jua kuna chupa ya chai inazunguka na ili uweze kujua kua chupa ya chai hiyo ipo unahitaji kujua centre ya sayansi ya mwanzo ilikua wapi. Nitasema tu huo ni uwongo licha ya kuangalia kama centre ya mwanzo ya sayansi naijua au siijui, Hapo nimetumia logic tu wala sio sayansi.

Wewe umeniambia unauza gari linalo paa angani Milion 10, mimi nimekua interested nikasema niko tayari kununua lakini kabla ya yote nahitaji unithibitishie hilo gari lipo, hapo ni mechanism gani ya sayansi inahitajika kuthibitisha hilo gari lipo au ni kitendo cha wewe kulileta nilione likiwa linapaa?

Sio sayansi yangu ina walakini, kusema hivyo tu umeonesha uwalakini. Sayansi haiko perfect na ndio mwanzo wa uwalakini wenyewe, mara kadhaa inakosea na ina admitt hilo. Kama sayansi inawalakini kivipi mwanasayansi anayeifanya hiyo sayansi akose uwalakini? na ndio maana haiishi kutafiti jibu ambalo limepatikana
 
kasome history ya sayansi in and out uje tuendelee kilatini hakitakusaidia hapa
history ya sayansi haina msaada wowote kwenye swali langu nililokuuliza, basically umeonekana ni kwamba huwezi kuthibitisha madai yako na ndio maana unakwepa maswali
 
Huu mstari umejibu maana ya hypothesis
Nahisi umecopy hujaelewa.
Kwani mi natumia lugha gani?

Hebu niambie umeelewaje hii statement hapa chini?

Nimekupa mfano hapo kua mtu yeyote anaweza kuweka claims za uwongo na akajitetea kua madai yake ni hypothesis bado anaendelea kutafiti, je madai ya mtu huyo yanawekwa kwenye kundi gani?
 
Back
Top Bottom