Njia 5 bora za kutengeneza pesa online 2024

Siyo wajinga ila shida sisi wabongo ni wapigaji sana na tumeona utapeli ni sehemu ya maisha.
VLC player kuna watu wana-donate, mtu akiingia YouTube akakutana njia ya kutatua tatizo lake ana-donate
Kwenye upigaji kwa njia hii hata mimi nitawapiga sana, why?.

Wametaka nilipe, nikaenda kauta kulipa, badala ya kuchukua pesa wananipa muda wa kutumia then after one week ndipo wanakuja tena wakitaka niwalipe how come?.
 
Hii nzuri inahitajika muda pia
 
Kwenye upigaji kwa njia hii hata mimi nitawapiga sana, why?.

Wametaka nilipe, nikaenda kauta kulipa, badala ya kuchukua pesa wananipa muda wa kutumia then after one week ndipo wanakuja tena wakitaka niwalipe how come?.
Hapo unakuwa haujawapiga, wanafanya marketing wakakupa free trial ya hizo weeks, bahati nzuri ukamaliza kazi.

Maana yake huenda siku moja ukaja kurudi mkafanya biashara/kazi kwa kuwa uliridhishwa na system yao.

Sisi watu wa dunia ya tatu tunakuwa na changamoto kwa sababu huduma nyingi tunatumia za bure, lakini katika huduma za premium ndio kuna ubora na access.
 

Si rahisi kama unavyoongea, it is possible, but it takes time, concentration and commitment.
 
Hizo njia zote zinajulikana, ila kusuka mfumo wa kazi mpka hela isome kwenye account hakuna mtu atakayekuambia!
nimeandaaa Book Ambayo nimeeleza Mengi sana na Deep Kwanzia Njia Zote na Njins ya Kutoa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…