Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

Kama wewe ni Mkatoliki jua kwamba kwa wanandoa njia yoyote ya kuzuia mimba kwa makusudi ni DHAMBI ....kama unavyojaribu kutafuta maarifa ya kuzuia mimba ni vizuri ukajua ukweli huu then uchague ....ukiamua kukausha poa ila kama umesoma ujumbe huu message sent and delivered ....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Emergence contraceptive/Vidonge vya dharura;
•P2
•P72
•Levonorgestrel Ritcher 0.75
•preventol
•i pill
Kazi kwako na mechi njema kumbuka pia kujikinga na UKIMWI
Unajua lkn madhara ya hv vdonge ukinyw mara moja n sawa na kutoa mayai ya mwanamke ytee kwhy hpaa utavuruga hedhi yake lakn pia janga kubw n pale unapohtaj mtto hlf usimpat kw wakt au kua tasa kabisaaa doooh hkna jemaa
 
kula mbegu moja ya nyonyo ya kienyeji kila mwenzi ni njia ya uhakika kuzuia mimba na kupanga uzazi!!
 
Je, imetokea kwa bahati mbaya umetegeka na mwanafunzi na ukamwaga ndani? Au umemwagia dada ambae unahisi huwezi kuzaa nae au hauko tayari, vivyo hivyo kwa mwanamke umetembea na mwanaume usingependa uzae nae au hauko tayari kuzaa nae.

Embu tusubiri wataalamu watupe majibu, mwenyewe sijui.
Sijawahi kojolea ndani nmezoea kukojolea nje tu
 
Ndugu , sperms, hazioshwi kwa maji, hata kama utaingiza Mpira wa kumwagilizia bustani. Ukiisha ejaculate, mbegu zinasafiri kuelekea katika filopian tubes zikifuata yai liliko ambako maji unayotaka kuoshea hayatafika. Tena ni hatari zaidi kama mwanamke atakuwa ni yule mwenye multi orgasms huyo ni moto Mara moja.
mwambie maji hayasaidii..ila asidi aina ya sulphuric acid ikiwa concentrated inafanya kweli....
 
ukitaka kuzuia mimba,badala ya tendo nenda kondeni ukalime....kama ni lazima ufanye tendo basi mwanamke anapaswa kuwa na kisu kikali pembeni..atakapoona dalili za jemba kukojoa akate mpini ghafla kabla hajakojoa huyo mwanamme...hapo utakuwa umezuia mimba...
 
Hii ndiyo defensive mechanism katika psychology!

Mleta mada kaharibu sehemu (Tena kwa Mwanafunzi).Ngoja tusubiri mrejesho.

Stay tuned.
 
Back
Top Bottom