GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Yanga SC inavuka, ila nina wasiwasi na Simba SC yangu kama itavuka kwani tusizuge hawa RS Berkane na Orlando Pirates ni mfupa mgumu kwetu labda Bahati/ Nyota tu itubebe.haya makundi yote ni magumu, yanga akileta utoto wake anaweza kaangwa mechi zote akaambulia draw 2-3
yanga akikaa kizembe havuki, anatolewa jasho la mashujaa, t.r.a aje avuke kizembe kwa waarabuYanga SC inavuka, ila nina wasiwasi na Simba SC yangu kama itavuka kwani tusizuge hawa RS Berkane na Orlando Pirates ni mfupa mgumu kwetu labda Bahati/ Nyota tu itubebe.
Hahahaa wakuu hamtupi hata moyo.Yanga haipati hata point moja ugenini na hata nyumbani
Labda mbadilike ila kwa uchezaji ule na mashujaa mtapigwa kama ngoma ya shuleHahahaa wakuu hamtupi hata moyo.
Hapa labda tuje na mbinu kama ile ya simba ya pira objective kwa sababu hatuna muda wa kubadilisha timu kwa sasa.Labda mbadilike ila kwa uchezaji ule na mashujaa mtapigwa kama ngoma ya shule
Kumbe mpaka akae kizembe. Lol.yanga akikaa kizembe havuki, anatolewa jasho la mashujaa, t.r.a aje avuke kizembe kwa waarabu
nyau nae akibaki anajiona yuko vzr bila jitihad za nguvu hata amini kitakacho mkuta.
Umecomment kikatili sana bwashee 😂Yanga haipati hata point moja ugenini na hata nyumbani
Pira objective kwa wachezaji kama chuga😅Hapa labda tuje na mbinu kama ile ya simba ya pira objective kwa sababu hatuna muda wa kubadilisha timu kwa sasa.
Hitimisho;Kila la kheri kwa Timu zote huko CAFCL.
Huo ndio ukweli, yataburuza mkia , hawana mpira kabisa , yanga hii ni mbovu kuliko zote.Umecomment kikatili sana bwashee 😂
Mimi baada ya mechi ya kwanza ndio nitatoa utabiri In Shaa Allaah 😆Kumbe mpaka akae kizembe. Lol.
Hizi kauli hamkawii kuzikimbia mwisho wa siku. Kuwashauri ongeeni kiasi msijimalize mkashindwa kuandika siku mambo yakienda ndivyo sivyo.
Weka jiwe mimi niweke Hela mkuu 😁Yanga haipati hata point moja ugenini na hata nyumbani
Mambo yanabadilika, Yanga ya mwaka Jana ya Folz na Pedro ilikuwa tia maji sana ila ikalosa padogo kufuzu makundi tena kizembe mbele ya miamba katika kundi la kifo .Huo ndio ukweli, yataburuza mkia , hawana mpira kabisa , yanga hii ni mbovu kuliko zote.
Yule dogo anaongeza namba tu, na ana bahati ya kupata namba sijui ni siasa za mpira au vipi.Pira objective kwa wachezaji kama chuga😅