Njia 10 za Uchumba Salama

Njia 10 za Uchumba Salama

Wengine wanaenda kwa (boyfriend) zao
1 Wanapika
2 Wanafua nguo zoote chafu
3 Wanafua mashuka na mapazia yoote
4 Wanafanya usafi panabaki panang'ara
5 Wana..............kabisa

Mnajirahisisha wenyewe...
Mimi siwezi ruhusu mtu ambae sio mke wangu anifulie au anipikie au sijui niaje
(Ujana tu unanikimbiza hiyo namba kumi pia ningeachana nayo)[emoji2]
 
Asante kwa ujumbe mzuri. Wasisitize waweke mkazo zaidi hapo namba 10. Wasiachie kabisa. Itawasaidia sana. Ila kama walisha achia mwanzo waendelee tu kama usichana wao ulishapotea.
Kutokuwa na usichana haimaanishi huna haki ya kubadilika.
Wote Wana haki hiyo.
 
Mambo yote uliyo andika Ni mazuri na ndio uhalisia wa maisha. Japo namba 10 utapingana na vijana wengi Sana sababu dhambi ya uzinzi wameona Ni maisha . Nikupongeze kwa kutukumbusha.
Amen [emoji1666]
 
Wengine wanaenda kwa (boyfriend) zao
1 wanapika
2 wanafua nguo zoote chafu
3 wanafua mashuka na mapazia yoote
4 wanafanya usafi panabaki panang'ara
5 Wana..............kabisa

Mnajirahisisha wenyewe...
Mimi siwezi ruhusu mtu ambae sio mke wangu anifulie au anipikie au sijui niaje
(Ujana tu unanikimbiza hyo namba kumi pia ningeachana nayo)[emoji2]
Hii natamani niianzishie mada nikipata muda
[emoji1666][emoji122][emoji122]
You're a gentleman [emoji4]
 
Ni sahihi, ila sioni mantiki ya kufunga mlango wakati jambazi ameshaingia ndani. Ni kuendeleza tu pale ulipoishia.
Hivi bro kwa mfano Leo umefanya mauaji na umegundua kama ni kosa..ukatubu;
Utaendelea kuuwa kwa sababu tu ulishawahi kufanya mwanzo?
Mtu anapotubu anakuwa kiumbe jipya ya kale yote hupita.
 
Hivi bro kwa mfano Leo umefanya mauaji na umegundua kama ni kosa..ukatubu;
Utaendelea kuuwa kwa sababu tu ulishawahi kufanya mwanzo?
Mtu anapotubu anakuwa kiumbe jipya ya kale yote hupita.

Nakuelewa sana..

Ila huwezi kufananisha dhambi ya kutoa uhai wa mtu na hiyo number 10. Problem ni kwamba hata baada ya kutubu lazima mtu atapitia ku date tena ili kuitafuta hiyo ndoa! Maana ndio mchakato huo wa kuingia ndoani lazima kuanzia kwenye mahusiano.. sasa kama mtu alihsaonja na anajua raha yake ni ngumu kujizuia, ndio hapo kwamba tayari mlango ushakuwa wazi. Angekuwa na usichana angesema hadi ndoani na siku ya fungate usichana wake ungeonekana.
 
Hamna bro
Dhambi zote ni sawa na zote zinasameheka.
Wote wana haki ya kujitunza iwe usichana upo au haupo.
Kutokuwa na usichana haimpi mtu guarantee ya kuendelea kufanya dhambi.
Mungu anasamehe na anamfanya mtu kuwa mpya..
 
Umenena vyema
Tatizo binadamu tuna mioyo migumu aisee

Nje ya mada binti
Hiyo id yako inaniwazisha mvinyo fulani hivi haha
 
Back
Top Bottom