Njia nyepesi ya kumfukuza mwanaume

Muombe hela tu mwanaume akikutongoza wewe umtaki muombe hela tu akikutumia uyo kweli anakupenda nakuganda πŸ€—πŸ€—πŸ€— napenda pesa jaman ukija kwangu unatakiwa uwe mvumilivu na kibunda pia
Ila mzigo unatoa?

#YNWA
 
Unapenda Hela afu wenye hizo hela ni watu wenye watoto sawa na umri wako… Kwa sababu unapenda Pesa unapewa hizo pesa na nyongeza ya ngwengwe ukaangaike nayo huko!
 
Mkuu hii ID inanifanania na.....anyway wenye nguvu waweke mahema waishi, wakichoka wahame wakajenge mahem kwingine. Hali ishakuwa ngumu hii...
 
Muombe hela tu mwanaume akikutongoza wewe umtaki muombe hela tu akikutumia uyo kweli anakupenda nakuganda [emoji847][emoji847][emoji847] napenda pesa jaman ukija kwangu unatakiwa uwe mvumilivu na kibunda pia
Halafu hata Trako huna unataka hela za wanaume tu!!
 
Mkuu hii ID inanifanania na.....anyway wenye nguvu waweke mahema waishi, wakichoka wahame wakajenge mahem kwingine. Hali ishakuwa ngumu hii...
Ni mateso mkuu.
Ukiomba namba ya simu, ukalogwa ukatext neno "HELLO"

Kabla hujatamka neno lingine unaandikiwa:
1. Gas imeisha
2. Kodi imeisha
3. Kesho birthday
4. Sijui nini blablaa yaani unageuka sijui kitu gsniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wabarikiwe wanawake wote wansojua thamani yao na wakapewa akili...tako hata pundamilia ni namba 8
 
Mkuu hii ID inanifanania na.....anyway wenye nguvu waweke mahema waishi, wakichoka wahame wakajenge mahem kwingine. Hali ishakuwa ngumu hii...
Mtaje hata kwa herufi ya kwanza tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi unamkumbuke yule mrembo wetu Pati...123?
Mrembo sana na akili juu?πŸ˜‚
 
Hii imenitokea juzi tu hapa, kuna mtoto mmoja wa Kinyarwanda mtaa wa pili tu hapa afu mimi ni mgeni hapa mtaani.

Naenda dukani nikakutana na uyo manzi, nikabonganae nae nashangaa kiswahili chake akijanyooka faster akaniambiya mimi sijui kiswahili vizuri ni Mnyarwanda

Nikaona Yes nimepata demu akanipa namba, bas nikasepa getto nikaanza kubonga nae mtoto akajaa full yaani

Basi bhana nikitaka kumpa appointment ananiambiya niende kwao, nikawa namuhuliza vipi mama yako hamna noma akawaajibu amna noma wewe njoo tu

Kweli nikaenda mama yake full kuenjoy akasema mwanangu anasema anakupenda so usimchezee (dah nilishangaa coz bongo mambo hayo hatuna)

Basi mama yake akasema huyu faransi ajapandwa na mtu yeyote wewe ndio utakuwa wa kwanza, so usimchezee mwanangu Basi moyoni nikawa najisemea mambo haya mbona mageni kwangu yaani unahitwa na mama mkwe demu mmekutana yaani hata siku2 bado hapo

Nikawa najisemea kuwa itakuwa Rwanda huko wanaishi maisha hayo kama wazungu maana bongo mama akijua mtoto wake umemtongoza inakuwa balaa nzito

Basi demu yule nikitaka kutoka nae out naenda kwa mama yake namchukua naenda nae town then namrudisha kumbuka sijasex nae Hadi time iyo

kila nikimvuta getto anakuwa mjanja mjanja yaani, Basi akaniomba hela 20k nikamwambia ifuate getto hataki, nikaona siyo kesi nikaenda kwao nikampa ile hela

Mapicha picha yakaanza wakaanza kuongea kinyarwanda palepale sielewi kitu nikaaga nikasepa zangu

bhana eeh! ikaingiya sms kuanzia saa hii sikuhitaji( nikamwambiya unasemaje wewe)kumbuka nimetoa 20k afu anatuma sms iyo kumbe ile familia ndiyo tabiya yao hapo mtaani

kilichowakuta hawaamini aisee
 
Muombe hela tu mwanaume akikutongoza wewe umtaki muombe hela tu akikutumia uyo kweli anakupenda nakuganda [emoji847][emoji847][emoji847] napenda pesa jaman ukija kwangu unatakiwa uwe mvumilivu na kibunda pia
Blood succking vampire
 
Muombe hela tu mwanaume akikutongoza wewe umtaki muombe hela tu akikutumia uyo kweli anakupenda nakuganda πŸ€—πŸ€—πŸ€— napenda pesa jaman ukija kwangu unatakiwa uwe mvumilivu na kibunda pia

Alaah kumbe unataka hela tu ??? 🀣🀣🀣🀣
Halafu hakuna cha bure siku hizi, ukipewa hela ni lazima uitumikie na ukiwa na tabia ya kuomba sana hela Utapewa tu lakini shughuli yake lazima wahuni waongezee na Busta a.k. Congo dusts
 
Mtaje hata kwa herufi ya kwanza tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi unamkumbuke yule mrembo wetu Pati...123?
Mrembo sana na akili juu?πŸ˜‚
Mbona yule yupo namuona mara moja moja! Bado unamkumbuka eenh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…