Njia 10 za Uchumba Salama

Njia 10 za Uchumba Salama

Hata mpewe miaka kumi we na hao wajumbe wako hamuwezi kutoka na jibu la kupinga uzinifu..!
Mtapingaje Jambo msiloliweza..😜
Si ndo mana nikasema ninaliingiza hilo swala maabara chief😅😅
 
Binafsi yangu katika hiyo point imani kwa Mungu ni lazima.
Maandiko yananiagiza nisifungiwe nira na wasioamini kwa jinsi isivyo sawasawa.
Kama ikitokea nitakuwa naye Kuna sehemu inafundisha pia namna ya kuishiwa na mtu wa namna hiyo.
Hapo nimeongelea imani tu,sijaongelea kiwango Cha hiyo imani.

Hiyo point #4 naomba uisome Hadi mwisho.
Nimesema kwamba usioe/usiolewe na mtu ambaye ndoa yake imevunjika unless umejua sababu za ndoa hiyo kuvunjika.
Hujamalizia kusoma hiyo point au umeisoma kwa haraka.
Ni kweli kuna ndoa za namna hiyo zipo na zinadumu lakini asilimia kubwa huwa mwisho wake ni matatizo na huvunjika tena.
Kama unayatambua haya kwanini umetumia neno "usi"..?
Huko ni kumkataza mtu and then unatambua na maelekezo yake Bora ungeandika kwa utaadhari..
 
Kama unayatambua haya kwanini umetumia neno "usi"..?
Huko ni kumkataza mtu and then unatambua na maelekezo yake Bora ungeandika kwa utaadhari..
Kwani Wewe umeelewaje?
Nakushauri Soma Tena point yangu brother.

"Usioe na mtu ambaye ndoa yake ya mwanzo ilivunjika hadi umejua sababu za ndoa hiyo kuvunjika.
"Unless "huwa unaitumiaje wewe!?!?
 
Ulianza vizuri mno ukaja ukaharibu mwishoni kabisa.... hiyo namba kumi ungeiweka namba moja nina hakika mengi miongoni mwa uliyoyaandika nafsi ingekusuta pengine ungeishia kupata mambo matatu tu..... Yaani hayo mengine yanategemea kinyume cha namba kumi and vice versa is true
 
Ulianza vizuri mno ukaja ukaharibu mwishoni kabisa....hiyo namba kumi ungeiweka namba moja nina hakika mengi miongoni mwa uliyoyaandika nafsi ingekusuta pengine ungeishia kupata mambo matatu tu.....yani hayo mengine yanategemea kinyume cha namba kumi and vice versa is true
Nimeharibu kivipi mkuu?
 
Back
Top Bottom