We jamaa bwana,,,, ! Ni sawa na mzee museven Y, alivyomfugaji wa yale mang'ombe yenye pembe kubwa,,, anapiga picha ameshika fimbo eti machungani,,,, unadhan anazichunga yeye ??? Au kikwete J anavyolima mahindi bagamoyo yeye na mkewe wanapukuchua sijui Mara wapo shambani,,,, unadjani anazifanya hizo kazi ??? Yeye mpunga upo ni maelekezo tu,,, kama ni mashamba, matrekta, wataalam na wasimamizi anao,,,, anapiga simu tu! Ni sawa na ruto tu ! Hata wewe ukiwa na ukwasi huwezi kushindwa kuwa na project kubwa ya kilimo na ikafanikiwa
Next time usipumbazwe tena kifala