Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

Unajua lkn madhara ya hv vdonge ukinyw mara moja n sawa na kutoa mayai ya mwanamke ytee kwhy hpaa utavuruga hedhi yake lakn pia janga kubw n pale unapohtaj mtto hlf usimpat kw wakt au kua tasa kabisaaa doooh hkna jemaa
Acha kutisha watu Mkuu, yai litakuwa tayari kupokea tena mbegu mpaka mwezi unaokuja kwa huyo mwanamke.
 
yani humu tunasaidia kweli kweli ..
namimi nikazie hapo hapo tuu ni
1.Majivu
2.P2
3.Flagile
4.Morning After
5. Majani ya Chai Meengi koroga kwenye chai..
kama walivyo sema wenzangu hapo juu.. Ingawa mi sijui
Mkuu inaonekana unachangia usichoelewa
 
Wauji mnapeana mbinu adhalani ..cc. siro!!
 
Ni sahihi..... Lakini atakuwa na probability ya kupata magonjwa ya zinaa, homa ya INI, na hata virusi vya ukimwi.
Duuh! umenena vyema kabisa,watu wanasahau kabisa kua uzinzi humuweka mtu katika hatari si yakupata mimba tu,bali hata homa ya ini ambayo kwasasa inaua sana pia inapatikana kwa njia ya uzinzi,ngoja tuendelee kuteketea kwakukosa maarifa.
 
We jamaa umekalili so mtu hata akitumia njia ya asili (kalenda) nayo dhambi? Uo ukatoliki wa wapi?
 
Kutokana na uliyoongea hapo juu.... Do you really practice what you preach ...!!! Au hizi ni nadharia za kwenye makaratasi pekee???
 
Hahaaa hayo majibu ni balaaa í ½í¸í ½í¸
 
hahaha...,naon mnaogopa kwenda veta[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Coca au pepsi baridiii kesho yake asubuh au keshokutwa...nimetumia miaka 9 sasa...sijawah mpa demu mimba

Mkuu nieleweshe vizuri hapo. Anakunywa Soda ya Pepsibaridi siku ya pili au yatatu baada ya tendo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…