Njia ambazo mtu anaweza kutengeneza pesa mtandaoni bila mtaji

Njia ambazo mtu anaweza kutengeneza pesa mtandaoni bila mtaji

Kabisa! Hizo site zinalipa kiasi kidogo sana per click...kama adstera nadhsni wanalipa $0.0013 kwa kiwango chani per click ambayo ni sawa na $1.30 per 1000 clicks! Jamaa alisahau kuweka . katikati ya $1.30 watu wakashtuka!
Si kwamba kasahau ila ni motivational speaker hajawahi fanya alichokiandika ila anaaminisha watu alishwahi fanya ndiyo maana anakwambia yeey mwenyewe analipwaga hivyo.
 
Si kwamba kasahau ila ni motivational speaker hajawahi fanya alichokiandika ila anaaminisha watu alishwahi fanya ndiyo maana anakwambia yeey mwenyewe analipwaga hivyo.
Hatari sana, motivational speakers saanyingine wana motivate mashudu!
 
Hatari sana, motivational speakers saanyingine wana motivate mashudu!
Kuna ela mtandaoni lakini si rahisi kihivyo kama unaanza mwanzo uwa mgumu hasa youtube channel inabidi uwe mvumilivu na utengeneze brand na fanbase yako watakaokuwa wanaamini katika contents zako.

Mfano Maques Brownlee mfano wa channel inanyotumika kama reference mara nyingi kwa ubora wake wakati anaanza alikuwa anaweka video unakuta ina viewers 1000 mpaka leo ila sasa anaweka video ina viewers 1+ ndani ya siku tatu na niche yake ni tech kwanza anaingiza ela kwa viewers.

Pia anaingiza ela kutoka kwa sponsors inakadiliwa anatengeneza between dolar 8000 mpaka 120,000 kwa mwezi sasa kijana akiwa na umri wa miaka 25.
 
Hiyo ni safi kabisa, youtube inalipa ila inahitaji muda na nguvu nyingi... la sivyo hamna kitu.
 
Unavosema mtaji mkuu kumbuka ayo yote uwez tumia bila kuwa na bundle iv unajua kuna mtu hana uwezo ata wa kuuunga bundle la 500? Usichukulie rahis ivo kila kitu kina challenge yake ishu ni kujitosa tu ukiamua kufanya fanya hamnaga kazi ndogo kwenye hii dunia,
HABARI,
Kushukuru ni jambo jema sana hata mbele za mungu,Huyu jamaa katoa msaada mkubwa sana kunavijana wangapi wamemaliza vyuo na hawana ajira na wanamiliki simu smart,Huoni hiyo ni wazo zuri maana hawezi kukosa bando la internet.

Tena hata wanafunzi wenye mikopo walio vyuoni wanaweza kutumia saa moja kila siku na akapata hela ya kujikimu.
SHUKURU KWA KILA JAMBO

LUMUMBA
 
Huenda hata hujui unaloongea umeanza hata kunitia mashaka hata kama hiyo ela unaipata. Hakuna wanaolipa zaidi kama adsense nao ahwalipi hiyo ela hata kama viewers ni wa Marekani otherwise akina Millardayo wangekuwa wanatengeneza bils of tshs kila mwezi.

Hakuna wanakoweza kukulipa USD 200 kwa viewers 1000 hata watoke marekani.

Kwa viewers 1000 utapata 0.5 mpaa 3$ kutegemea na viewers wametoka wapi japo nako kuna factors nyingine zaidi

Na kumbuka CPM ni kifupi cha Cost Per Thousand. Nasistiza hakuna monetization yoyote inayolipa CPM ya $200 au 300 mfano adsense kwa youtube nchi inayoongoza ni Maldives ina CPM ya $15 wakati USA ni $12.
Mkuu huenda hujapokea hata pesa umeandika tu au unajaribu kuandika usilolijua.

Ingekuwa hivyo basi akina diamond kila video hawakosi wa 30,000 kutoka USA wameitazama basi anekuwa kila video anavuta ela ndefu sana wangekuwa na maela mengi sana. Tena CPM pia achillia mbali location pia niche ya content ina matter.

CPM means COST PER MILLE hapo rekebisha sio thousands
 
Huko sahihi sana, nilijaribu hii, unashare link facebook zinamezwa, unaweza mwezi mzima ukaambulia dola moja tu, sio mchezo!
kushare sio njia sahihi adstera na adsense ni kama zna uwiano though adsense ipo juu sana, ili upate pesa hapo lazma uwe na blog/website but hyo style ya kufanya link sharing ni njia ya watu wanaojifunza kumake pesa online.

Alaf hakun advertising company amabyo ni legitimate watskaokulipa $1.3 kwa clicks 1000 hao watakuwa ni scam kabisa coz hyo ni pesa unayoweza kupata kwa impression 1000 tu tena unaweza ukalipwa zaid ya hapo inategemea views na click zinatoka wap(nchi gani).

Adsense wanalipa mpaka $5 kwa click but isiwe blog ya udaku. Ukitarget (USA, UK,Canada views) kwenye technology, insurance, health, real estate, education unaweza ukapga pesa mpaka ukaanza kuwadharau watu mtaani but nazo zina ushindani sana unatakiwa utulie kweli kujifunza mpaka upate organic traffic wa kutosha.

Hzo niche wanalipaga mpaka $10++ kwa click ila sio click za africa. za africa ni around $ 0.5-3
NB: Hakuna pesa utakayopata kihurahisi iwe online or offline you must work hard and be smart(mind).
 
jina langu Mimi kinacho nikwamisha katika shughuli hizi ni namna ya kulipwa, nina account NBC, nimejaribu kufungua account Payoneer ili niilink na ya NBC, naona imeshindikana MA sijaelewa ni kwa nini. Nimeambatanisha message kutoka payoneer.
IMG_20200802_145221_480.JPG
 
Huenda hata hujui unaloongea umeanza hata kunitia mashaka hata kama hiyo ela unaipata.

Hakuna wanaolipa zaidi kama adsense nao ahwalipi hiyo ela hata kama viewers ni wa Marekani otherwise akina Millardayo wangekuwa wanatengeneza bils of tshs kila mwezi.

Hakuna wanakoweza kukulipa USD 200 kwa viewers 1000 hata watoke marekani.

Kwa viewers 1000 utapata 0.5 mpaa 3$ kutegemea na viewers wametoka wapi japo nako kuna factors nyingine zaidi

Na kumbuka CPM ni kifupi cha Cost Per Thousand. Nasistiza hakuna monetization yoyote inayolipa CPM ya $200 au 300 mfano adsense kwa youtube nchi inayoongoza ni Maldives ina CPM ya $15 wakati USA ni $12.
Mkuu huenda hujapokea hata pesa umeandika tu au unajaribu kuandika usilolijua.

Ingekuwa hivyo basi akina diamond kila video hawakosi wa 30,000 kutoka USA wameitazama basi anekuwa kila video anavuta ela ndefu sana wangekuwa na maela mengi sana. Tena CPM pia achillia mbali location pia niche ya content ina matter.
Alaf kuna kitu lazima mkae mkijua wale wa YouTube ata bloggers huwa inakuwa applicable sana.

Unaweza ukawa na viewers weng lakin bado ukaptwa kwny malipo na mwwnye viewers wachache ata kama wote mmepata views kutoka location moja hii inatokana na aina ya market ambayo mtu unapubish for example mmoja ana account ya YouTube ya music na mwngne anafundsha how to invest in real estate, huyu mwenye real estate lazma atampga gap wa music ata kama amezidiwa views coz makampun ya real estate wanatoa pesa nying kujitangaza sana na insurance companies lazma wahusike hapo na kama mnavyojua google huwa wanadisplay matangazo kutokana na contents zako.

So usishangae millard ayo anapata views 500k per day akaptwa na anaepata views 100k.
Hyo ukiingia deep kwenye digital marketing ndio utazijua formula hizi ndo maana unaona smart huwa hawaangaik na blog za habari na umbea coz wanajua unatumia nguvu nying kupost daily alaf mafanikio kidogo wakat mm naweza nikapost kwa week mara 1 kwenye blog yangu ya investmnt na nikakupga gap kubwa sana.
# All the best.
 
Narudia kusema hakuna monetization yoyote inalipa USD 200 kwa viewers 1000, hata iweje. haijaishi watoke Marekani, niche iwe technology, hakuna.
 
Narudia kusema hakuna monetization yoyote inalipa USD 200 kwa viewers 1000, hata iweje. haijaishi watoke Marekani, niche iwe technology, hakuna.
Mimi kwa hyo $200 sijaihafk coz hakuna company inayoweza kurisk pesa kama hyo kwa just 1000 views but mm nilikuwa najaribu tu kutoa maelezo kuhusu dffrnt ya income
 
mm kwa hyo $200 sijaihafk coz hakuna company inayoweza kurisk pesa kama hyo kwa just 1000 views but mm nilikuwa najaribu tu kutoa maelezo kuhusu dffrnt ya income
Yah nakubariana na wewe ni mambo mengi yana determine income ya mtu
 
kushare sio njia sahihi adstera na adsense ni kama zna uwiano though adsense ipo juu sana, ili upate pesa hapo lazma uwe na blog/website but hyo style ya kufanya link sharing ni njia ya watu wanaojifunza kumake pesa online.
Alaf hakun advertising company amabyo ni legitimate watskaokulipa $1.3 kwa clicks 1000 hao watakuwa ni scam kabisa coz hyo ni pesa unayoweza kupata kwa impression 1000 tu tena unaweza ukalipwa zaid ya hapo inategemea views na click zinatoka wap(nchi gani). Adsense wanalipa mpaka $5 kwa click but isiwe blog ya udaku. Ukitarget (USA, UK,Canada views) kwenye technology, insurance, health, real estate, education unaweza ukapga pesa mpaka ukaanza kuwadharau watu mtaani but nazo zina ushindani sana unatakiwa utulie kweli kujifunza mpaka upate organic traffic wa kutosha. Hzo niche wanalipaga mpaka $10++ kwa click ila sio click za africa. za africa ni around $ 0.5-3
NB: Hakuna pesa utakayopata kihurahisi iwe online or offline you must work hard and be smart(mind).
Umesomeka mkuu.
 
kushare sio njia sahihi adstera na adsense ni kama zna uwiano though adsense ipo juu sana, ili upate pesa hapo lazma uwe na blog/website but hyo style ya kufanya link sharing ni njia ya watu wanaojifunza kumake pesa online.

Alaf hakun advertising company amabyo ni legitimate watskaokulipa $1.3 kwa clicks 1000 hao watakuwa ni scam kabisa coz hyo ni pesa unayoweza kupata kwa impression 1000 tu tena unaweza ukalipwa zaid ya hapo inategemea views na click zinatoka wap(nchi gani). Adsense wanalipa mpaka $5 kwa click but isiwe blog ya udaku. Ukitarget (USA, UK,Canada views) kwenye technology, insurance, health, real estate, education unaweza ukapga pesa mpaka ukaanza kuwadharau watu mtaani but nazo zina ushindani sana unatakiwa utulie kweli kujifunza mpaka upate organic traffic wa kutosha.

Hzo niche wanalipaga mpaka $10++ kwa click ila sio click za africa. za africa ni around $ 0.5-3
NB: Hakuna pesa utakayopata kihurahisi iwe online or offline you must work hard and be smart(mind).

hakika umesema ukweli,,nmekomaa na adstera kwa zaid ya miez minne lakn mpala leo nina dollar 6 tu. lakn nkipiga hesabu nshatumia bundle kama la elfu 70+ hv,,plus mda niliopoteza kushare asbuh mpaka night. yaan inafika jion unaenda kuangalia earning unakuta imeongezeka 0.3$ daaaah unaanza kuhisi njaa ghafla asee. unarudi fb unakuta wamekuandkia "YOUR POST GOES AGAINST OUR TERMS, ONLY YOU CAN SEE THIS POST" afu wamekuwekea na ile alama ya triangle ya njano daaah mamaeee!!!! nkaona isiwe kesi nkauza laptop na mpaka leo adstera wakintumia email zao sijibu. Kaz za online nazpenda sana ila tatzo nakosaga quality traffic.

kuna jamaa nlikutana nae humu akanpa kazi ya kutranslate novel mamaaaaaaa kile kingereza hata prof.lumumba hakiwezi!!!!!!

all in all hakuna PESA rahisi iwe online au offline note that!!!!!!
 
Vijana wengi tumekuwa wavivu na waoga hasa linapokuja suala lautafutaji watu wengi wanaamini kufanikiwa kupitia njia za ndugu zao au walizotumia jamaa zao

Kuna kitu nataka nikushauri kijana mwenzangu japo kwa uchache tu
Binadamu tumeletwa duniani ili tuishi na tufurahie maisha lakini huwezi kuyafurahia maisha Kama huna amani au muda wote una mawazo na vyote hivi huja Kama mtu huna pesa, naweza sema pesa Ina nafasi kubwa Sana katika maisha ya kila mtu, na mtu akishika pesa au akiwa na mfumo mzuri wa kumpatia pesa basi huyo mtu kuwa na amani ni rahisi zaidi kuliko ambaye Hana pesa, utaheshimiwa Kama unapesa,utakula unachohitaji kwa muda huo, itasaidia ndugu na wazazi kupitia pesa lakini ni namna gani tunaweza kujijengea tabia ya kupata pesa

1. Epuka makundi ya watu yote ambayo hayana mpango wala malengo katika maisha

2.nenda au hamia sehemu ambayo hawakujui ambako utakuwa unaweza uza hata mishikaki bila aibu ogopa kuishi sehemu ulipokulia Kama hujafanikiwa hutaweza kuendelea

3.unapoamka asubuhi usithubutu kwenda kazini Kama hujapangilia ratiba ya hio siku na matumizi Wala usitembee na pesa mfuko Kama haipo kwenye bajeti kwa kizingizio Cha dharura

4.usiwe mtu wa kawaida (yaani usifanye mambo kimazoea au kikawaida fanya vitu ambavyo hata wengine wanakushangaa ,usije kukatishwa na hofu ili mradi hicho kitu hakitoi uhai wako lakini kina msaada wa kukuingizia pesa fanya lolote liwezekanalo upate mtaji Kama huna ,unaweza kuomba kwa mtu ,kopa,uza chochote,nenda hata kwa waziri ndani kwake lia Sana akusaidie hata kianzio kwa ufupi fanya chochote kinachokuja mbele yako ili mradi upate pesa kamwe kwako mtaji usiwe kikwazo)

5.watumie watu wengine kukuingizia faida mfano Kuna vijana wengi mtaani hata kupata buku kwa siku shida watumie hao tafuta laki au laki mbili na majiko ya kuazima au kukopa anzisha vigenge vitatu au vinne vya kuchoma mishikaki waajiri vijana hao wamtaani walipe kwa kamisheni au buku mbili mbili baada ya mauzo n.k

6.fanya hata kazi ya udalali boresha kwa kiwango unachokihitaji ikiwezekana sajiri ili kuongeza uaminifu kwa watu panga ofisi upande unakuwa unalala hapohapo Anza kutafuta connection n.k

7.tafuta Jambo lolote ambako unalijua nje ndani Anza kufundisha watu Hilo Jambo watu kwa pesa n.k

Hapa chini nitaenda kueleza kazi ambazo unaweza kufanya kwa kutumia simu au computer ambazo ni online job

I) kazi ya kwanza inaitwa picoworkers

Hii ni site ambayo unajisajiri na kuona kazi ndogondogo ambazo unakuwa unafanya mfano kulike page za Facebook,kufollow mtu Twitter, kuretweet post za watu, kusign up n.k kila kazi unaweza fanya na ukalipwa Dola 0.10$ na unakamaliza kwa dakika 2 kwa siku ukifanya vikazi 100 tayari umeingiza chochote

II) kazi ya pili inaitwa adsterra

Hii ni kazi nzuri Sana na hii naifanya mpaka Sasa maana yenyewe unatengeneza link ambayo hio link unakuwa unasambaza kwenye page za Facebook na kokote unakotaka yaani mtu akiclick tu hio link wewe unalipwa yaani mtu ni kuclick tu haina haja ya kufanyaje ko utakachofanya wewe ni kutafuta maneno ambayo yatamshawishi tu mtu a click tu hio link haina haja ya kuwa na website au blog ni wewe na simu yako basi na haihitaji mtaji wowote kuanza. Malipo yanalipwa kutokana na CPM mfano siku hio CPM ikiwa 130 Ina maana waki click watu 1000 katika hio link basi utalipwa Dola 130 hesabu yake ni cpm×viewers gawanya kwa 1000 na CPM huongezeka au kupungua kutokana na nchi unazoshare na idadi ya viewers kwa siku

III) AFFLIATE MARKET
hii hapa ni kazi ambayo inahitaji mtu awe na uwezo wa kushawishi Sana na imegawanyika sehemu kuu mbili sehemu ya kwanza unaweza ukatumia ku reffer watu wanunue bidhaa au wajiunge katika huduma Fulani

Mfano wa site ambazo MTU unaweza ukajiunga kwa ajiri ya kuuza bidhaa ni
- clickbank.com
-amazon
-alibaba
-jvzoo
-commission junction n.k

Lakini upande wangu nimejiunga na affliate ya broker wale wa forex wananipata vizuri hapa na hii niliyojiunga nalipwa kila siku saa Tisa usiku kuanzia Dola 8 nakuendelea maana nalipwa kutegemeana na niliowaunga wanavyotrade ambayo approximation ya pesa nayolipwa kwa MWEZI si chini ya 500000 hio nifanye kazi au nisifanye

Ushauri Kama una pc au simu fanya online business

kwa usaidizi nicheki WhatsApp 0656958801

Hapa chini nimeweka screenshot ya vipesa nilivyolipwa usiku wa kuamkia Leo zaidi ya dola 9
Na siku zingine huwa nalipwa Hadi dola 30 kwa siku

Japo wapo wengine hulipwa zaidi ya hapo

View attachment 1503748
mimi natumia adfly ila sipost link kwa mtu naclick mwenyewe tu
 
Alaf kuna kitu lazima mkae mkijua wale wa YouTube ata bloggers huwa inakuwa applicable sana.

Unaweza ukawa na viewers weng lakin bado ukaptwa kwny malipo na mwwnye viewers wachache ata kama wote mmepata views kutoka location moja hii inatokana na aina ya market ambayo mtu unapubish for example mmoja ana account ya YouTube ya music na mwngne anafundsha how to invest in real estate, huyu mwenye real estate lazma atampga gap wa music ata kama amezidiwa views coz makampun ya real estate wanatoa pesa nying kujitangaza sana na insurance companies lazma wahusike hapo na kama mnavyojua google huwa wanadisplay matangazo kutokana na contents zako.

So usishangae millard ayo anapata views 500k per day akaptwa na anaepata views 100k.
Hyo ukiingia deep kwenye digital marketing ndio utazijua formula hizi ndo maana unaona smart huwa hawaangaik na blog za habari na umbea coz wanajua unatumia nguvu nying kupost daily alaf mafanikio kidogo wakat mm naweza nikapost kwa week mara 1 kwenye blog yangu ya investmnt na nikakupga gap kubwa sana.
# All the best.
Shule tam sana hii
 
Uzi mtamu, japo TCRA nao wakikubamba unatumia site/blog bila usajir tayar ni msaala
 
Back
Top Bottom