Nje ya Utani wetu wa Simba na Yanga huu ndiyo Ukweli wangu baada ya Draw ya CAFCL

Breakini News: Li Popoma lina akili kuliko Abduli na Wanu.
 
Ndio wata pleya mlio nao sasa, yani huyo ndio afadhali zaidi, kocha huwa anawajua wachezaji wazuri kuzidi wenzake 😄
Aaah we mwanangu ushakua jau, wachezaji anao ila hizi timu zetu shida ni connections za ajabuajabu.

Si unakumbuka simba Doumbia alianza mechi ngapi, hakua anafunga ila alikua anaanzishwa hivyohivyo.

Yule dofo nae ni hivyohivyo.

We kolo min -me saivi mnashinda unatamba au sio
 
Yanga hana timu ya kuvuka makundi safari hii.
 
Yanga SC inavuka, ila nina wasiwasi na Simba SC yangu kama itavuka kwani tusizuge hawa RS Berkane na Orlando Pirates ni mfupa mgumu kwetu labda Bahati/ Nyota tu itubebe.
Timu za afrika kusini msimu huu hawan bahati amini anapigikika kwa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…