Trust me, asilimia 99% ya wanaopinga evolution humu hawajaisoma na inawezekana wamesahau hata basics biology
Asilimia 99% ya DNA zetu hazina tofauti na Sokwe and yet mtu anaamini Binadamu sio sehemu ya mnyama
Evolution inaelezea vitu vingi sana, sio tu evolution ya binadamu mpaka jinsi gani baadhi ya organ katika miili yetu inavyofanya kazi
Nilikua najifunza jinsi gani, pornography ina sababisha Erectile dysfunction nikashangaa kwa jinsi gani evolution imetumia kuelezea kwa usahihi mkubwa
Concept ya evolution ni simple sana sijui kwanini baadhi ya watu wanashindwa kuielewa hii masterpiece ya biology
Intelligent design ina jaribu kujibu swali katika easiest way possible, inatoa jibu jepesi ambalo halina uhalisia
Mungu akaumba kwa udongo, how?
Akasema kuwe hiki kuwe kile how?
Evolution inatupa jibu complex, inaeleza kivipi kiumbe hai kinatengenezwa from the simplest form possible
Evolution inaanza from the beginning bila assumption ya Pre existing designer