John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje?
Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia kuvunja mkataba na kuondoka, Au club kujiamulia kumvunjia mkataba mchezaji bila mazungumzo/makubaliano baina yao.
Njia pekee ya kijana kuondoka Yanga ni kutangaza kustaafu soka.