Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Dogo perege kwa Wangari Maathai? Yani wewe mrangi/mpare unapenda wanawake walokuzidi umri wakati ni kachalii tu.Kisa cha Kujitesa ? Chukua Mwewe bro....!
Mambo Ya Kuambiana RIP Yametuchosha.Madereva Wa Highway Akili zao Wanazijua wenyewe.
usisahau kuandika kabisa wosiaWakuu Krismasi nimepanga kuitest LANDCRUISER PRADO TX kutoka Dar mpaka Johannesburg nipitie njia gani baada ya kuvuka Border? Zambia-Zimbabwe-SA au Mozambique?
NB: Ikumbukwe hii ni Adventure tu vibali/documents zote zimekaa vizuri
CORRECTION: Njia gani nzuri Dar-Johannesburg