Panga panga ya yanga chuga hakosi namba , kwa saidia fundi yanga anatoka na buyu kabisa, akijitahidi mno analamba point 1Yule dogo anaongeza namba tu, na ana bahati ya kupata namba sijui ni siasa za mpira au vipi.
Acha kulinganisha simba na vitu vya hovyoMambo yanabadilika, Yanga ya mwaka Jana ya Folz na Pedro ilikuwa tia maji sana ila ikalosa padogo kufuzu makundi tena kizembe mbele ya miamba katika kundi la kifo .
Kuna Simba mbovu sana iliwahi kufuzu makundi na ilimpigan7 horoya
Mechi za CAF usiriazi unaongezeka hata bonus za ushindi zinakuwa kubwa sana
Kama hajaanza basi anaingia sub, ila mashabiki hatumuelew kabisa yule chalii, labda hao wachuga wenzie.Panga panga ya yanga chuga hakosi namba , kwa saidia fundi yanga anatoka na buyu kabisa, akijitahidi mno analamba point 1
Hakuna hata haja ya kuweka ni kupoteza mda tu😅Weka jiwe mimi niweke Hela mkuu 😁
Ndio wata pleya mlio nao sasa, yani huyo ndio afadhali zaidi, kocha huwa anawajua wachezaji wazuri kuzidi wenzake 😄Kama hajaanza basi anaingia sub, ila mashabiki hatumuelew kabisa yule chalii, labda hao wachuga wenzie.
Sijui itaishaje ila naona yanga yupo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kwenda robo kuliko simba, Naunga mkono maelezo yako.Kama Yanga SC watatulia na Kujipanga vyema kwa Nyumbani na Ugenini watapata Alama kati ya 10 au 12 hivyo Kuvuka vizuri katika Kundi lao.
Kwa hili Kundi la Simba SC hasa baada ya kuiangala Simba SC yangu Kiufundi na kuziangalia RS Berkane na Orlando Pirates naina Simba SC kumaliza na Alama kati ya 7 au 8 hivyo Kutokuvuka.
Namaanisha nini kwa Yanga SC?
Yanga SC atashinda Mechi zake zote 3 za Tanzania ambazo ni Alama 9 kisha Yanga SC wanaweza ama kutoa Sare Mechi moja Ugenini au hata Kushinda moja Ugenini hivyo kuwa na jumla ya Alama kati ya 10 au 12.
Namaanisha nini kwa Simba SC?
Naiona Simba SC kushinda Nyumbani Mechi moja na Wakameruni kisha kutoka Sare Mechi moja Nyumbani na Kufungwa Mechi moja Nyumbani ambazo ukijumlisha hapa unapata Alama 4 za Nyumbani.
Naiona tena Simba SC kushinda Mechi ya Ugenini dhidi ya Wakameruni kisha ama kutoka Sare Mechi moja ya Ugenini au hata Kufungwa zote za Ugenini hivyo kwa ujumla Simba SC kupata Alama kati ya 7 au 8 tu katika Kundi lake.
Hata hivyo katika Mpira lolote laweza kutokea kwani Bahati nayo ina sehemu yake kubwa tu katika Mpira ila kwa Jicho langu la Sayansi ya Mpira na Ufundi wake siioni Simba SC yangu ikivuka..
Kila la kheri kwa Timu zote huko CAFCL.
Na huu ndio ukweli, washabiki wa simba wanajiona wako poa kwakuwa wamemfunga mtani, Simba ipo kundi gumu mno.Yanga SC inavuka, ila nina wasiwasi na Simba SC yangu kama itavuka kwani tusizuge hawa RS Berkane na Orlando Pirates ni mfupa mgumu kwetu labda Bahati/ Nyota tu itubebe.
Ooh! Ni jambo zuri hilo.Mimi baada ya mechi ya kwanza ndio nitatoa utabiri In Shaa Allaah 😆
Ile mechi ya mashujaa yanga walipumzisha wengi, halafu patakua na kocha mpyaLabda mbadilike ila kwa uchezaji ule na mashujaa mtapigwa kama ngoma ya shule
Kwenye hamasa ya mashabiki ndicho kitu ambacho yanga tunakikosa hata tukiwa na timu nzuri.Kitakachofanya simba ashinde ni hamasa tu kwa wachezaji na mashabiki. Ile kufa kupona tunavuka chapu ila timu zote ngumu
Yanga anacheza robo bila shida, mziki upo kwa simbamm nachojua huko CAF script ni ile ile tu kama ya msimu ulopita kwa yanga, kwasababu bado uongozi wa yanga umefanya makosa yale yale kama ya msimu ulopita, uzuri wa msimu ulopita walitoka makundi walau wakaambulia ubingwa ila msimu huu wanakosa vyote.
Kwa wachezaji kama Komaro sijui Zakwani na striker Sheikh Toure na Selemani Labda robo ya CRDB cup.Yanga anacheza robo bila shida, mziki upo kwa simba