britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Kenya toka enzi na enzi.
Hata wakati wa uchaguzi mkuu I told them Sikumsapot kibaki 2007 nilimuunga Mkono Odinga.
2012 nilimuunga Mkono Uhuru, kutokana na Maono ya atakapoifikisha Kenya.
2017 Vile vile Nilimpa sapot Kenyatta.
Baada ya kuona kuwa Kirusi cha siasa za Kenya ni Odinga.
Njia pekee ni Kumficha au Kutumia ile njia ya kutomkamata Mateka, Kenya itatawalika vema.
Matatizo ya Kenya si sababu ya Rutto bali ni Mambo ya Dunia nzima.
#FichaOdingaWakenyaWawenaAmani
Britanicca