Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

Muite ana kwa ana, mueleze nia yako, na mpe sababu za wewe kufanya hivyo, pia mpe muda wa kutafakari kwa kina, na muwe mnawasiliana kwa mambo ya kawaida tu, taratibu-taratibu mpaka kila mmoja atashika njia yake kiroho safi.
 
Muite ana kwa ana , mueleze nia yako , na mpe sababu za wewe kufanya hivyo , pia mpe mda wa kutafakari kwa kina , na muwe mnawasiliana kwa mambo ya kawaida tu , taratibu taratibu mpaka kila mmoja atashika njia yake kiroho safi.
Hao wa kishua bwashee, hawa wa kwetu uswahilini ukishamwambia tuachane ndiyo imetoka hiyo anafuta na namba yako ukimtafuta utakuwa unatafuta ugomvi.
 
Tangu lini mapenzi yakafanyiwa maamuzi angali una utimamu
Wa fikra ? 😁
Usipo kua self ruled person, u will wait a message of women in her chat for hours bro, and yet she don't even reply, thus y I don't wait the sh*t to go down, i just delete the no and chill πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…