Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Mshirikishe mungu wako kujua mi nani, au mungu wako hana sifa ya ujuzi wote?
Na uhakika hujui wewe ni nani
kuhusu Mungu wangu nimekueleza toka kitambo tofauti ya seeker na believer
Nikataj na jinsi navyo mjua Mungu wang.
usiwe mwepesi wa kusahau
 
Kama hujawahi kimbia basi nakurudisha kwenye swali ambalo mimi nasema ulilikimbia

Nipatie definition ya mungu wako pamoja na sifa zake, kisha unothibitishie yupo
Nimekuulza kuhusu sayansi umeshindwa.
Hata wewe ni nan pia hujui?
 
Na uhakika hujui wewe ni nani
kuhusu Mungu wangu nimekueleza toka kitambo tofauti ya seeker na believer
Nikataj na jinsi navyo mjua Mungu wang.
usiwe mwepesi wa kusahau
"Na uhakika hujui wewe ni nani"

Kama kawaida yako hapo utasema hoja yako imebase kwenye hpothesis

Maelezo yako yamejaa contradiction hata we ukitulia soma mara mbili ulichokiandika sidhani kama kimewasilishwa kiufasaha

Ulisema una amini mungu yupo (believer), hapa tena umedai kua wewe sio believer (seeker)

At the same time unapoielezea hiyo seeker unadai kua ni hatua ya hypothesis ambayo inayoanza na kuamini kitu kipo. Hivi maelezo hayo hata wewe hayakuchanganyi?
 
Nimekuulza kuhusu sayansi umeshindwa.
Hata wewe ni nan pia hujui?
Maswali yako yapo irrelevant, na ndio maana nimekuambia hiyo kazi ya kujua mi ni nani kwanini asiifanye huyo mungu unaye muamini ili iwe njia rahisi ya kuthibitisha yupo

Hujui kwamba ukiweza hilo utakua umethibitisha yupo kirahisi bila kutumia sayansi?
 
"Na uhakika hujui wewe ni nani"

Kama kawaida yako hapo utasema hoja yako imebase kwenye hpothesis

Maelezo yako yamejaa contradiction hata we ukitulia soma mara mbili ulichokiandika sidhani kama kimewasilishwa kiufasaha

Ulisema una amini mungu yupo (believer), hapa tena umedai kua wewe sio believer (seeker)

At the same time unapoielezea hiyo seeker unadai kua ni hatua ya hypothesis ambayo inayoanza na kuamini kitu kipo. Hivi maelezo hayo hata wewe hayakuchanganyi?
We mbona mwepes wa kusahau
Hii ni jana leo umesahau kama nlikwambia mim seeker
ukilala unasahau?
i am a seeker not believer
 
Maswali yako yapo irrelevant, na ndio maana nimekuambia hiyo kazi ya kujua mi ni nani kwanini asiifanye huyo mungu unaye muamini ili iwe njia rahisi ya kuthibitisha yupo

Hujui kwamba ukiweza hilo utakua umethibitisha yupo kirahisi bila kutumia sayansi?
Huyo Mungu wangu hafanyi kazi kimuujiza kama uliyezoea kumsikia ni Mungu wa principle
 
Maswali yako yapo irrelevant, na ndio maana nimekuambia hiyo kazi ya kujua mi ni nani kwanini asiifanye huyo mungu unaye muamini ili iwe njia rahisi ya kuthibitisha yupo

Hujui kwamba ukiweza hilo utakua umethibitisha yupo kirahisi bila kutumia sayansi?
Yako irrevant kwasababu hayajajibiwa kwenye logic zako?
Jibu wew unajidefine vip
 
Maswali yako yapo irrelevant, na ndio maana nimekuambia hiyo kazi ya kujua mi ni nani kwanini asiifanye huyo mungu unaye muamini ili iwe njia rahisi ya kuthibitisha yupo

Hujui kwamba ukiweza hilo utakua umethibitisha yupo kirahisi bila kutumia sayansi?
Maswali yako unaweza kujibu yakiangukia kwenye logic ulizo kalil
kazi ya hizo logic ni kukusaidia kuja na mawazo yako halisi sio kumeza
logic zipo kuuona uhalisia sio kumeza terminologies
wewe ni nan?
 
Sheikh
Hakuna unachokijua
Hujui kujenga hoja
Hujui pia kusoma hoja za wengine

Unajaza huu uzi kwa comments zisizo na mantiki yoyote...

Nimekuuliza swali moja, na nakuuliza tena

Kwanini Allah hakuteua mitume kwenye kila jamii ya watu duniani na kwa wakati mmoja?

Mtu akisoma tu hoja zako anagundua una shida kubwa sana ya kujielezea

Nauuliza tena kati ya kuanzisha uislam kwenye kila jamii ya watu na kwa wakati mmoja na kuanzisha uislam kwa kuchagua jamii moja tu ya watu fulani tena ndani ya kipindi fulani baada ya dini nyingine kuibuka ipi ni njia sahihi?

Ku argue na wewe ni kupoteza mda
Nacheka sana,tatizo unataka nijibu ujinga kinyume na uhalisia. Swali lako nimekujibu zaidi ya mara moja. Unarudia rudia ujinga ule ule. Na ays nikakupa.

Kingine uwe unajibu maswali ninayo kuuliza hii itakusaidia sana.
 
Mkuu natamani kujua hao wanaopinga uwepo wa Mungu wanapata maslahi gani lengo lao kuu nini?

Hivi hawajajificha kwa ibilisi kweli?
Shida kubwa ya watu hawa hawayafikirii mambo katika uhalisia wake,zaidi ya kufikiri kwa mujibu wa mawazo ya walio watangulia.

Hao kwanza ni uzembe wao, Ibilisi huwa ana dili sana na watu wenye imani hao ambao wameshapotea tayari hashughuliki nao sababu kwake Ibilisi hawamsumbui.
 
Maswali yako yapo irrelevant, na ndio maana nimekuambia hiyo kazi ya kujua mi ni nani kwanini asiifanye huyo mungu unaye muamini ili iwe njia rahisi ya kuthibitisha yupo

Hujui kwamba ukiweza hilo utakua umethibitisha yupo kirahisi bila kutumia sayansi?
someni vitabu sio kukalili terminologies.
elimu na maarifa hayako limited na terminologies wala context mlizo kalili.
kuamin maarifa yako limited na sayansi na logic unazojua nje ya hapo hamna ukweli wala sayansi usiyoijua
Huna tofauti na mlokole ambaye nje ya iman yake hamna ukweli na majibu yote atayapata kwenye imani yake
unajua mpaka kilatini ila hujui wew ni nan?
 
Haitoshi.
Ume define vizuri
Kwako Mungu ni yule anayetufanya tupoteze fahamu usiku kisha anazirejesha zikirudi

Jenga hoja sasa, kwa mfano kwanini tukubalieni na hitimisho lako (kuwa Mungu kwa tafsiri uliyotoa yupo)

Kabla hujajenga hoja, at least get your facts straight

Hatupotezi fahamu usingizini, to the contrary
Bongo zetu zinakua active zaidi usingizini kuliko tukiwa macho

Mchana kutwa ubongo wako haupati mda mzuri wa kuchakata taarifa, isipokua usiku
Ndiyo maana tunaota

So ni uongo kuwa tunapoteza fahamu usingizi
Mkuu, hatuzimii usiku, tunalala.

Rekebisha tafsiri yako ya neno Mungu tuendelee
Au rise hoja inayopinga nilichosema hapo juu

Karibu....
Halafu kama bado hujui tunachotaka, tunaka ku prove imani yako wrong
Ukisha prove unalipwa nini ?
Sio lazima uamini ninavyo amini.
Tumia elimu yako kama umeamini hizo mbavu zako hazina uweza wa yeyote subili siku zikibana utapata jibu.

Sina hoja juu ya uweza wa Mungo
 
Sheikh
Hakuna unachokijua
Hujui kujenga hoja
Ongea kingine ila usiongee katika suala la ujengaji wa hoja,hapa ndiyo mahala pake.

Ndiyo maana namna ya ujengaji hoja wangu umekuzidi ukubwa,najenga hoja na kukuuliza maswali kwa munasaba wa kile tunachokijadili ajabu maswali yangu hujibu,halafu unakuja kudai kwamba sijui kujenga hoja. Jibu ninacho kuuliza uone shughuli yake.
 
Shida kubwa ya watu hawa hawayafikirii mambo katika uhalisia wake,zaidi ya kufikiri kwa mujibu wa mawazo ya walio watangulia.

Hao kwanza ni uzembe wao, Ibilisi huwa ana dili sana na watu wenye imani hao ambao wameshapotea tayari hashughuliki nao sababu kwake Ibilisi hawamsumbui.
Naamini hawa wana tekeleza ahadi ya ibilis yani wanafanya kazi moja kutoa watu katika haki.
Wanajitahidi mnoo yani mtu aamini bingbang dah
 
Unajaza huu uzi kwa comments zisizo na mantiki yoyote...
Kingine usiongelee kuhusu "mantiki" kwangu mimi sababu unadhihirisha wazi ya kuwa katika suala la ujengaji hoja ns mjadala uko duni sana.

Mimi nakupa miaka mia ukosoe ninachokiandia ukiweza mimi sijadili tena katika mijadala hii humi ndani.
Kwanini Allah hakuteua mitume kwenye kila jamii ya watu duniani na kwa wakati
Hukuona aya niliyo kuwekea toka katika Qur'aan au husomi ninacho kiandika ?

Kwanza unajua nini maana ya Mtume na wingin wake Mitume ? Sasa kama hujui maana ya Mtume lazima ukosee katika kujenga hoja na hoja yako inakuwa batili.

Maana ya mtume ni mtu anayeteuliwa kwa ajili ya watu wengi na kulazimishwa afikishe yale aliyo amrishwa na hii huwa baada ya jamii husika kupoteza imani juu ya Mola pweke.

Maana yake huwezi kukuta mitume wawili katika jamii moja,ila utakuta manabii wengi katika jamii moja.

Kingine manabii na mitume huteuliwa kwa sababu maalumu na pale kwenye haja hawateuliwi teuliwi tu kiholela,halafu kwa ujinga wako unadai ya kuwa swali lako hujajibiwa huku haujui hata maana ya mitume wala nabii. Hivi vituko huwa navioja jamii forum pekee,yaani mtu hajui hata maana ya neno analo lijengea hoja halafu anapinga kile anachojibiwa kwa hoja. Katika vilaza ninao wajua humu jf katika mada hizi wewe ni wa tatu.
Mtu akisoma tu hoja zako anagundua una shida kubwa sana ya kujielezea
Haya maneno tu kwayo huwezi kuthibitisha ukweli wake mpaka unakufa.

Nachokuomba mimi ni kitu kimoja jibu maswali ninayo kuuliza.
Nauuliza tena kati ya kuanzisha uislam kwenye kila jamii ya watu na kwa wakati mmoja na kuanzisha uislam kwa kuchagua jamii moja tu ya watu fulani tena ndani ya kipindi fulani baada ya dini nyingine kuibuka ipi ni njia sahihi?
Hili swali unataka nikujibu mara ngapi ? Niambie.
 
Back
Top Bottom