RMK Freelancers Agency
JF-Expert Member
- Jan 15, 2025
- 397
- 442
Kama unatafuta business idea, angalia kwanza ni biashara gani wageni (foreign investors) wanaanzisha nchini, Kwanini nasema hivi?
Kwa sababu ÷
• Mara nyingi hawa wageni kutoka nje hutumia 6–12 months kufanya market research kabla ya kufungua biashara. Kwa kuangalia tu wanachofanya, unapata matokeo ya research ambayo wao walilipa gharama kubwa kuifanya.
• Wengi wao huajiri consultants na market analysts. Maamuzi yao yanategemea data na analysis, si kubahatisha. Huenda usione reports zao, lakini unaweza kuona final business decision wanayofanya.
• Mara nyingi wako tayari ku-risk capital kubwa sana. Kama mwekezaji yuko tayari kuwekeza millions kwenye sector fulani, mara nyingi inaonyesha kuna real market opportunity. Mjasiriamali wa ndani anaweza kuanza idea hiyo kwa small-scale investment ya TZS 1–10 million.
• Foreign investors huwa wana uwezo wa Ku-spot trends Mapema. Katika miji mingi, biashara kama fried chicken chains, bubble tea shops, au hotels zilianzishwa kwa mara ya kwanza na wageni kabla hazijaenea kwa wenyeji.
• Mara nyingi wanaona market gaps ambazo wenyeji wanazipuuza. Wakati mwingine watu wa ndani hupuuza kuuza bidhaa au huduma fulani, Lakini mwekezaji wa nje anakuja, anathibitisha kuna real demand, na biashara inafanikiwa.
• Biashara za wageni mara nyingi huonyesha growth ya middle class demand. Wanapofungua premium services, mara nyingi ina maana soko limeanza kukua na liko tayari pia kwa affordable versions za huduma hizo.
• Mara nyingi hawabuni kitu kipya kabisa; wanachofanya ni replicate proven business models ambazo tayari zimefanikiwa kwenye miji na nchi nyingine.
Kuja na idea mpya ni vizuri, but not necessary. Copy na kupaste! Mara nyingi smart strategy ni kuangalia kinachofanya kazi sehemu nyingine, kujifunza, kisha adapt the model kwa namna inayofaa in your local market.
That's creativity!
Kwa ufupi sana, naomba kuwasilisha hoja!