Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

Kuachwa uongo aisee nimechangamsha genge tu pale πŸ˜…
Aaanha wapi, sema nini, mapenzi tuwaachie wengine, sisi tutulie tu.
Hebu njoo au subir nimwombe kaka dosho12 akulete maana amenunua gari πŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚
Njooni mnichekeshe ➑️ huku na visa vyenu vya wasichana waliowapiga mikwara ila bado tamu mkala.
Mbebe na dosho12 na gari lake πŸ˜… !
 
Kaa kimya
Kama ndio unakaa nae ndani yaani ile sogea tuishi ila ukaona mambo ambayo hayaeleweki kama kuwa na mawasiliano na mwanaume mwingine na ukimwambia aache atakubali kwa muda huo ila mkigombana kidg au kama unamwelekeza jambo ambalo amekukosea lakini anapandisha kisirani inakuwaje mkuu jinsi ya kuachana nae Evelyn Salt cocastic secretarybird comment yenu ni ya muhimu sanaa napitia hii changamoto
 
Fukuza haraka sana.
 
🫑Yaani kuna time mpaka nampiga lakini haelewi by the way nilifanya makosa though ni kwa sababu unamsaidia mambo ya home pindi hayupo lakini akifika utaskia mbona umesahau hiki na hiki badala aulize kwa upole anauliza kwa jazba
Poleeee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…