Hii imenitokea juzi tu hapa, kuna mtoto mmoja wa Kinyarwanda mtaa wa pili tu hapa afu mimi ni mgeni hapa mtaani.
Naenda dukani nikakutana na uyo manzi, nikabonganae nae nashangaa kiswahili chake akijanyooka faster akaniambiya mimi sijui kiswahili vizuri ni Mnyarwanda
Nikaona Yes nimepata demu akanipa namba, bas nikasepa getto nikaanza kubonga nae mtoto akajaa full yaani
Basi bhana nikitaka kumpa appointment ananiambiya niende kwao, nikawa namuhuliza vipi mama yako hamna noma akawaajibu amna noma wewe njoo tu
Kweli nikaenda mama yake full kuenjoy akasema mwanangu anasema anakupenda so usimchezee (dah nilishangaa coz bongo mambo hayo hatuna)
Basi mama yake akasema huyu faransi ajapandwa na mtu yeyote wewe ndio utakuwa wa kwanza, so usimchezee mwanangu Basi moyoni nikawa najisemea mambo haya mbona mageni kwangu yaani unahitwa na mama mkwe demu mmekutana yaani hata siku2 bado hapo
Nikawa najisemea kuwa itakuwa Rwanda huko wanaishi maisha hayo kama wazungu maana bongo mama akijua mtoto wake umemtongoza inakuwa balaa nzito
Basi demu yule nikitaka kutoka nae out naenda kwa mama yake namchukua naenda nae town then namrudisha kumbuka sijasex nae Hadi time iyo
kila nikimvuta getto anakuwa mjanja mjanja yaani, Basi akaniomba hela 20k nikamwambia ifuate getto hataki, nikaona siyo kesi nikaenda kwao nikampa ile hela
Mapicha picha yakaanza wakaanza kuongea kinyarwanda palepale sielewi kitu nikaaga nikasepa zangu
bhana eeh! ikaingiya sms kuanzia saa hii sikuhitaji( nikamwambiya unasemaje wewe)kumbuka nimetoa 20k afu anatuma sms iyo kumbe ile familia ndiyo tabiya yao hapo mtaani
kilichowakuta hawaamini aisee