Wakuu wa wilaya wapo toka nchi imepata uhuru ndugu yangu na itakuaje wilaya kama hakuna mkuu wa wilaya Rais Samia Suluhu anafanya kazi kubwa tumpe hongera zake ameikuta nchi kwenye janga la corona pia vita vya ukraine vikayumbisha uchumi lakini Tanzania tumeendelea kusimama
..Wakuu wa wilaya au Ma-DC walikuwepo tangu enzi za UKOLONI wa Muingereza.
..Lakini hiyo haimaanishi kwamba tunawahitaji hata leo hii.
..Tunao Wakurugenzi wa wilaya ambao wanaweza kabisa kutekeleza majukumu ya wakuu wa wilaya.
..Serikali ifute nafasi ya Mkuu wa wilaya ili kuokoa fedha za umma.