Njia ambazo mtu anaweza kutengeneza pesa mtandaoni bila mtaji

Kabisa! Hizo site zinalipa kiasi kidogo sana per click...kama adstera nadhsni wanalipa $0.0013 kwa kiwango chani per click ambayo ni sawa na $1.30 per 1000 clicks! Jamaa alisahau kuweka . katikati ya $1.30 watu wakashtuka!
Si kwamba kasahau ila ni motivational speaker hajawahi fanya alichokiandika ila anaaminisha watu alishwahi fanya ndiyo maana anakwambia yeey mwenyewe analipwaga hivyo.
 
Si kwamba kasahau ila ni motivational speaker hajawahi fanya alichokiandika ila anaaminisha watu alishwahi fanya ndiyo maana anakwambia yeey mwenyewe analipwaga hivyo.
Hatari sana, motivational speakers saanyingine wana motivate mashudu!
 
Hatari sana, motivational speakers saanyingine wana motivate mashudu!
Kuna ela mtandaoni lakini si rahisi kihivyo kama unaanza mwanzo uwa mgumu hasa youtube channel inabidi uwe mvumilivu na utengeneze brand na fanbase yako watakaokuwa wanaamini katika contents zako.

Mfano Maques Brownlee mfano wa channel inanyotumika kama reference mara nyingi kwa ubora wake wakati anaanza alikuwa anaweka video unakuta ina viewers 1000 mpaka leo ila sasa anaweka video ina viewers 1+ ndani ya siku tatu na niche yake ni tech kwanza anaingiza ela kwa viewers.

Pia anaingiza ela kutoka kwa sponsors inakadiliwa anatengeneza between dolar 8000 mpaka 120,000 kwa mwezi sasa kijana akiwa na umri wa miaka 25.
 
Hiyo ni safi kabisa, youtube inalipa ila inahitaji muda na nguvu nyingi... la sivyo hamna kitu.
 
HABARI,
Kushukuru ni jambo jema sana hata mbele za mungu,Huyu jamaa katoa msaada mkubwa sana kunavijana wangapi wamemaliza vyuo na hawana ajira na wanamiliki simu smart,Huoni hiyo ni wazo zuri maana hawezi kukosa bando la internet.

Tena hata wanafunzi wenye mikopo walio vyuoni wanaweza kutumia saa moja kila siku na akapata hela ya kujikimu.
SHUKURU KWA KILA JAMBO

LUMUMBA
 

CPM means COST PER MILLE hapo rekebisha sio thousands
 
Huko sahihi sana, nilijaribu hii, unashare link facebook zinamezwa, unaweza mwezi mzima ukaambulia dola moja tu, sio mchezo!
kushare sio njia sahihi adstera na adsense ni kama zna uwiano though adsense ipo juu sana, ili upate pesa hapo lazma uwe na blog/website but hyo style ya kufanya link sharing ni njia ya watu wanaojifunza kumake pesa online.

Alaf hakun advertising company amabyo ni legitimate watskaokulipa $1.3 kwa clicks 1000 hao watakuwa ni scam kabisa coz hyo ni pesa unayoweza kupata kwa impression 1000 tu tena unaweza ukalipwa zaid ya hapo inategemea views na click zinatoka wap(nchi gani).

Adsense wanalipa mpaka $5 kwa click but isiwe blog ya udaku. Ukitarget (USA, UK,Canada views) kwenye technology, insurance, health, real estate, education unaweza ukapga pesa mpaka ukaanza kuwadharau watu mtaani but nazo zina ushindani sana unatakiwa utulie kweli kujifunza mpaka upate organic traffic wa kutosha.

Hzo niche wanalipaga mpaka $10++ kwa click ila sio click za africa. za africa ni around $ 0.5-3
NB: Hakuna pesa utakayopata kihurahisi iwe online or offline you must work hard and be smart(mind).
 
jina langu Mimi kinacho nikwamisha katika shughuli hizi ni namna ya kulipwa, nina account NBC, nimejaribu kufungua account Payoneer ili niilink na ya NBC, naona imeshindikana MA sijaelewa ni kwa nini. Nimeambatanisha message kutoka payoneer.
 
Alaf kuna kitu lazima mkae mkijua wale wa YouTube ata bloggers huwa inakuwa applicable sana.

Unaweza ukawa na viewers weng lakin bado ukaptwa kwny malipo na mwwnye viewers wachache ata kama wote mmepata views kutoka location moja hii inatokana na aina ya market ambayo mtu unapubish for example mmoja ana account ya YouTube ya music na mwngne anafundsha how to invest in real estate, huyu mwenye real estate lazma atampga gap wa music ata kama amezidiwa views coz makampun ya real estate wanatoa pesa nying kujitangaza sana na insurance companies lazma wahusike hapo na kama mnavyojua google huwa wanadisplay matangazo kutokana na contents zako.

So usishangae millard ayo anapata views 500k per day akaptwa na anaepata views 100k.
Hyo ukiingia deep kwenye digital marketing ndio utazijua formula hizi ndo maana unaona smart huwa hawaangaik na blog za habari na umbea coz wanajua unatumia nguvu nying kupost daily alaf mafanikio kidogo wakat mm naweza nikapost kwa week mara 1 kwenye blog yangu ya investmnt na nikakupga gap kubwa sana.
# All the best.
 
Narudia kusema hakuna monetization yoyote inalipa USD 200 kwa viewers 1000, hata iweje. haijaishi watoke Marekani, niche iwe technology, hakuna.
 
Narudia kusema hakuna monetization yoyote inalipa USD 200 kwa viewers 1000, hata iweje. haijaishi watoke Marekani, niche iwe technology, hakuna.
Mimi kwa hyo $200 sijaihafk coz hakuna company inayoweza kurisk pesa kama hyo kwa just 1000 views but mm nilikuwa najaribu tu kutoa maelezo kuhusu dffrnt ya income
 
mm kwa hyo $200 sijaihafk coz hakuna company inayoweza kurisk pesa kama hyo kwa just 1000 views but mm nilikuwa najaribu tu kutoa maelezo kuhusu dffrnt ya income
Yah nakubariana na wewe ni mambo mengi yana determine income ya mtu
 
Umesomeka mkuu.
 

hakika umesema ukweli,,nmekomaa na adstera kwa zaid ya miez minne lakn mpala leo nina dollar 6 tu. lakn nkipiga hesabu nshatumia bundle kama la elfu 70+ hv,,plus mda niliopoteza kushare asbuh mpaka night. yaan inafika jion unaenda kuangalia earning unakuta imeongezeka 0.3$ daaaah unaanza kuhisi njaa ghafla asee. unarudi fb unakuta wamekuandkia "YOUR POST GOES AGAINST OUR TERMS, ONLY YOU CAN SEE THIS POST" afu wamekuwekea na ile alama ya triangle ya njano daaah mamaeee!!!! nkaona isiwe kesi nkauza laptop na mpaka leo adstera wakintumia email zao sijibu. Kaz za online nazpenda sana ila tatzo nakosaga quality traffic.

kuna jamaa nlikutana nae humu akanpa kazi ya kutranslate novel mamaaaaaaa kile kingereza hata prof.lumumba hakiwezi!!!!!!

all in all hakuna PESA rahisi iwe online au offline note that!!!!!!
 
mimi natumia adfly ila sipost link kwa mtu naclick mwenyewe tu
 
Shule tam sana hii
 
Kwa anayeuza website yenye AdSense tuwasiliane?
 
Uzi mtamu, japo TCRA nao wakikubamba unatumia site/blog bila usajir tayar ni msaala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…