Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

Nyetuka mbele yake huku ukiisifia nyeto ilivyotamu. Akiona hivyo ataona yeye hana thamani kabisa maishani mwako na huo ndo utakuwa mwanzo wa kuchukua kila kilicho chake na kutanga na njia.

Mbaga Jr MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
Muite ana kwa ana , mueleze nia yako , na mpe sababu za wewe kufanya hivyo , pia mpe mda wa kutafakari kwa kina , na muwe mnawasiliana kwa mambo ya kawaida tu , taratibu taratibu mpaka kila mmoja atashika njia yake kiroho safi.
Don't do this dude
 
Kuna mmoja nimetoka hapa kumuambia akae mbali na maisha yangu binafsi, na pia jina langu likome kabisa kinywani mwake hata kulitaja ni kosa la jinai
Kojo la alfajiri litakunyoosha, kitu kitasoma hadi kipasuke kwa kuvimba, hakuna pa kupozea.

Kosa hilo umefanya litakugharimu sana na utamrejesha himayani kwa tozo na 'masumule' ya kufuru, shauri yako.

Sijui lakini, labda uwe umemchoka sana, lakini kama ni jaziba za kawaida, utamrudisha kwa kutambalia magoti, mi nakwambia.
 
Mkuu hawa ukiendekeza unapata depression, ndio maana wanaume wengi kifo kinakuwa haraka Kwa ajiri ya Hawa watu Kuna kipindi inabidi uwe ngumu Kwa afya ya moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…