Njia 5 bora za kutengeneza pesa online 2024

Siyo wajinga ila shida sisi wabongo ni wapigaji sana na tumeona utapeli ni sehemu ya maisha.
VLC player kuna watu wana-donate, mtu akiingia YouTube akakutana njia ya kutatua tatizo lake ana-donate
Kwenye upigaji kwa njia hii hata mimi nitawapiga sana, why?.

Wametaka nilipe, nikaenda kauta kulipa, badala ya kuchukua pesa wananipa muda wa kutumia then after one week ndipo wanakuja tena wakitaka niwalipe how come?.
 
Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu. watu wengine wamekuwa wanagive up katika sehemu mbalimbali tena online tunaona vijn wengi wanasema online kuna utapeli lakin kuna kazi unaweza fanya online na Ukapata Kipato kizur kwa Mwezi, Wiki, hata siku zifuatazo ni Njia 5 Bora za online ambazo unaweza Tengeneza Pesa

1. Kuanzisha Blog Au Tovitu na Kuandika Makala Mbali Zinazovutia watu. Kuweza Kuweka Matangazo Kutoka kwa Makampuni Kama Adsense, Adsterra,Monetag na Nyinginezo. Hapa Unahitaji Kuwa na Mda Kidogo wa Kufuatilia Ipi ni Niche Nzuri Kwako

2. Kuanzisha Duka la Online. Hapa ni Kwa wafanya Biashara wenye Waduka ya Nguo, Electronic. Unaweza Tengeneza Website yako utakayokuwa unauza vitu vyako na Kuandika bei huko huko. na hii itafanya Wateja kukuamini zaidi

3.Kutoa Huduma za Freelancing. Unaeza kuwa unatoa baadhi ya services Katika website mbalimbali zinazoruhus hiz kazi na Kutengeneza pesa baada ya Kufanya kazi
Note: hapa unahitajik uwe na elimu ya Hicho Kitu Kwa Undani zaidi

4.Kufanya Kazi na YouTube
. Tunaona wanamuzik Wengi wapa post video zao YouTube na Watu Wengin Ukweli ni Kwamba YouTube inalipa na Kwa Mwezi Kama ukiwa na bidii unaweza Tengeneza zaidi ya 1000K ($500+) na zaidi pia kama ukiweka video zinazopata watu wengi na kwa mda mchache

5.Kufaya Kazi kama Muuzaji Katika Baadhi ya website kama eBay,Amazon,Alibaba
hapa wew unatakiwa kuwa na website pia unachukua bidhaa kutoka hiz website na una import kwako na unapanga bei yako na Hiyo Mitandao itafnya delivery [emoji598] kwa Watej Wako Baada ya Kununua Bidhaaa
Hii nzuri inahitajika muda pia
 
Kwenye upigaji kwa njia hii hata mimi nitawapiga sana, why?.

Wametaka nilipe, nikaenda kauta kulipa, badala ya kuchukua pesa wananipa muda wa kutumia then after one week ndipo wanakuja tena wakitaka niwalipe how come?.
Hapo unakuwa haujawapiga, wanafanya marketing wakakupa free trial ya hizo weeks, bahati nzuri ukamaliza kazi.

Maana yake huenda siku moja ukaja kurudi mkafanya biashara/kazi kwa kuwa uliridhishwa na system yao.

Sisi watu wa dunia ya tatu tunakuwa na changamoto kwa sababu huduma nyingi tunatumia za bure, lakini katika huduma za premium ndio kuna ubora na access.
 
Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu. watu wengine wamekuwa wanagive up katika sehemu mbalimbali tena online tunaona vijn wengi wanasema online kuna utapeli lakin kuna kazi unaweza fanya online na Ukapata Kipato kizur kwa Mwezi, Wiki, hata siku zifuatazo ni Njia 5 Bora za online ambazo unaweza Tengeneza Pesa

1. Kuanzisha Blog Au Tovitu na Kuandika Makala Mbali Zinazovutia watu. Kuweza Kuweka Matangazo Kutoka kwa Makampuni Kama Adsense, Adsterra,Monetag na Nyinginezo. Hapa Unahitaji Kuwa na Mda Kidogo wa Kufuatilia Ipi ni Niche Nzuri Kwako

2. Kuanzisha Duka la Online. Hapa ni Kwa wafanya Biashara wenye Waduka ya Nguo, Electronic. Unaweza Tengeneza Website yako utakayokuwa unauza vitu vyako na Kuandika bei huko huko. na hii itafanya Wateja kukuamini zaidi

3.Kutoa Huduma za Freelancing. Unaeza kuwa unatoa baadhi ya services Katika website mbalimbali zinazoruhus hiz kazi na Kutengeneza pesa baada ya Kufanya kazi
Note: hapa unahitajik uwe na elimu ya Hicho Kitu Kwa Undani zaidi

4.Kufanya Kazi na YouTube
. Tunaona wanamuzik Wengi wapa post video zao YouTube na Watu Wengin Ukweli ni Kwamba YouTube inalipa na Kwa Mwezi Kama ukiwa na bidii unaweza Tengeneza zaidi ya 1000K ($500+) na zaidi pia kama ukiweka video zinazopata watu wengi na kwa mda mchache

5.Kufaya Kazi kama Muuzaji Katika Baadhi ya website kama eBay,Amazon,Alibaba
hapa wew unatakiwa kuwa na website pia unachukua bidhaa kutoka hiz website na una import kwako na unapanga bei yako na Hiyo Mitandao itafnya delivery 🚚 kwa Watej Wako Baada ya Kununua Bidhaaa

Si rahisi kama unavyoongea, it is possible, but it takes time, concentration and commitment.
 
Hizo njia zote zinajulikana, ila kusuka mfumo wa kazi mpka hela isome kwenye account hakuna mtu atakayekuambia!
nimeandaaa Book Ambayo nimeeleza Mengi sana na Deep Kwanzia Njia Zote na Njins ya Kutoa pesa
 
Back
Top Bottom