Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
- #21
Nina mumeWewe una mchumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mumeWewe una mchumba?
Nina mume
Si ndo mana nikasema ninaliingiza hilo swala maabara chief😅😅Hata mpewe miaka kumi we na hao wajumbe wako hamuwezi kutoka na jibu la kupinga uzinifu..!
Mtapingaje Jambo msiloliweza..😜
Kama unayatambua haya kwanini umetumia neno "usi"..?Binafsi yangu katika hiyo point imani kwa Mungu ni lazima.
Maandiko yananiagiza nisifungiwe nira na wasioamini kwa jinsi isivyo sawasawa.
Kama ikitokea nitakuwa naye Kuna sehemu inafundisha pia namna ya kuishiwa na mtu wa namna hiyo.
Hapo nimeongelea imani tu,sijaongelea kiwango Cha hiyo imani.
Hiyo point #4 naomba uisome Hadi mwisho.
Nimesema kwamba usioe/usiolewe na mtu ambaye ndoa yake imevunjika unless umejua sababu za ndoa hiyo kuvunjika.
Hujamalizia kusoma hiyo point au umeisoma kwa haraka.
Ni kweli kuna ndoa za namna hiyo zipo na zinadumu lakini asilimia kubwa huwa mwisho wake ni matatizo na huvunjika tena.
Hamuwezi unaenda tu kusumbua kamati huo ni mfupa uliomshinda fisi..😅Si ndo mana nikasema ninaliingiza hilo swala maabara chief😅😅
Kwa mimi ninayetarajia kubariki ndoa hakuna kitu kinanihusu hapo
Kwani Wewe umeelewaje?Kama unayatambua haya kwanini umetumia neno "usi"..?
Huko ni kumkataza mtu and then unatambua na maelekezo yake Bora ungeandika kwa utaadhari..
HongeraKwa mimi ninayetarajia kubariki ndoa hakuna kitu kinanihusu hapo
Usisahau kumshirikisha Baharia wa BuzaMtakatifu katika ubora.
Namba 10 itabidi niingie maabara kwanza..
Nikitoka maabara,,nikajadili na kamati kuu kuhusiana na namba 10.
Halafu ujue hujanijibu nilichokwambiaSiwez uziwa mbuzi kwenye gunia
Nimeharibu kivipi mkuu?Ulianza vizuri mno ukaja ukaharibu mwishoni kabisa....hiyo namba kumi ungeiweka namba moja nina hakika mengi miongoni mwa uliyoyaandika nafsi ingekusuta pengine ungeishia kupata mambo matatu tu.....yani hayo mengine yanategemea kinyume cha namba kumi and vice versa is true
Kivipi mkuu?Huu uzi kwa ajili ya binadamu wa kawaida au malaika ?
Naombeni jibu LanGu[emoji40]
Ooh daah halafu nilitoka onlineHalafu ujue hujanijibu nilichokwambia
Naomba kadi ya mwaliko
Alisikika mlevi mmoja hivi akuongea baada ya kunywa balimi mwitu(gongo)Siwez uziwa mbuzi kwenye gunia
Ulivyoingia hukuona?Ooh daah halafu nilitoka online