Hili limeniuma sana ,,,Nina chumba sasa aunt nishatoka kwa kaka ako 😂
Wewe si nimeona mahali unalalamika umetoka kuachwa, hebu uguza maumivu yako kwanza 🤣Hili limeniuma sana ,,,Nina chumba sasa aunt nishatoka kwa kaka ako 😂
Kwahiyo nitakutumia location uje maana najua ukilala tu kifuani utatoa yote ya moyoni
Aaanha wapi, sema nini, mapenzi tuwaachie wengine, sisi tutulie tu.Kuachwa uongo aisee nimechangamsha genge tu pale 😅
Njooni mnichekeshe ➡️ huku na visa vyenu vya wasichana waliowapiga mikwara ila bado tamu mkala.Hebu njoo au subir nimwombe kaka dosho12 akulete maana amenunua gari 🙌🏾😂
Tuongee asisikie mtu kaka “me hela sina we Fanya ufanyavyo ila Afike “🙌🏾ngoja nimfate chap, ila changia hela ya mafuta la sivyo nitampeleka sehemu nyingine 😁
Ukute mwanamke mwenyewe singo maza sasa, wanakuaga ving'ang'anizi haoBro kaa kmy basi inatosha
Ukitaka kumtoa mtu kwenye circle yako usimpe maelezo mengi, sana sana kama kosa lake analijuaKuna mmoja nimetoka hapa kumuambia akae mbali na maisha yangu binafsi, na pia jina langu likome kabisa kinywani mwake hata kulitaja ni kosa la jinai
Tatizo kibongo bongo kuachana kwa amani hainogiMuite ana kwa ana , mueleze nia yako , na mpe sababu za wewe kufanya hivyo , pia mpe mda wa kutafakari kwa kina , na muwe mnawasiliana kwa mambo ya kawaida tu , taratibu taratibu mpaka kila mmoja atashika njia yake kiroho safi.
Unakuta bado wanapendanaTatizo kibongo bongo kuachana kwa amani hainogi
😂😂😂😂😂😂Kuna mmoja nimetoka hapa kumuambia akae mbali na maisha yangu binafsi, na pia jina langu likome kabisa kinywani mwake hata kulitaja ni kosa la jinai
Kama ndio unakaa nae ndani yaani ile sogea tuishi ila ukaona mambo ambayo hayaeleweki kama kuwa na mawasiliano na mwanaume mwingine na ukimwambia aache atakubali kwa muda huo ila mkigombana kidg au kama unamwelekeza jambo ambalo amekukosea lakini anapandisha kisirani inakuwaje mkuu jinsi ya kuachana nae Evelyn Salt cocastic secretarybird comment yenu ni ya muhimu sanaa napitia hii changamotoKaa kimya
Fukuza haraka sana.Kama ndio unakaa nae ndani yaani ile sogea tuishi ila ukaona mambo ambayo hayaeleweki kama kuwa na mawasiliano na mwanaume mwingine na ukimwambia aache atakubali kwa muda huo ila mkigombana kidg au kama unamwelekeza jambo ambalo amekukosea lakini anapandisha kisirani inakuwaje mkuu jinsi ya kuachana nae Evelyn Salt cocastic secretarybird comment yenu ni ya muhimu sanaa napitia hii changamoto
🫡Yaani kuna time mpaka nampiga lakini haelewi by the way nilifanya makosa though ni kwa sababu unamsaidia mambo ya home pindi hayupo lakini akifika utaskia mbona umesahau hiki na hiki badala aulize kwa upole anauliza kwa jazbaFukuza haraka sana.
Poleeee, 😂😂😂😂😂🫡Yaani kuna time mpaka nampiga lakini haelewi by the way nilifanya makosa though ni kwa sababu unamsaidia mambo ya home pindi hayupo lakini akifika utaskia mbona umesahau hiki na hiki badala aulize kwa upole anauliza kwa jazba