Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

Balance shobo
Hii ndiyo inakuwaje?

Muite ana kwa ana , mueleze nia yako , na mpe sababu za wewe kufanya hivyo , pia mpe mda wa kutafakari kwa kina , na muwe mnawasiliana kwa mambo ya kawaida tu , taratibu taratibu mpaka kila mmoja atashika njia yake kiroho safi.
Umeeleweka vizuri, mkiendelea kuwasiliana swala la nyege na hamu za kukutana kimwili nalo mnalihandle vipi? hasa kama hamjaachana kwa ugomvi au matukio.

Hao wa kishua bwashee, hawa wa kwetu uswahilini ukishamwambia tuachane ndo imetoka hyo anafuta na namba yako ukimtafuta utakuwa unatafuta ugomvi
Ni wewe huwa unafanya hivi au ushawahi kufanyiwa hivyo?
 
Hii ndiyo inakuwaje?


Umeeleweka vizuri, mkiendelea kuwasiliana swala la nyege na hamu za kukutana kimwili nalo mnalihandle vipi? hasa kama hamjaachana kwa ugomvi au matukio.


Ni wewe huwa unafanya hivi au ushawahi kufanyiwa hivyo?
Hizo hamu ni kuziendekeza tu , ila kiukweli zinawezwa puuziwa tu, binafsi nikiachana na mtu hata hizo hamu na yeye zinakata
 
hujawahi kutana na vichaa hawaelewi mpaka unaanza kuwa ugomvi 😁
wapo mkuu ila muhimu ajue kuwa humpendi lolote likitokea asilete lawama sana

Halaf kumwambia ukwel Inasaidia hata akitokea mtu anamtak inakuwa rahisi kwake kuingia kwenye mahusiano kuliko hujamwambia halaf mtoto wa watu anakataa wanaume wengine kumbe humpendi
 
Ni lugha tu za mtaani ila maana yake upunguze mazoea na uishi maisha yako
Huwa inapendeza sana kwa MTU ambaye we ndiyo unaonesha kumtaka ila yeye hana muda na wewe
Kwa ambaye humtaki ye anakutaka inabidi umueleze tu ukweli ajue
Teyana Taylor 90S GIF by The Breaks.gif


Sawa, mambo ya kupenda au kupendwa acha tuwaachie nyie wenye roho ngumu.
 
Back
Top Bottom