Njia ambazo wapinzani mnazitumia ni dhaifu pro max, kwa ufupi ni kwamba hamjielewi.

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Let us say Abdul ameiba mabilioni yenu na kununua gari ya Bilioni mbili kama mnavyoaminishwa.
Tuassume ni kweli Samia ameuza bandari kama mlivyoaminishwa.
Tuassume Kikwete anaendesha nchi kwa sasa kama mnavyojazwa upepo.
Hapo mlipo mnasubiri CCM iachie madaraka kwa kelele za Mange Kimambi, yaani mmekaa mnasubiri Humphrey Polepole aongee mpaka CCM wang'atuke.
Hamna akili timamu.
Oktoba hakuna uchaguzi mlisema, leo ni September nadhani mnaona CCM walivyo serious utadhani wanacompete na chama chenye nguvu .
CCM wako serious, hata vyama vyote mngedhila wangeendelea na mipango yote kama kawaida.
Hiyo no reforms no election sijui mtaendelea kuiandika mtandaoni uchaguzi ukishaisha!!
Mnasubiri Wamarekani waje wawakomboe 😭😭😭
Sasa hivi kila nchi even USA wana changamoto zao, watu wako busy kujenga nchi zao, nyie third world mjikomboe wenyewe.
Kwa akili hizo CCM watatawala mpaka mwisho wa Dunia.
 
Mabadiliko huanza na wewe

Jamii mafuvu yakirudishiwa akili zao wataweza kuchakata fikra chanya na hasi
 
Back
Top Bottom