Njia pekee ya kujitenga (au kuwa sawa) na Wanyonyaji kutoka Ulaya na Marekani ni kufuata nyayo za China au Urusi

MAKA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
267
Reaction score
209
Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake.

LAKINI mimi naona zote hizo ni kelele tu. Tukitaka kuwa huru na mambo yetu hatuna budi kuchukua hatua kwa vitendo na kuanza kumiliki vya kwetu.

Lakini, Je, tunaweza? Au tuna mipango dhabiti ya kutujengea uwezo wa kuthubutu na kufuata nyayo za China na Urusi?

KWA KIFUPI TU, Kama hatuna Umoja imara, Satellite zetu, Makampuni yetu, Mabenki yetu, Kompyuta zetu, Google zetu, Microsoft zetu, n.k (vitu ni vingi), hatuwezi kuwakwepa hawa watu. Zitapigwa kelele nyingi lakini siku, wiki, miezi, miaka itasogea na tutabaki pale pale. Na zahama zitazidi kulikumba Bara la Afrika.
 
Ndugu yangu wewe tafuta ugali wako ule, ushibe na ulala. Haya mambo huyawezi na wote hatuyawezi.
Wewe jipange na yoyote tu atakayekuja na jema, awe mzungu, mjapani, muarabu, mchina, mkorea, mrusi nk. shikiria hapo hapo.

Mwisho unapaswa kujua tu, ATCL bado ni shiriki bovu mnoo na ndege zake nyingi ni mbovu na spana mkononi nk. Hakuna mamlaka ya mzungu itaruhusu libebe watu wake, ni hatari. ATCL libakie hapa hapa Tz likipiga trip za hapa na pale.
 
..Fukuza mabalozi wa EU, Marekani, Uingereza, na Canada.

..sitisha mara moja matumizi ya sarafu ya dola, paundi, na euro, katika biashara.

..vikwazo vya kiuchumi kwa mataifa hayo ya kibeberu.
 
Mh? Hii ndio njia sahihi kweli?
 
Hapo umesema Kweli.👍
 
..Fukuza mabalozi wa EU, Marekani, Uingereza, na Canada.

..sitisha mara moja matumizi ya sarafu ya dola, paundi, na euro, katika biashara.

..vikwazo vya kiuchumi kwa mataifa hayo ya kibeberu.
Hizi ndoto za mchana.
 
Kuwakataa wazungu ni sawa na kuikataa pumzi ya mwenyezi mungu.............unasema wazungu mbwa kabisa .........ukiumwa tezi dume unakimbilia kwao.........wazungu wajinga...........tv nyumbani kwako walijenga wao............hivi hawa wazungu mahanisi kweli hiyo chupi uliyovaa wametengeneza wao........wazungu wajinga sana .............na jioni una check in mwewe shaaaaaaaa uko santa Domingo unakulabata ...................wazungu ni wazungu tu yaani ni kama mwanamke ni kichaa akiwa uchi hata kama huna nyege utaangalia tu.........uwapende huwachukie huko ni kupoteza muda.............huko china huko Russia........huko irani ............wazungu ni wazungu tu.............computer zao system zao magari yao maghorofa marefu yalianzia kwao ustaarabu ulianzia kwao........huku toka mlipoletewa uchawi na hauna faida mpaka leo mmenga'ng'ania bado ndio muwaponde wazungu..............badilisha mada
 
Ndugu yangu wewe tafuta ugali wako ule, ushibe na ulala. Haya mambo huyawezi na wote hatuyawezi.
Wewe jipange na yoyote tu atakayekuja na jema, awe mzungu, mjapani, muarabu, mchina, mkorea, mrusi nk. shikiria hapo hapo.

Mwisho unapaswa kujua tu, ATCL bado ni shiriki bovu mnoo na ndege zake nyingi ni mbovu na spana mkononi nk. Hakuna mamlaka ya mzungu itaruhusu libebe watu wake, ni hatari. ATCL libakie hapa hapa Tz likipiga trip za hapa na pale.
Ndege mpyaaa kabisa zimenunuliwa kutoka kiwandani na siyo used kama train zilizo nunuliwa mitumba.
 
Back
Top Bottom