Njia nyepesi kwa CHADEMA ni kuomba radhi Watanzania, nothing else

Kuishi nchi Moja na watu wenye akili kama matahira unahitaji uvumilivu sana

Kuishi nchi Moja na wapumbavu wanaujua ukweli ila wanapimdisha Kwa ajili ya njaa inahitaji uvumilivu wa juu

Yaani Chadema ndo waliopiga watu Risasi wewe pimbi wa taifa ??
 
Sawa na kusema Tundu Lissu aombe radhi kwa Samia
Ni hiari yao, lakini watanzania sio wajinga kama walivyotaka tufikirie kuwa kweye zile vurugu serikali ndiyo iliyokosea.

Watanzania wanamuona Samia kama Mama Shupavu aliyesitisha uangamizaji wa miundombinu ya taifa na mali za watu. Mama Samia leo hii angelaumiwa sana kupita kiasi kama angeshindwa kuilinda nchi nchi isiungue, hakuna ambae angemwelewa. Watanzania wengi mpaka leo hawajui malengo ya chadema yalikuwa kuharibu nini na nini kwa kiwango gani, hasa baada ya kuona wameunguza vituo vya polisi, ofisi za serikali, vituo vya mwendokasi, ATM, TRA, petrol stations, mahakama, mabaa, maduka ya watu na wizi wa kila aina. Watanzania bado wanajiuliza maswali kama ingekuwaje kama vituo vyote vya polisi, vituo vyote vya mwendokasi, ofisi zote za serikali na TRA zote, shule na hospitali za serikalli nchini vingeunguzwa. Hali yetu ya kiuchumi, huduma za kijamii, uslama na kisiasa vingekuwaje.

Je, hata kama chadema kingeingia madarakani ndiyo ingejenga ofisi nyingine, vituo vya polisi vingine, TRA nyingine, mahakama, shule, hospitali na barabara nyingine kwa fedha ipi kutoka wapi?

Ukweli chadema wamewakosea watanzania. Dhambi hii itawatafuna sana na haiwezi kufutika kwa kusema na kuandika sana mitandaoni; wametukosoa. Mama samia ni mmoja tu, na miundombinu mingine nae aliikuta tu na ataiacha; huwezi kuchoma mali za watanzania wote kwa kisingizio cha Mama Samia. Watanzania sio mazuzu wa kiasi hicho, hwatabaki salama. haiwezekani.
 
Itoshe tu Itoshe tu kusema wewe ni mpumbavu tena taahira kabisa. Chadema ilijiweka mbali kabisa na shughuli zote na nyie washenzi mkatumia mahakama kuizuia isifanye shughuli zote za kisiasa kwa kuiogopa sasa kilichotokea Chadema inahusika vipi? Wa kuwaomba radhi Watanganyika ni huyo mama yenu Jezebel aliyeleta Wazanzibari wenzake kuja kuua maelfu ya Watanganyika. Inaelekea amekutieni dole kabisa kila ushenzi anaofanya nyie mazombi mnamshangilia tu mataahira wakubwa nyie.
 
Wakati utaongea tu tuliza bolu, likiisha hilo ndo tutajua nani ataomba hiyo radhi unayopendekeza chawa
Narudia tena ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza.
 
Hivi nyie chawa mnaakili kweli?kwa ushupavu wa kuuza bandari na maliasili? Kwa ushupavu wa wale wote mafisadi aliowafunga Magufuri leo hii anapiga nao dili huyo mama yenu,kuanzia Kikwete,Rostam,Angera kuziga,mpaka Singanga wa puto na wengineo mnatuona watanzania kama wajinga
Unazani Magufuri angekuwepo angeruhusu watanzania wauwawe na huyo mama yenu?
 
Kuishi nchi Moja na watu wenye akili kama matahira unahitaji uvumilivu sana

Kuishi nchi Moja na wapumbavu wanaujua ukweli ila wanapimdisha Kwa ajili ya njaa inahitaji uvumilivu wa juu

Yaani Chadema ndo waliopiga watu Risasi wewe pimbi wa taifa ??
Kuna taahira mwenzenu mmoja alikuwa anaomba Mungu Simba na Yanga zife ili mashabiki wake wote wahamie chadema. Chadema kuna malonyalonya wengi, irrational.
 
Tanzania imeshakuwa nchi ya chama kimoja CCM, sioni hata umuhimu wa chaguzi za maigizo hizi ni upotevu wa kodi ya mwananchi tu, kama vipi wafute tu vyama vingine vyote tujue moja nchi ni ya chama kimoja CCM.
Naunga hoja
 
Kaua vibaka bhana we, hata wewe ungewaua kama wangekuja nyumbani kwako kumbaka mkeo na kuiba baiskeli yako.
 
CHADEMA ndio wanateka watu?.
Serikali haiwezi kuteka walipakodi wake bhanawee!! ukiona katekwa na serikali basi ni kibaraka na hatari kwa taifa. Kuna tofauti kati ya usalama wa mtu na usalama wa taifa. Kama serikali inateka watu hovyo mbona wewe hujatekwa?

Usichukue hela za watu huko kisha unasema watanzania wanatekwa kumbe anatafutwa atekwe ni wewe. Tanzania tunayo intelijensia kubwa kidogo, tunatumia fedha nyingi kuwafundisha vijana wetu wengi ndani na nje ya nchi namna ya kulilinda taifa lao. Usidhani tanzania ni porous kiasi hicho. Vibaraka wote lazima wamekuwa wakidakwa kuanzia kwenye nyumba za ibada, uraiani, mashirika ya hisani, taasisi za kiraia na kidini; kote huko tunawavurumua ilimradi tu watanzania wawe salama. Walishindwa akina Oscar, makaburu, wareno, Gaddafi na Idd Amin sembuse watu kama nyie? Yaani TISS yetu na wadau wengine washindwe kujua nani aliteta vurugu zile na kwasababu gani; kama ikifikia hapo tutaivunjilia mbali waende wakalime vijijini kwa mama zao na kuunda TISS mpya.
 
Mpwa ushakuwa mtu mzima sasa acha upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…