Njia gani nzuri Dar-Johannesburg?

Njia gani nzuri Dar-Johannesburg?

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Wakuu Krismasi nimepanga kuitest LANDCRUISER PRADO TX kutoka Dar mpaka Johannesburg nipitie njia gani baada ya kuvuka Border? Zambia-Zimbabwe-SA au Mozambique?

NB: Ikumbukwe hii ni Adventure tu vibali/documents zote zimekaa vizuri

CORRECTION: Njia gani nzuri Dar-Johannesburg
 
Kisa cha Kujitesa ? Chukua Mwewe bro....!

Mambo Ya Kuambiana RIP Yametuchosha.Madereva Wa Highway Akili zao Wanazijua wenyewe.
Dogo perege kwa Wangari Maathai? Yani wewe mrangi/mpare unapenda wanawake walokuzidi umri wakati ni kachalii tu.

Ulipokuwa Makumira unasoma guest zote za maji ya chai na Kikatiti ulikuwa unawaleta tu mabibi.

Halafu madrasa na swala Tano hukosi. Ole wako wangejua tabia yako mbofumbofu
 
Wakuu Krismasi nimepanga kuitest LANDCRUISER PRADO TX kutoka Dar mpaka Johannesburg nipitie njia gani baada ya kuvuka Border? Zambia-Zimbabwe-SA au Mozambique?
NB: Ikumbukwe hii ni Adventure tu vibali/documents zote zimekaa vizuri
CORRECTION: Njia gani nzuri Dar-Johannesburg
usisahau kuandika kabisa wosia
 
Dar--Lusaka--victoria Falls-- Bulawayo --Beitt bridge--Musina-- Polokwane--Amaskeral--pretoria-- Midrand -- Joberg.
 
Nahisi sehemu kubwa atakuwa anapitia Msumbiji...
 
Back
Top Bottom