Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Hata utapeli unataka mtajiHakuna njia unayoweza kutengeneza pesa bila mtaji unless otherwise UTAPELI, nmekuja speed nikadhani kuna fursa ya kupiga hela kumbe yaleyale, motivational speaker bana tofauti yenu na ccm ni kuwa tu ninyi hamna sare ila wote matapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app