njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
Wengine wamejipandisha mahakamani huko tunduma kwa kosa LA wizi Wa silaha halafu wote wagombe udiwaniHizi ni propaganda za wapinzani Mkuu, hakuna anaeporwa fomu ni Upuuzi tu wa kutaka kuonekana wanafanyiwa hila. Hivi unamporaje mtu fomu ambae unajua wazi utamshinda kwenye sanduku la kura.