The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Heri Yako wewe unaepata nafasi ya kuandika chochote hapá kwenye jukwaa la watu laki sita.
Lakini pia ndani kuna chawa wakupaka rangi uongozi wa sa100 kutuamaninisha mambo Yako bomba.
Kama watu wote wangekuwa na uwezo/,Uhuru wa kueleza hisia Zao hazarani, basi tungeshuhudia maandamo makubwa mno.,
Huku uraiani mambo ni mabaya Zaidi. Nimefika Hadi vijijini ndani ndani Kabisa ambako Hata hawajui kama kuna JF, kule kila mtu anatukana tu
Bahati mbaya sana wapaka rangi uraiani hawapo, sijui wa hapa JF wanakaa wapi, nilitegemea kukutana Hata na mmoja Huko uraiani akiitetea serikali.
Hapa watakuwambia oohh wakulima wanfaidi jasho lao bei ya mazao ipo juu. Ila ukweli huduma zingine zote za kijamii zimesimama/ mbovu kupindukia gharama za maisha hazikamatiki.
Enyi wapaka rangi jitokezeni na huku uraiani msifie maana wananchi hawalijui kesho Yao.
Dkt Bashiru Sisi tunashukuru Kwa kufikisha ujumbe. Umepita mlemle Acha wazuie mafuriko Kwa mikono.
RIP JPM.