Njia pekee, rahisi na ya uhakika ya kuingia JWTZ

Mi nilienda pale mlalakuwa bila kujuana wala nini nikamuona askari mmoja mwenye vyeo fulani nikamfuata nikamueleza juu ya nia yangu aisee huwezi amini akanipa appointment nije kuchukua form nilishangaa sana ila kwa sasa sijui itakuwaje.Walinzi wakikuuliza waambie kuwa wewe unaenda kuonana na Brigedia ........... tunga jina mkuu.
 
Aisee
 
So u meab ukiwa na degree hupitii jkt unaenda jwtz moja kwa moja?
 
Napata shida kuelewa aliyeleta Uzi na anayejibu comments ni ID tofauti sikukatishi tamaa mkuu pambana utatoboa nawe uvae baka baka karibu kwenye WWW
 
Ili ufanikiwe lazma ufanye biashara sasa ww chenga uende kwny ulinzi wako utakuja kujiajir ukiwa na mguu mmoja ndio utaona moto wake c unataka sifa nenda kawe kibaraka wa wanasiasa kuna vyuo vingi sana unasoma mda mfupi tu kwa mfano machine za migodini utakuja kuishi vzr tu ww unawaza kwnda kulinda kwa mkuu wa mkoa yy kalala na familia yake.black people wll remain black people.
 
Millitary field ni Sprit mkuu naona kijana ana Sprit na hio Field ila hata mimi kwa upande wangu naona Jeshi linakuweka limited sana Haswa linapokuja swala la earning Money, Siku unakutana na Wanao wameshatoboa Mijengo na Magari wewe bado uko Kota tu na Unasubiri beers za Promotion kutoka kwa CinC hahaha
 
Kwa sasa wana chukua moja kwa moja wataalamu wa IT sana sana kama umesomea hiyo songa mbele watakuchukua
 
Kazi za ulinzi& usalama ni utumwa
 

Hiyo alikuwa zamani mkuu
Siku hizi kila MTU lazima spite jkt haijarishi degree wala masters au PhD
RAIA wa kawaida hachukuliwi na jeshi
May b kuwe na special case ila utaratibu wa kuajiri toka mtaani jwtz iliacha kwa sasa inacheza na jkt tu
Miaka ya 2011 kurudi nyuma ilikuwa inafanya hivyo
 
we mseng.e ujue komedi xan.....[emoji2][emoji2]
 
Tafuta kazi ya maana ufanye kijana, kazi za uaskari ni kujiandalia umaskini wa milele tu.
Kazi ya maana ni ipi ( kwa mtazamo wako?)
Mortuary attendant, ( muangalizi maiti.bila yeye ngoma haitoki)
Lab technicians ( mpima specimen na puuzikiwemo) bila yeye minyoo itakuua.
Dentist ( anangoa meno yasiyopiga mswaki)
Mzibua vyoo ( mkishiba vyoo vinaziba):akikataa kuja kwenu kuzibua choo mnahama nyumba.
Fundi Magari,Dog trainer nknk.
Usidharau kazi.
 
Umri umeshakutupa mkono kwa kazi ya JWTZ. Huwa wanataka mtu anapotoka chuoni kwao awe na 26 years kwa mtu wa chuo kikuu na wale akina yakhe angalau awe na 23 - 25 anapotoka chuoni. Sasa wewe ukipelekwa utatoka na 27 au 28 kitu ambacho hawakitaki! Umechelewa mkuu, waza mengine! Hata sisi wengine tulikuwa tunapendaga sana JWTZ lakini tukaangushwa na umri!!
 
Kuwa Makin Na Matapeli Hakuna Nafasi Ya Jeshi Moja Kwa Moja

May B Jeshi Liwe Linauhitaji Wa Watu Fran Iv

Kwa Mfano Madaktari
Madereva

Nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…