Wakuu wa wilaya wapo toka nchi imepata uhuru ndugu yangu na itakuaje wilaya kama hakuna mkuu wa wilaya Rais Samia Suluhu anafanya kazi kubwa tumpe hongera zake ameikuta nchi kwenye janga la corona pia vita vya ukraine vikayumbisha uchumi lakini Tanzania tumeendelea kusimama
Huna hoja yoyote, kwa nn majukumu ya wakurugenzi yasitekelezwe na wakuu wa wilaya?
Wanakazi gani? Ambazo ni kubwaacha kiherehere, wakuu wa wilaya Wana kazi kubwa kuliko wakuregenzi
Hizo kazi zao zitafanywa na wakurugenzi wa wilaya yaani wataongezewa majukumu wakisaidiwa na DASacha kiherehere, wakuu wa wilaya Wana kazi kubwa kuliko wakuregenzi