Tanzania ni mali ya watu 65m, hivyo katiba na sheria zinawahusu watu wote 65m. Kati ya hawa ni wangapi wana malalamiko ya Katiba na sheria zetu?. Na je hao wenye malalamiko inatosha kuunguza miundombinu ya watu wote 65m?. Yaani kuunguza nyumba yenu ya familia ya watu 15 kwasababu tu baba yenu alikunyima wewe haki yako ya kwenda disco usiku ni sawa? Ni kweli kucheza disco wewe ni haki yako lakini inatosha wewe kuichoma nyumba yenu kwakuwa umekatazwa kwenda? Sisi watu wa Mbagala bado tunajiuliza kwanini mwendokasi wetu uliharibiwa na chadema kwasababu ya uchaguzi na Katiba?. Tunaona ni kama vile kulikuwa na mengine kuliko uchaguzi na Katiba.Ukiwa mkweli, bila kutetea njaa, hebu tuambieni, madai yao katika mabadaliko ya sheria ya uchaguzi wanayodai ni ya haki au umeridhika na hii iliyopo. ?
Pumzika na chadema , kunywa maji mengi..Watanzania sio wajinga, wanajua kuwa chadema ndio waliharibu mali, maisha na utaratibu wao mzima siku ya na baada ya uchaguzi. Wananchi sio wajinga wa kushindwa kujua kwamba no reforms no election ya chadema ndio chanzo cha wapendwa wao kufa, kuumia na mali zao kuharibiwa. Watanzania wa leo wanafahamu kuwa mali iliyoharibiwa haikuwa ya Samia wala CCM bali ni mali yao watanzania inayowafaa watanzania na iliyotokana na kodi na nguvu zao.
Watanzania leo hii wanaziita vurugu zile kwa jina "vurugu za chadema". Mfano, niliwasikia wananchi wa Gongolamboto wanaohangaika kutafuta wapi ofisi zao za serikali za mtaa na Kata zilihamishiwa kwa sasa baada ya kuchomwa pale gongolamboto wakisema "baada ya vurugu za chadema ofisi za kata na kanda 5 zilihamishiwa Chanika kwenye kona ya Kigogo fresh". Kule Mbagala baada ya usafiri wa mwendokasi kusimama muda mfupi tu baada ya kuanza walikuwa wanalia na vurugu za chadema kurejesha adha ya usafiri Mbagala.
Chadema hata watoe maelezo gani kutaka kujitenga na zile vurugu wananchi hawatawaelewa kabisa. Wanajua chadema waliharibu mali zao, imeharibu ajira zao, imeharibu huduma zao na iliharibu mazoea yao.
Kwa watanzania, chadema sio ile tena wanayoifahamu bali watu hatari kwao. Hebu wajaribu kuitisha mkutano wa hadhara leo ili waone mwiitikio wa wananchi, hasa pale ambapo polisi watasema mkutano hauna kibali.
Hata nchi na taasisi za kimataifa zinajua kuwa chadema ndio waliofanya vurugu zile. Taasisi na jumuiya za kimataifa zina taarifa kamili kuwa chadema walichoma mali za umma na za wawekezaji binafsi utamaduni ambao hata wao hawakubaliani nao pia kwakuwa nchi hizo zinawekeza tanzania pia pamoja na watu wao. Hivyo, utamaduni wa kuiba na kuchoma mali za wawekezaji wanaona utakuja kuwagharimu hata wao wenyewe. Jumuiya na taasisi za kimataifa zinazo taarifa kamili kuwa waandamaji waliua askari wanaolinda watu na mali zao utamadunia ambao hata wao hawaukubali kwakuwa hata wao wana mali na watu wao ambao wanahitaji kulindwa na walinzi hao. Ndiyo maana malalamiko yao hayapewi attention ya kutosha, kwakuwa chadema wamefanya vitendo vya kigaidi achacho sio tu kinawaathili wenyeji lakini hata wageni pia.
Dunia nzima sasa hivi inakumbatia dialogue (kiti na meza) sio mapigano.
Chadema waombe radhi wananchi kwa kile kilichotokea la sivyo, hawana njia nyingine.
Mimi kama Mtanzania ninajizatiti kila njia yaani kimdahalo, kidemokrasia hata kimapigano kuiondoa CCM maana ndiyo kansa inayodumaza nchiWatanzania sio wajinga, wanajua kuwa chadema ndio waliharibu mali, maisha na utaratibu wao mzima siku ya na baada ya uchaguzi. Wananchi sio wajinga wa kushindwa kujua kwamba no reforms no election ya chadema ndio chanzo cha wapendwa wao kufa, kuumia na mali zao kuharibiwa. Watanzania wa leo wanafahamu kuwa mali iliyoharibiwa haikuwa ya Samia wala CCM bali ni mali yao watanzania inayowafaa watanzania na iliyotokana na kodi na nguvu zao.
Watanzania leo hii wanaziita vurugu zile kwa jina "vurugu za chadema". Mfano, niliwasikia wananchi wa Gongolamboto wanaohangaika kutafuta wapi ofisi zao za serikali za mtaa na Kata zilihamishiwa kwa sasa baada ya kuchomwa pale gongolamboto wakisema "baada ya vurugu za chadema ofisi za kata na kanda 5 zilihamishiwa Chanika kwenye kona ya Kigogo fresh". Kule Mbagala baada ya usafiri wa mwendokasi kusimama muda mfupi tu baada ya kuanza walikuwa wanalia na vurugu za chadema kurejesha adha ya usafiri Mbagala.
Chadema hata watoe maelezo gani kutaka kujitenga na zile vurugu wananchi hawatawaelewa kabisa. Wanajua chadema waliharibu mali zao, imeharibu ajira zao, imeharibu huduma zao na iliharibu mazoea yao.
Kwa watanzania, chadema sio ile tena wanayoifahamu bali watu hatari kwao. Hebu wajaribu kuitisha mkutano wa hadhara leo ili waone mwiitikio wa wananchi, hasa pale ambapo polisi watasema mkutano hauna kibali.
Hata nchi na taasisi za kimataifa zinajua kuwa chadema ndio waliofanya vurugu zile. Taasisi na jumuiya za kimataifa zina taarifa kamili kuwa chadema walichoma mali za umma na za wawekezaji binafsi utamaduni ambao hata wao hawakubaliani nao pia kwakuwa nchi hizo zinawekeza tanzania pia pamoja na watu wao. Hivyo, utamaduni wa kuiba na kuchoma mali za wawekezaji wanaona utakuja kuwagharimu hata wao wenyewe. Jumuiya na taasisi za kimataifa zinazo taarifa kamili kuwa waandamaji waliua askari wanaolinda watu na mali zao utamadunia ambao hata wao hawaukubali kwakuwa hata wao wana mali na watu wao ambao wanahitaji kulindwa na walinzi hao. Ndiyo maana malalamiko yao hayapewi attention ya kutosha, kwakuwa chadema wamefanya vitendo vya kigaidi achacho sio tu kinawaathili wenyeji lakini hata wageni pia.
Dunia nzima sasa hivi inakumbatia dialogue (kiti na meza) sio mapigano.
Chadema waombe radhi wananchi kwa kile kilichotokea la sivyo, hawana njia nyingine.
Hii ndo lugha ya CHADEMAUtafiti tulioufanya ni kuwa mama yako Samia aka Iddi Amin Mama muuaji wa watoto wa kitanganyika, ndiye mwizi wa kura na hili alilifanya baada ya kuona pamoja na kuwafungia wapinzani hata mwenyewe hawezi kushinda, nani angemchagua dubwana kama lile. Yupo pale kuiba pesa zetu ili wajinufaishe na wezi wenzake. Bado mnaota CHADEMA kweli mna shida kwenye makalio yenu wapumbavu ninyi.
Huko Minneapolis ICE wamempiga risasi mtoto wa miezi sita, sawa sawa na kile kichanga kilichopigwa risasi tarehe 29 October.Tanzania ni mali ya watu 65m, hivyo katiba na sheria zinawahusu watu wote 65m. Kati ya hawa ni wangapi wana malalamiko ya Katiba na sheria zetu?. Na je hao wenye malalamiko inatosha kuunguza miundombinu ya watu wote 65m?. Yaani kuunguza nyumba yenu ya familia ya watu 15 kwasababu tu baba yenu alikunyima wewe haki yako ya kwenda disco usiku ni sawa? Ni kweli kucheza disco wewe ni haki yako lakini inatosha wewe kuichoma nyumba yenu kwakuwa umekatazwa kwenda? Sisi watu wa Mbagala bado tunajiuliza kwanini mwendokasi wetu uliharibiwa na chadema kwasababu ya uchaguzi na Katiba?. Tunaona ni kama vile kulikuwa na mengine kuliko uchaguzi na Katiba.
Hakuna Rais duniani ambae hatatumia vyombo vya dola kulinda dola na mamlaka yake
View: https://www.youtube.com/live/7LbjQiUF21k?si=LQsX7aGCRnXoOX30
Siyo uharo. Hujaelewa weweUmeandika uharo. Wapuuzi kama wewe ni wakupuuzwa.
Kuzima internet kunaleta vipi usalama wewe zezeta?Wewe hujui kitu kuhusu watalii na wazungu. Wazungu na watalii huwa wanajali usalama wao kwanza kuliko vitu vingine (safety first). Kama kuzima internet ni sehemu ya kuhakikisha usalama kwao hawaoni shida kabisa na hilo. Wazungu hawataki kufa lakini waarabu hawaogopi kufa.
Internet inahusika vipi na hicho unachoita "kuathirika" mfano wewe bila internet utaitaje usafiri wa Uber??Hebu wewe tupe maoni yako tuwashe internet ili watu wengi waathirike au tuzime internet ili watu wengi wawe salama?
Onyesha mahali ambapo CHADEMA walitoa statement watu wachome vituo vya mafuta, naomba link ya hiyo taarifa iwe ni maandishi au video.Chadema waliwaza nini kuchoma na kuharibu vituo vya mwendokasi kama sehemu ya no reforms no election? Hili lilikuwa shambulio la moja kwa moja kwa wananchi wanaotumia usafiri wa mwendokasi (wananchi);
Wewe ni zezeta , kampeni ya NRNE ilisema hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi na kweli CHADEMA haikushiriki hicho kiinimacho mlichokiita uchaguzi .maana Samia hapandi mwendokasi wala treni wala daladala wala mabasi ya mikoani, ilikuwaje mwendokasi uwe sehemu ya shabaha za no reforms no election?. LAZIMA wawaombe radhi wananchi kama wanataka ahueni.
Walipopewa agizo la kuzima internet walijua kuna hasara zitajitokeza. Huwezi kuacha mawasiliano hewani wakati nchi inapambana na uasi wa kutokea nje, unawapa hao maadui zako nafasi za kukumaliza kirahisi.Kuzima internet kunaleta vipi usalama wewe zezeta?
Unajua risk ya watalii kutembea na pesa kwa mtindo wa cash?
Internet inahusika vipi na hicho unachoita "kuathirika" mfano wewe bile internet utaitaje Uber??
Au unafikiri watalii wanapendelea kupanda usafiri wowote tu usio na usajili unaotambulika vyema?
Una habari watalii hao hao walishaachana na mambo ya physical SIM card waingiapo point of entry za nchi husika maana siku hizi kuna application zinazotoa unlimited data kwa kutumia e-SIM kama Holafly na nyingie nyingi.
Watu wametoka kwenye physical SIM card maana zamani ukiingia kila nchi ili uwe active ni lazima upate SIM card au utumie public Wi-Fi ambazo sio kila mtu anazipenda maana kiusalama sio sawa., sasa wewe unasafiri nchi 10 ndani ya miezi 3 utakua na SIM card 10 ukitoka unatupa ??
CCM wamejaa mazezeta wa mtindo wako ambao bado mnafikiri kimawazo tuko 1970 kwamba mtakaa na kubuni propaganda na watu watazibeba maana mmewafungia hawasafiri na hawajui kinachoendelea huko dunia ya kwanza.
Onyesha mahali ambapo CHADEMA walitoa statement watu wachome vituo vya mafuta, naomba link ya hiyo taarifa iwe ni maandishi au video.
Wewe ni zezeta , kampeni ya NRNE ilisema hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi na kweli CHADEMA haikushiriki hicho kiinimacho mlichokiita uchaguzi .
Bado nasema nipe link hapa CHADEMA wakielekeza watu kuchoma vituo vya mwendokasi , mafuta na maduka.
Mazezeta mlishindwa kuchuja kuwa yale maandamano yalikua ya wananchi na sio chama ndio maana hata katika maiti zote zilizofunikwa zilifunikwa na bendera za Tanzania na sio CHADEMA?
Kwa video hii hapa chini hiki ndio mnachoita uchaguzi?
View attachment 3530742
Chawa kama Chawa Unanufaika na Mfumo unatuona hamnazo au SioWatanzania sio wajinga, wanajua kuwa chadema ndio waliharibu mali, maisha na utaratibu wao mzima siku ya na baada ya uchaguzi. Wananchi sio wajinga wa kushindwa kujua kwamba no reforms no election ya chadema ndio chanzo cha wapendwa wao kufa, kuumia na mali zao kuharibiwa. Watanzania wa leo wanafahamu kuwa mali iliyoharibiwa haikuwa ya Samia wala CCM bali ni mali yao watanzania inayowafaa watanzania na iliyotokana na kodi na nguvu zao.
Watanzania leo hii wanaziita vurugu zile kwa jina "vurugu za chadema". Mfano, niliwasikia wananchi wa Gongolamboto wanaohangaika kutafuta wapi ofisi zao za serikali za mtaa na Kata zilihamishiwa kwa sasa baada ya kuchomwa pale gongolamboto wakisema "baada ya vurugu za chadema ofisi za kata na kanda 5 zilihamishiwa Chanika kwenye kona ya Kigogo fresh". Kule Mbagala baada ya usafiri wa mwendokasi kusimama muda mfupi tu baada ya kuanza walikuwa wanalia na vurugu za chadema kurejesha adha ya usafiri Mbagala.
Chadema hata watoe maelezo gani kutaka kujitenga na zile vurugu wananchi hawatawaelewa kabisa. Wanajua chadema waliharibu mali zao, imeharibu ajira zao, imeharibu huduma zao na iliharibu mazoea yao.
Kwa watanzania, chadema sio ile tena wanayoifahamu bali watu hatari kwao. Hebu wajaribu kuitisha mkutano wa hadhara leo ili waone mwiitikio wa wananchi, hasa pale ambapo polisi watasema mkutano hauna kibali.
Hata nchi na taasisi za kimataifa zinajua kuwa chadema ndio waliofanya vurugu zile. Taasisi na jumuiya za kimataifa zina taarifa kamili kuwa chadema walichoma mali za umma na za wawekezaji binafsi utamaduni ambao hata wao hawakubaliani nao pia kwakuwa nchi hizo zinawekeza tanzania pia pamoja na watu wao. Hivyo, utamaduni wa kuiba na kuchoma mali za wawekezaji wanaona utakuja kuwagharimu hata wao wenyewe. Jumuiya na taasisi za kimataifa zinazo taarifa kamili kuwa waandamaji waliua askari wanaolinda watu na mali zao utamadunia ambao hata wao hawaukubali kwakuwa hata wao wana mali na watu wao ambao wanahitaji kulindwa na walinzi hao. Ndiyo maana malalamiko yao hayapewi attention ya kutosha, kwakuwa chadema wamefanya vitendo vya kigaidi achacho sio tu kinawaathili wenyeji lakini hata wageni pia.
Dunia nzima sasa hivi inakumbatia dialogue (kiti na meza) sio mapigano.
Chadema waombe radhi wananchi kwa kile kilichotokea la sivyo, hawana njia nyingine.
Mipango yote ya kuichoma nchi yetu iliwekwa kwenye folder moja lenye jina la No reforms no election ya chadema. Ukilifungua hilo hilo folder ndaani yake yake ndipo unaweza kukutana na mafaili mengine mbalimbali yenye taarifa na malengo tofauti. Ndani ya folder la no reforms no election kuna file la ushindani wa kibiashara, file la uporaji wa rasilimali, file la kwenda Ikulu, file watu waliopokonywa ulaji wao na file lililotaka tanzania itokee cascade positive feedback ya uhasama mkali kati ya CCM na chadema hasa baada ya ofisi za CCM kuchomwa moto. Watu hawa walijua kuwa CCM nao wangelipiza kwa kuzichoma ofisi za chadema na wanachadema baada ya chadema kuchoma ofisi za CCM na wanaCCM.Pumzika na chadema , kunywa maji mengi..
Pia tumuombe MELO aweke reaction ya DOLE LA KATI KATI watu kama kavulata LINAWAHUSU.
Hujafanya home yako vizuri, unafiriki kwa kutumia moyo badala ya ubongo. Tanzania sio kisiwa, kama kuindoa CCM ndio njia ya kuelekea maendeleo bora kuliko tulivyo sasa basi tungeuona mgfano huo kutoka katika nchi za Afrika ambazo wapinzani wameviangusha vyama vyao vya ukombozi kama CCM. Narudia tena na tena na tena kuwa tatizo letu mama sio CCM. Hata ukiiondoa CCM utapata tu kundi lingine la kututawala wakati hali yetu itabaki ileile na vilevile au kurudi nyuma zaidi ya hapa tulipo. Kama taifa na kama bara la Afrika lazima tutafute kwa pamoja namna ya:Mimi kama Mtanzania ninajizatiti kila njia yaani kimdahalo, kidemokrasia hata kimapigano kuiondoa CCM maana ndiyo kansa inayodumaza nchi
Umelipwa shillingi ngapi na ccm kuleta UHARO wako hapa?Watanzania sio wajinga, wanajua kuwa chadema ndio waliharibu mali, maisha na utaratibu wao mzima siku ya na baada ya uchaguzi. Wananchi sio wajinga wa kushindwa kujua kwamba no reforms no election ya chadema ndio chanzo cha wapendwa wao kufa, kuumia na mali zao kuharibiwa. Watanzania wa leo wanafahamu kuwa mali iliyoharibiwa haikuwa ya Samia wala CCM bali ni mali yao watanzania inayowafaa watanzania na iliyotokana na kodi na nguvu zao.
Watanzania leo hii wanaziita vurugu zile kwa jina "vurugu za chadema". Mfano, niliwasikia wananchi wa Gongolamboto wanaohangaika kutafuta wapi ofisi zao za serikali za mtaa na Kata zilihamishiwa kwa sasa baada ya kuchomwa pale gongolamboto wakisema "baada ya vurugu za chadema ofisi za kata na kanda 5 zilihamishiwa Chanika kwenye kona ya Kigogo fresh". Kule Mbagala baada ya usafiri wa mwendokasi kusimama muda mfupi tu baada ya kuanza walikuwa wanalia na vurugu za chadema kurejesha adha ya usafiri Mbagala.
Chadema hata watoe maelezo gani kutaka kujitenga na zile vurugu wananchi hawatawaelewa kabisa. Wanajua chadema waliharibu mali zao, imeharibu ajira zao, imeharibu huduma zao na iliharibu mazoea yao.
Kwa watanzania, chadema sio ile tena wanayoifahamu bali watu hatari kwao. Hebu wajaribu kuitisha mkutano wa hadhara leo ili waone mwiitikio wa wananchi, hasa pale ambapo polisi watasema mkutano hauna kibali.
Hata nchi na taasisi za kimataifa zinajua kuwa chadema ndio waliofanya vurugu zile. Taasisi na jumuiya za kimataifa zina taarifa kamili kuwa chadema walichoma mali za umma na za wawekezaji binafsi utamaduni ambao hata wao hawakubaliani nao pia kwakuwa nchi hizo zinawekeza tanzania pia pamoja na watu wao. Hivyo, utamaduni wa kuiba na kuchoma mali za wawekezaji wanaona utakuja kuwagharimu hata wao wenyewe. Jumuiya na taasisi za kimataifa zinazo taarifa kamili kuwa waandamaji waliua askari wanaolinda watu na mali zao utamadunia ambao hata wao hawaukubali kwakuwa hata wao wana mali na watu wao ambao wanahitaji kulindwa na walinzi hao. Ndiyo maana malalamiko yao hayapewi attention ya kutosha, kwakuwa chadema wamefanya vitendo vya kigaidi achacho sio tu kinawaathili wenyeji lakini hata wageni pia.
Dunia nzima sasa hivi inakumbatia dialogue (kiti na meza) sio mapigano.
Chadema waombe radhi wananchi kwa kile kilichotokea la sivyo, hawana njia nyingine.
Wewe ni SIKIO LA KUFA🤣😁Mipango yote ya kuichoma nchi yetu iliwekwa kwenye folder moja lenye jina la No reforms no election ya chadema. Ukilifungua hilo hilo folder ndaani yake yake ndipo unaweza kukutana na mafaili mengine mbalimbali yenye taarifa na malengo tofauti. Ndani ya folder la no reforms no election kuna file la ushindani wa kibiashara, file la uporaji wa rasilimali, file la kwenda Ikulu, file watu waliopokonywa ulaji wao na file lililotaka tanzania itokee cascade positive feedback ya uhasama mkali kati ya CCM na chadema hasa baada ya ofisi za CCM kuchomwa moto. Watu hawa walijua kuwa CCM nao wangelipiza kwa kuzichoma ofisi za chadema na wanachadema baada ya chadema kuchoma ofisi za CCM na wanaCCM.
Ndani ya folder la No reforms no election yako mafaili ya kidini, kibiashara, kiwivu, rasilimali zetu, hujuma na siasa.
Kama sio chadema mnatakiwa kulaani uharibifu wa mali na ajira za watanzania wenzenu. Hamkufanya hivyo. Chadema walichoma bhana, na wameminywa sana. Ukweli wako hoi sana. Ombeni radhi mtakuja kunishukuruKuzima internet kunaleta vipi usalama wewe zezeta?
Unajua risk ya watalii kutembea na pesa kwa mtindo wa cash?
Internet inahusika vipi na hicho unachoita "kuathirika" mfano wewe bila internet utaitaje usafiri wa Uber??
Au unafikiri watalii wanapendelea kupanda usafiri wowote tu usio na usajili unaotambulika vyema?
Una habari watalii hao hao walishaachana na mambo ya physical SIM card waingiapo point of entry za nchi husika maana siku hizi kuna application zinazotoa unlimited data kwa kutumia e-SIM kama Holafly na nyingie nyingi.
Watu wametoka kwenye physical SIM card maana zamani ukiingia kila nchi ili uwe active ni lazima upate SIM card au utumie public Wi-Fi ambazo sio kila mtu anazipenda maana kiusalama sio sawa., sasa wewe unasafiri nchi 10 ndani ya miezi 3 utakua na SIM card 10 ukitoka unatupa ??
CCM wamejaa mazezeta wa mtindo wako ambao bado mnafikiri kimawazo tuko 1970 kwamba mtakaa na kubuni propaganda na watu watazibeba maana mmewafungia hawasafiri na hawajui kinachoendelea huko dunia ya kwanza.
Onyesha mahali ambapo CHADEMA walitoa statement watu wachome vituo vya mafuta, naomba link ya hiyo taarifa iwe ni maandishi au video.
Wewe ni zezeta , kampeni ya NRNE ilisema hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi na kweli CHADEMA haikushiriki hicho kiinimacho mlichokiita uchaguzi .
Bado nasema nipe link hapa CHADEMA wakielekeza watu kuchoma vituo vya mwendokasi , mafuta na maduka.
Mazezeta mlishindwa kuchuja kuwa yale maandamano yalikua ya wananchi na sio chama ndio maana hata katika maiti zote zilizofunikwa zilifunikwa na bendera za Tanzania na sio CHADEMA?
Kwa video hii hapa chini hiki ndio mnachoita uchaguzi?
View attachment 3530742
Walidhani Samia ni sawa na wale wake zao majumbani. Aliwaminya wakaminyika kisawasawa. Walitarajia mauwaji yale yatageuka mtaji wao kisiasa; wameangukia patupu. Yaani wamejambia kwenye kibuyu ushuzi haukusambaa kama walivyotaka wao, hakuna aliyetema mate kwa harufu ya ushuzi wao. Waliwafanya chambo watoto wa watu huku watoto wao wakiwa sehemu salama kabisa. Wazazi wetu ni mazuzu kabisa kuwaacha watoto wao wageuzwe chambo na wahuni. Vijana waliokamatwa wakiulizwa kwanini mlichoma nchi yenu hawana cha kujibu zaidi ya kutekeleza maagizo. Ndio maana Samia aliwaachia huru.Huko Minneapolis ICE wamempiga risasi mtoto wa miezi sita, sawa sawa na kile kichanga kilichopigwa risasi tarehe 29 October.
Vita haina macho.
Nikifa leo wewe utakufa kesho, hatimaye wewe na mimi tutakufa na nchi itabaki. Hapo vepe!! Mna option moja tu, kuwaomba radhi watanzania wenzenu mliowaharibia miundombinu yao. Huwezi kuchoma kabati la nguo kwakuwa panya unaemtafuta amekimbilia humo.Wewe ni SIKIO LA KUFA🤣😁
Wewe zezeta weka ushahidi hapa CHADEMA walichoma vituo vya mafuta, na weka ushahidi wapi viongozi wa CHADEMA walihamasisha watu wakachome vituo vya mafuta.Kama sio chadema mnatakiwa kulaani uharibifu wa mali na ajira za watanzania wenzenu. Hamkufanya hivyo. Chadema walichoma bhana, na wameminywa sana. Ukweli wako hoi sana. Ombeni radhi mtakuja kunishukuru
Bila No reforms no election mtoto kama huyu asingepatwa na haya. Lissu, Lema, Heche walianza kwa kuziondosha familia zao kwanza ndio wakaja na no reforms no election. Hata hivyo, hakuna ushahidi kuwa huyo mtoto ni Tanzania na sehemu gani ya nchi.Wewe zezeta weka ushahidi hapa CHADEMA walichoma vituo vya mafuta, na weka ushahidi wapi viongozi wa CHADEMA walihamasisha watu wakachome vituo vya mafuta.
Hii video hapa chini ni mtoto mdogo asiye hata na zana za kujihami kapigwa risasi tumboni anakufa bila msaada.
Mazezeta kama wewe na Samia bado mnaamini zama hizi za teknolojia utapika propaganda baada ya kuzima mitandao ili watu wasijue mlichokifanya.
Sasa mtoto kama huyo ni CHADEMA??
View attachment 3531819
Au wapi CHADEMA waliwaambia watoto wakachome vituo vya mafuta?