Njia nzuri za kukwepa kuibiwa au kuporwa fomu za uteuzi kwa wagombea wa CHADEMA

Njia nzuri za kukwepa kuibiwa au kuporwa fomu za uteuzi kwa wagombea wa CHADEMA

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,315
Reaction score
13,269
Pigeni photocopy hizo fomu kisha mzijaze na mzihifadhi kwenye bahasha zinazofanania na zile za NEC then siku ya kurudisha fomu mnabeba mkononi fomu feki huku form Halisi mkiwa mmeificha sehemu salama mfano inaweza kuwa hata ndani ya shati, ikitokea mtu kavamia na kupora form basi mtakuwa mmempiga kanzu na chenga kama ronaldo, msitegemee polisi peke yake jiongezeni.

Wakuu Mnaweza kuongeza mbinu zingine hapa chini
 
Kuna dalili siyo kuanzia sasa ambapo wagombea nafasi mbali mbali wa upinzani wanapigwa na kuporwa fomu zao kabla ya kuzirejesha. Kuna uwezekano wa matukio haya kuzidi kuwa mabaya. Imetokea huko Nyanda za juu kusini, tunasikia Temeke huko DSM, Moshi ni.

USHAURI
Wale mnaogombea msilale na fomu majumbani mwenu pekee yenu. Jikusanyeni ikiwezekana fanyeni kambi mkae pamoja na mrudishe forms zenu kwa wakati mmoja.

Upinzani agizeni viongozi wenu wa kanda, mikoa na majimbo wasilale usiku huu. Wasimamie zoezi hili vinginevyo mtaumia
 
Kuna dali siyo kuanzia sasa ambapo wagombea nafasi mbali mbali wa upinzani wanapigwa na kuporwa form zao kabla ya kuzirejesha. Kuna uwezekano wa matukio haya kuzidi kua mabaya.Imetokea huko Nyanda za juu kusini,tunasikia Temeke huko DSM, Moshi ni.

USHAURI
Wale mnaogombea msilale na forms majumbani mwenu pekee yenu. Jikusanyeni ikiwezekana fanyeni kambi mkae pamoja na mrudishe forms zenu kwa wakati mmoja.
Upinzani agizeni viongozi wenu wa kanda, mikoa na majimbo wasilale usiku huu. Wasimamie zoezi hili vinginevyo mtaumia
ccm wamejipanga vizuri kuujambia uchaguzi kwakasi ya 5G
 
Si muweke hizo form ofisini, hiki chama Kiko Kama ofisi za madalali
 
Kuna dali siyo kuanzia sasa ambapo wagombea nafasi mbali mbali wa upinzani wanapigwa na kuporwa form zao kabla ya kuzirejesha. Kuna uwezekano wa matukio haya kuzidi kua mabaya.Imetokea huko Nyanda za juu kusini,tunasikia Temeke huko DSM, Moshi ni.

USHAURI
Wale mnaogombea msilale na forms majumbani mwenu pekee yenu. Jikusanyeni ikiwezekana fanyeni kambi mkae pamoja na mrudishe forms zenu kwa wakati mmoja.
Upinzani agizeni viongozi wenu wa kanda, mikoa na majimbo wasilale usiku huu. Wasimamie zoezi hili vinginevyo mtaumia
Tatizo Wapinzani Wabishi sana Uchaguzi huu hauna tofauti na Serikali za Mitaa 2019
 
JPM unasema umenunua ndege, SGR, umeboresha bla bla na hivi na vile. Utakuwa unapendwa sana wewe na chama chako sasa woga wa nini?

Hii inaonyesha wewe na chama chako ni waongo kupindukia na mnajua kuwa watu hawajaridhika na kazi waliyowapa mfanye miaka mitano iliyopita.

Unayoruhusu yafanyike yataingiza watu barabarani kisha utaua wawili watatu na wewe utajikuta The Hague peke yako ukipambana na mabadiliko ya maisha. Utaacha mke na watoto wanawayawaya huku nyumbani.

Ogopa wapambe wanao kudanganya, acha uchaguzi huru ili hata ukimwagwa iwe kwa heshima.
SASA HIVI CHUKI ZINAZIDI JUU YAKO
 
Kuna dalili siyo kuanzia sasa ambapo wagombea nafasi mbali mbali wa upinzani wanapigwa na kuporwa fomu zao kabla ya kuzirejesha. Kuna uwezekano wa matukio haya kuzidi kuwa mabaya. Imetokea huko Nyanda za juu kusini, tunasikia Temeke huko DSM, Moshi ni...
Hizi ni propaganda za wapinzani Mkuu, hakuna anaeporwa fomu ni Upuuzi tu wa kutaka kuonekana wanafanyiwa hila. Hivi unamporaje mtu fomu ambae unajua wazi utamshinda kwenye sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom