Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
Kwa ulichokiandika ndio. Kwa ulimwengu huu umwambie mtu akusubiri hadi siku ya kuolewa?
Una uhakika Mimi ni Mtoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika Mimi ni Mtoto?
Sawa broSawa Anne ntaanza kufanyia mazoezi huu uzi nikifanikiwa ntaleta mrejesho.
Nilichokiandika kimefanyaje??Kwa ulichokiandika ndio. Kwa ulimwengu huu umwambie mtu akusubiri hadi siku ya kuolewa?
Nilichokiandika kimefanyaje??
Right is right even if no one is doing it andHakiendani na uhalisia.
Ndiyo maana yupo Roho mtakatifu kutusaidia.
Bado msimamo wangu ni uleule,,wanawake wote wanapaswa kujitunza bila kujali Wana bikra au hawana.
Muache kuwalazimisha wanawake wasio nazo kufanya eti kwa sababu tu hawana.
Kuhusu dhambi ni kwamba hakuna dhambi kubwa wala ndogo,
Dhambi zote ni sawa na zinasameheka isipokuwa moja tu!
Kinachokufanya uhisi kuna dhambi kubwa na ndogo Ni madhara ya dhambi
Ila kiuhalisia hakuna dhambi kubwa wala ndogo.
Ninachokiongea ni uhalisia na ndo misingi tunayopaswa tutembee humo.Dah! kumbe unatetea msimamo wako bila kuangalia uhalisia wa namna tulivyoumbwa na tunavyoishi! Well, kama ndivyo uko sawa madam. Na hakuna anaemlazimisha mtu kufanya chochote ila ni nature inachukua nafasi yake. Roho mtakatifu yupo kama msaidizi lakini ndio hivyo tunaishi katika mwili sio roho maana hakuna binadamu awezae kuishi katika roho muda wote. Milango kama ilishafunguka itaendelea kupokea wageni tu maana tayari iko wazi.
Nguvu ya msamaha ndio haiangalii ukubwa wa au udogo wa dhambi ila inasamehe dhambi zote. Ila dhambi zenyewe zinatofautiana na hata maagano yake katika ulimwengu wa giza ni tofauti pia. Kumbuka unapozungumzia roho ni kwamba kuna pande mbili, giza na mwanga na zote tupo nazo.
Ninachokiongea ni uhalisia na ndo misingi tunayopaswa tutembee humo.
Kuumbwa katika hali ya udhaifu haimaanishi basi tuendelee kutembea katika udhaifu..huo ni ujinga.
Kauli yako inafurahia na inachochea kutenda dhambi,yaani mtu kukosa bikra kumfanye awe mnyonge,aendelee tu kufanya eti kwa sababu alitoa bikra???
Huo ni upotoshaji mkuu.
Kumbuka neema ilifunuliwa kwetu ituokoe na hiyo hiyo neema inatufundisha kutenda mema na kuukataa uovu.
Wewe kwanini useme watu wasio bikra waendelee kufanya eti kwa sababu waishazitoa.
Hakuna dhambi kubwa Wala ndogo..nitapingana na wewe hadi kesho.
Yuleyule aliyesema Usiue ndiye Alisema usizini na kuiba.
Mungu anasamehe dhambi ila anaweza kuacha madhara ya dhambi yakupate,
Mfano;
•Mtu akisema uongo au akitamani kitu Cha jirani yake ametenda dhambi lakini anaweza asipate madhara ya moja kwa moja.
•Mtu akifanya mauaji ametenda dhambi na mahakama itamchukulia sheria na atakwenda jela au kulipa faini.
Zote hizi Mungu anasamehe na zote zipo sawa japo zimetofautiana madhara.
Madhara ya dhambi kutofautiana haimaanishi kuna dhambi kubwa na ndogo.Hapo nilipo bold ndio utofauti wenyewe huo sasa kwamba dhambi hazifanani, ziko kubwa na ndogo maana madhara ya dhambi hizo yanatofautiana kutokana na kila mtu na dhambi yake. Bora umelitambua mwenyewe hilo.
Halafu huo mjadala wa bikira au kutokuwa bikira naomba niukuachie wewe binafsi, maana naona unachukulia mambo personal witha lot of emotions. Hongera sana kama wewe unaweza kuendana na roho muda wote bila kujikwaa. Hakika utakuwa umebarikiwa sana na umejazwa karama ya tofauiti kabisa.
[/QUOTE]Akhsante kwa kuniongezea maarifa[emoji122]Umene unayayo yajua vema either from your own experience or whatever.
Kwa tafsiri yangu uchumba salama no huu.
1. Kila moja anatambua lengo la mahusiano kwa mfano lengo likiwa in ndoa basi kila kinachofanyika kabla ya kufikia lengo lenu linaishiria utimilivu wa kusudio lenu.
2. Vipaumbele vyenu, vipaumbele katika mahusiano yenye lengo LA ndoa huwa vimejikita katika kujenga au kuimarisha taasisi kusudiwa, kwa mfano wahusika huwa wanapunguza anasa zisizo za lazima kwa kuangalia kiss kilichookolewa kinaweza imarisha kitu gani.
3. Mahusiano yenye lengo yanajikita kwenye kuaminiana kwa kiasi kikubwa.
Ni hayo tu.
Habari!
Natumaini wote ni wazima na namshukuru Mungu juu ya kila mmoja wetu. Na nanyi mambo haya machache muhimu katika Uchumba:
1. Usiweke agano na mchumba.
Kuna Watu huwa wanajiapiza eti nisipokuoa/nisipoolewa na wewe bora nife kuliko kuoa/kuolewa.
Maagano ya namna hii yamewagharimu wengi.
Maandiko yanatambua agano la ndoa na si la uchumba.Acha mpango wa Mungu usimame kwenye uchumba wenu.
2. Usizae na mchumba ili akuoe.
Hii huwakumba Sana wadada.Wengi huingia kwenye huu mtego kwa kudanganywa na kuambiwa nizalie kwanza mtoto ndipo nikuoe.
Pia, kuna wadada hujitegesha. Kuna wadada hujitegesha wenyewe wapate mimba wakidhani watapendwa zaidi.
Wengi wamezalishwa na kutelekezwa.
3.Usioe/kuolewa na mtu asiyemcha Mungu.
Moyo wa mtu asiyemcha Mungu hauna hofu ya kitu chochote ndani yake.kufanya Jambo lolote kwako siyo tatizo kwake maana moyoni mwake hakuna hukumu.
4. Usikubali kuoa/kuolewa na mtu aliyekuwa kwenye ndoa tayari na ndoa ile ikavunjika na wewe ukataka kuingia naye kwenye ndoa bila kujua sababu za ndoa yake ya mwanzo kuvunjika.
Ni vema ukajua sababu kupitia kutafuta taarifa kwa watu wengine na si kwake maana atakudanganya.
5. Uchumba usiwe Siri.
Unaweza kujikuta unaoa/unaolewa na mume au mke wa mtu bila kujua.
6. Usioe au kuolewa na mtu kwa sababu unamhurumia.
Ni kweli kaonyesha upendo,Ni kweli anakujali lakini je!huyo mtu yumo moyoni mwako?unampenda? Au unajilazimisha kwa sababu ya zawadi anazokupa.
Ndoa nzuri ni ile ya watu wawili wanapendana na si ya upande mmoja.
7. Msichukuane kienyeji.
Ndoa Ina taratibu zake na taratibu hizo Zina baraka zake. Usijiweke kwenye mazingira ya kuibiwa usiku.
8. Acha kujiaminisha Sana kwamba utamuoa au utaolewa naye.
Kumbuka uchumba siyo ndoa.Lolote linaweza kutokea Kama siyo upande wako basi upande wake. Ruhusu mpango wa Mungu utimie na si utashi wako.
9. Epuka kumhonga mchumba vitu vya thamani kubwa, kumsomesha nk.
Usiwekeze Sana kwa mchumba. Lakini Kama unadhani uchumba ujivunjika hutaumia mpe,ila Kama unaona uchumba ukivunjika utaumia usimpe.
Simaanishi wachumba wasisaidiane,Kuna viwango vya kusaidiana wachumba. Mengine hayo ukitaka kuyafanya weka ndani.
10. Usizini.
Tendo la ndoa ni kwa wanandoa na ndiyo maana linaitwa tendo la ndoa na si tendo la uchumba. Ukiona mchumba anataka tendo Hili kwa Kasi kubwa huku akikwambia siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia jua huyo hana mpango wa ndoa.
Niwatakie siku njema
Madhara ya dhambi kutofautiana haimaanishi kuna dhambi kubwa na ndogo.
Hakuna dhambi kubwa wala ndogo.
Wewe unachotetea ni hiki mtu kwa vile alifungua mlango mwanzo basi aendelee tu kufungua,
Hiki ndicho ninachokupinga hapa.
Watu wanajikwaa na kudondoka,Hakuna aliye mkamilifu..kutokuwa wakamilifu si sababu inayotupa kisingizio Cha kutenda dhambi.
Yaani waendelee kuzini kwa Sababu walizini mwanzo,eti kwa sababu bikra zilitolewa basi hawapaswi kujitunza..waachie milango!!!
Niite vyovyote unavyoweza ila katika hili ninakupinga.
BTW Hakuna lililochukulia personal Hili Jambo,kama papo nionyeshe.
Akhsante boss [emoji4]Uwe na wakati mwema.
Mungu akusaidie utoke kwenye hivyo vifungohiyo namba moja hiyo imefanya wengine tushindwe kuwa na watu, na tusiwe na furaha hata pindi tuwapo na pesa za kuweza kuchange mboga.....agano linaleta manung'uniko pindi mambo yakiwa mabaya kiasi kwamba hakuna rangi tunaacha iona na tunabaki kuwaumiza wasio na hatia.....imefika kipindi nimegundua nilikosea bado ninavifungo nilivyojifunga kwa maneno yangu mwenyewe na mimi ndiye ninayeweza kujitoa mwenyewe.....
Agano ni hatari sana maana, nadhiri unayoweka inaenda kuwa kitu halisi ......
[emoji4]
Hili halina uhusiano na ile wine
[emoji120]Sawia Kabisa Mtakatifu Anne
Amen mkuu, nashukuru Mungu 1 Yohana 2:19 unanifariji na umenioa mwanga mpya kwaka wa 5 huu unasema "walikuja kwetu ila hawakuwa wakwetu, kwamaana kama wangekuwa wakwetu wangebaki nasi ila waliondoka ili waweze kufunuliwa kuwa hawakuwa wa kwetu"Mungu akusaidie utoke kwenye hivyo vifungo