Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
- Thread starter
-
- #41
Kazi ni kazi mkuu, kwani huko kujiajiri kwenyewe ukisema usijitume (utumwa uleule ulioukataa) ukafanya kazi kilelemama utafanikiwa ? Acha tuu.Kazi za ulinzi& usalama ni utumwa
Physicist kaka.Hii ndio fan gan?
Haiwezekani...!Habarini Ndg ?
Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi nymbani tuu baada ya kupoteza muda Wa miaka miwili ( mitatu) ya JKT.Kwa hiyo, ninaomba mtu mwenye uwezo Wa kunisaidia nikaingia JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT, Ani PM tuongee vizuri ili niende huko.Siyo kwamba nahitaji kuwa huko kwa sababu ya uchumi mbovu Wa mtaani, au kwa sababu ya pesa ya huko HAPANA ! NI kwamba hili jeshi ninalipenda sana kutoka moyoni na sifa za kuwa huko nipo Nazo lakini kufika huko kumekuwa kugumu sana kwa miaka hii na bila kuwa na aliyekushika mkono huko, huwezi kuwa mwanajeshi JWTZ.Kama ni kukomaa mtaani ninaweza tuu vizuri na ninafanya shughuli za hapa na pale tatizo NI kwamba, NINAPENDA SANA KUWA MWANAJESHI WA JWTZ, imefikia hatua kila nikimuona bakabaka au afisa Wa huko, nakuwa nikiumia nafsi na kusononeka ilhali uwezo Wa kuwepo huko upo.Najua hili linawezekana nilishapitia jkt kwa mujibu Wa sheria SITAKI POVU ! USIONGEE UPUPU ! Na hakuna cha ooooh haiwezekani mpaka upitie jkt Mara oooh maisha yamechapa so natafuta pa kuchomokea , N.K HAPANA.Hata hivyo hakuna jipya wala siri dunia hii wala hakuna mtu malaika wala binadamu yyt mwenye hadhi ya juu kumzidi mwenzie kwa hiyo ni kawaida tuu maana wote tutakufa.NAOMBA MTU MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA KTK HILI ANI PM NISAIDIKE, tufanye namna yoyote ili NIWE HUKO pia Email yangu ni gidukimoshi@gmail.com NAOMBA NISAIDIE.
Hii dunia ni unfair kabisa.Kwani under 30 ni Mzee ? Vita vikitokea c hata over 50 watakamatwa waende kupigana ? Chenga sana yani.Uuuuuwiii.... Et ntaishia kuwaona jwtz kwa TV na mtaani ? Mungu wangu ! Sijui maisha ya-na/ta-kua vpUmri umeshakutupa mkono kwa kazi ya JWTZ. Huwa wanataka mtu anapotoka chuoni kwao awe na 26 years kwa mtu wa chuo kikuu na wale akina yakhe angalau awe na 23 - 25 anapotoka chuoni. Sasa wewe ukipelekwa utatoka na 27 au 28 kitu ambacho hawakitaki! Umechelewa mkuu, waza mengine! Hata sisi wengine tulikuwa tunapendaga sana JWTZ lakini tukaangushwa na umri!!
Usiseme rasharasha wakati kuna intake kuruti walirangulia mbele za haki kiss zoezi gumu LA kijeshi kwa wale Wa mujibu Wa sheria.Kambi niliyokuwepo wakati ule hatukujaliwa kupata zile nafasi za moja kwa moja za kwenda jwtz ndiyo maana nipo tuu mpaka leo siyo askari Wa huko LA sivyo Mimi ningekuwa huko.Zoezi lile (2013) lilifanywa vizuri sana hakukuwa na urasharasha km unavyosema hayo masomo unayoyataja na mengineyo, uzalishaji Mali na mazoezi mengi yanayopaswa kufanywa na JKT tulifanya.Basi tuu usawa wenyewe ndo ulivyo.Ninawasiwasi na iyokwa mujibu km ulipita maana km umepita japo kwa mujibu wanafundisha lashalasha lakini ayo masomo ya Up na Mk km kweli umeyasoma sizan km ungekuja hapa kuomba msaada unaoitaji otherwise kuwa mkweli usaidiwe.Kingine sikweli kwamba ukiwa mjeda utoboi kimaisha ayo yalikuwa maisha ya askar wakizaman ambao weng wao mawazo yalikuwa ni kunywa na wanawake BT 4now vijana wako vizr wamejenga na wanausafili ikumbukwe jeshi la sasa limesheen wasomi ivyo wanauchungu na life badala ya starehe.
sina maana hio unaweza kua na degree na ukapitia jkt hio haina shida ,,ila option nyingine kama anataka kwenda jwtz bila kupitia jkt ni ile ya kwenda Chuo cha maafisa wa jeshi afisa kadeti Monduli,hao hawapitii jkt na education minimum requirement ya kuingia huko lazma uanzie degreeSo u meab ukiwa na degree hupitii jkt unaenda jwtz moja kwa moja?
Hiyo alikuwa zamani mkuu
Siku hizi kila MTU lazima spite jkt haijarishi degree wala masters au PhD
RAIA wa kawaida hachukuliwi na jeshi
May b kuwe na special case ila utaratibu wa kuajiri toka mtaani jwtz iliacha kwa sasa inacheza na jkt tu
Miaka ya 2011 kurudi nyuma ilikuwa inafanya hivyo
Kazi ya kupewa amari na kutekeleza bila kutumia akili. Bora nikalime, mambo ya kukesha lindo! Mie aaaa.Kazi ya maana ni ipi ( kwa mtazamo wako?)
Mortuary attendant, ( muangalizi maiti.bila yeye ngoma haitoki)
Lab technicians ( mpima specimen na puuzikiwemo) bila yeye minyoo itakuua.
Dentist ( anangoa meno yasiyopiga mswaki)
Mzibua vyoo ( mkishiba vyoo vinaziba):akikataa kuja kwenu kuzibua choo mnahama nyumba.
Fundi Magari,Dog trainer nknk.
Usidharau kazi.
Nami nataka kuwa soldier, nikupm?Ni PM
PmNami nataka kuwa soldier, nikupm?
Wewe ni ni PM mimi wa mwanza mwenzakoNami nataka kuwa soldier, nikupm?
Ahaaaa nimecheka sanaNenda kaongee na mwakiborwa
atakuwa mtaani amesha stafu saiz
Ngoja tule kodi zenu za mazao. Beer,Sigara, mabati,gari, tax free. Maji, Umeme tunalipiwa.Kodi ya nyumba mnatulipia.Kazi ya kupewa amari na kutekeleza bila kutumia akili. Bora nikalime, mambo ya kukesha lindo! Mie aaaa.
Mtu kuwaambia anapenda JWTZ kuhusu pesa hajari!Kweli kabisa ila vijana hawajui tu.
Safi sana mkuu.AIPOLO, NAPENDA SANA HIYO KAZI, ACHA UMASKINI TUU HATA KUFA MAPEMA NI MOJA YA HASARA LAKINI SIANGALII HAYO YA UTAJIRI AU VINGINEVYO, NAPENDA TUU TENA KWA DHATI NDG.HATA NIKIWA FUKARA WA MWISHO DUNIA HII AU NIKIFA MAPEMA () SAWA TUU.
Hiyo mkuu ni sayansi, huwa hawalembi maandishi huko hawakusoma journalism mkuu.We una degree ndio unaandika Ivi? Na sisi darasa la nne la mkoloni itakuwaje
Duuu hii kibokoUna hizi Sifa Kuu zifuatazo za kuwa Mjeda / Mwanamedani....
Nasubiri majibu yangu tafadhali.
- Mvumilivu hata kama mwenzako anakuJumaNyosso?
- Kuhimili Kushinda njaa kwa Saa 72?
- Kuzunguka Uwanja wa Taifa mara / raundi 75 za Spidi ya Usain Bolt kila asubuhi ndipo unywe Uji / Chai?
- Kushinda Wiki tatu bila Kuoga, Kujamba wala Kunya?
- Kubeba mzigo / begi la Kilo 75 hadi 85 za Mawe Mgongoni mwako Saa 24 za Siku?
- Kutembea kwa miguu Dar mpaka Idodi au Ruaha Mkuu kila siku usiku na mkikatiza Mbugani Mikumi mbele ya Okwi / Simba?
- Kukaa miezi Kenda / Tisa bila Kungonoka / Kubaiolojiana na Mwanamke / Mwanaume yoyote na hata Kupiga Nyeto?
Haahahaahahaaa!kwa hyo hapo kwenye wote tutakufa unatutishia amaaa