Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,193
- 2,599
Unaweza attach hizo secret papers za Newton hapa kwa faida ya wote. AsantehShida nikuwa sayansi iko limited na mitazamo yenu.
Kwa kukusaidia maarifa Mengi hutayapata darasan wala kweny mifumo rasmi ya elimu.
Pitia angalau hata secret papers of Newtons
Pia ANGALIZO, Isaac newton hakua sahihi mara zote.
Kama alivyo binadamu yoyote alikua akiamini pia kwenye fallacious concepts
Mfano aliamini kwenye Alchemy,na kutumia kipindi cha mwisho cha maisha yake akifanya majaribio ya Philosophical stone (attempt ya kubadili lead into gold,dhana ambayo kwa sasa tunajua si sahihi)
Kama nitakua sahihi,
You believe in spiritualism.
Kuwa kuna roho, na roho zinaisha na ku evolve
Pia roho ni advanced zaidi kuliko nafsi ya kawaida ya binadamu aliye duniani
Pia kuna higher souls,kwenye other dimensions na possibly kuna highest soul ambayo kwa mujibu wa imani yako, ndiye Mungu
Lakini tunajua kuwa roho hai exist
Ni ancient concept iliyo attempt kuelezea consciousness /ufahamu
Thus why, tunaweza changes kabisa personality yako, kwa kuathiri sehemu fulani ya ubongo wako
Kama roho ingekuwepo, hitilafu yoyote katika ubongo wako isingebadili personality yako
Kwa sababu personality yako ipo ndani ya roho, na roho ni spiritual thing ambayo haiwezi athiriwa na material things Kama ubongo
Kama roho ipo, kwanini hitalafu yoyote severe katika ubongo wako ina impact asilimia kubwa ya personality yako?