CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,967
- 9,544
Ruto akiwa shambani kwake akiotesha Ngano.
Huyu hajaanza leo lakini kulimaAta mi nkikuwa raisi naweza Lima zaidi y hvyo..
Tokea kipindi alikuwa tayari serikalini.Huyu hajaanza leo lakini kulima
Ok, una hata robo heka kwa uwezo wako basi?Tokea kipindi alikuwa tayari serikalini.
Ni sawasawa na Ridhiwani Kikwete anavyojisifia kuwa ana eka 500 kalima alizeti njia ya dom - moro.
Sasa Ridhiwani sio raisi, ila unadhani kwa hadhi yake anashindwa kumiliki??
#YNWA
#YANGA_BINGWA