Nje ya Social media Serikali ya Awamu ya 6 inasemwa ovyo sana

Nje ya Social media Serikali ya Awamu ya 6 inasemwa ovyo sana

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Heri Yako wewe unaepata nafasi ya kuandika chochote hapá kwenye jukwaa la watu laki sita.

Lakini pia ndani kuna chawa wakupaka rangi uongozi wa sa100 kutuamaninisha mambo Yako bomba.

Kama watu wote wangekuwa na uwezo/,Uhuru wa kueleza hisia Zao hazarani, basi tungeshuhudia maandamo makubwa mno.,


Huku uraiani mambo ni mabaya Zaidi. Nimefika Hadi vijijini ndani ndani Kabisa ambako Hata hawajui kama kuna JF, kule kila mtu anatukana tu


Bahati mbaya sana wapaka rangi uraiani hawapo, sijui wa hapa JF wanakaa wapi, nilitegemea kukutana Hata na mmoja Huko uraiani akiitetea serikali.

Hapa watakuwambia oohh wakulima wanfaidi jasho lao bei ya mazao ipo juu. Ila ukweli huduma zingine zote za kijamii zimesimama/ mbovu kupindukia gharama za maisha hazikamatiki.

Enyi wapaka rangi jitokezeni na huku uraiani msifie maana wananchi hawalijui kesho Yao.

Dkt Bashiru Sisi tunashukuru Kwa kufikisha ujumbe. Umepita mlemle Acha wazuie mafuriko Kwa mikono.

Screenshot_20221119-172005.jpg

RIP JPM.
 
Sukuma Gang mnataabika sana!! Kwisha habari yenu!! Mmebakia kutapatapa tu sasa hv
 
Mkuu huo ndo ukweli!
hivi pale buhongwa ~ dampo, wafanya biashara wamachinga wanasemaje? Au hujatembea maeneo hayo?!

kuna maeneo sa100!! awe anapita na ulinzi mkali kuepuka kupigwa mawe
 
Tuweke ushabiki pembeni...huu mgao umeme na maji unawataabisha Sukuma gang peke yao?au wote kilio chenu ni kimoja?

Kwa sababu utawala wa samia ndo ulioleta ukame nchini!! Kama angekuwepo magufuli angenyeshea mabwawa mvua na mito maji ili umeme uwepo na mgao wa maji usiwepo!!
 
Awamu ya 5 ilikuwa inazungumziwa vibaya mitandaoni kuliko mtaani

Ila hii awamu ya 6 mitandaoni haizungumziwi vibaya ila mtaani inazungumziwa vibaya
 
Back
Top Bottom