MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Nimetafakari sana nimeona namna pekee ya kukinusuru chama rafiki CHADEMA ni Lissu kukubali matokeo na kumuunga mkono mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe mara baada ya uchaguzi wao. Kinyume na hapo CHADEMA haitasalimika. Itavunjika vipande baada ya muda mfupi.
Lissu na genge lake wajue kuwa CHADEMA ina watu wengi wanaokisapoti kimyakimya bila kuwa na kadi za chama wala kutaka kujulikana popote. Ushahidi wa hili ni kwenye kura ilizopata kwenye urais 2020. Uamuzi wa kutomuunga mkono Mbowe (mmiliki wa CHADEMA) au kuhama chama utakuwa ni uamuzi utakaompoteza vibaya Lissu.
CHADEMA isipofuata huu ushauri wangu ijiandae kupokonywa nafasi ya chama kikuu cha upinzani na UPDP ya Fahmi Dovutwa.