Njia pekee ya kuleta amani Kenya ni ku-deal na Odinga bila kudekezwa

Njia pekee ya kuleta amani Kenya ni ku-deal na Odinga bila kudekezwa

Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Kenya toka enzi na enzi,

Hata wakati wa uchaguzi mkuu I told them Sikumsapot kibaki 2007 nilimuunga Mkono Odinga,

2012 nilimuunga Mkono Uhuru, kutokana na Maono ya atakapoifikisha kenya

2017 Vile vile Nilimpa sapot Kenyatta.

Baada ya kuona kuwa Kirusi cha siasa za Kenya ni Odinga

Njia pekee ni Kumficha au Kutumia ile njia ya kutomkamata Mateka, Kenya itatawalika vema,

Matatizo ya Kenya si sababu ya Rutto bali ni Mambo ya Dunia nzima

#FichaOdingaWakenyaWawenaAmani

Britanicca
Odinga siyo fala , anatafunwa kidogo na laana ya kusapoti Magufuli
 
Ku deal na Odinga ni sawa na kuchezea korodani zako mwenyewe. Hakuna amani Kenya km Odinga atakuwa mahabusu huu ndiyo ukweli. Ukitaka kuisambaratisha Kenya chezea korodani za huyo Mzee, watu watagawana mbao mapeeema.
 
Kama mbowe alivyotupwa ndani kwa ugaidi karudi uraiani mpole asali pomoni
 
Ku deal na Odinga ni sawa na kuchezea korodani zako mwenyewe. Hakuna amani Kenya km Odinga atakuwa mahabusu huu ndiyo ukweli. Ukitaka kuisambaratisha Kenya chezea korodani za huyo Mzee, watu watagawana mbao mapeeema.
Ninyi ndo mnafikiria kwa kutumia sijui nini akina Mandela wamekaa gerezani hakuna kimetokea ! Hakuna mtu mkubwa kuliko Taifa lolote,

Njia za kumuondoa ni nyingi tu si za kishamba za kupigana risasi nyingine ni Siri za kambi kinafanyikaga nini

Unaonaje ukamsaidia Ruto na Serikali yake kumuondoa Raila.Inaonekana yeye ni kama anamshindwa na kesha anza kumtikisa
 
Ninyi ndo mnafikiria kwa kutumia sijui nini akina Mandela wamekaa gerezani hakuna kimetokea ! Hakuna mtu mkubwa kuliko Taifa lolote,

Njia za kumuondoa ni nyingi tu si za kishamba za kupigana risasi nyingine ni Siri za kambi kinafanyikaga nini

Britanicca
Huwezi kulinganisha kuwa kizuizini kwa Mandela wakati wa utawala wa Makaburu na utawala wa Mwaafrika. Unakumbuka mwaka Jana wakati Rais mstaafu, Zuma, wa Africa Kusini alipofungwa jela jinsi raia wa chama chake walivyokiwasha hadi kaachiliwa.

Kenya wakimkamata/kumpoteza kabisa Odinga ujue Kenya haitakalika na lazima Taifa hilo ligawanyike. Kenya Ina historia yake na watu wake ni tofauti sana kitabia na maamuzi. Sio watu wa kilialia bila actions. Pale wimbo ni Aluta continua.
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Kenya toka enzi na enzi,

Hata wakati wa uchaguzi mkuu I told them Sikumsapot kibaki 2007 nilimuunga Mkono Odinga,

2012 nilimuunga Mkono Uhuru, kutokana na Maono ya atakapoifikisha kenya

2017 Vile vile Nilimpa sapot Kenyatta.

Baada ya kuona kuwa Kirusi cha siasa za Kenya ni Odinga

Njia pekee ni Kumficha au Kutumia ile njia ya kutomkamata Mateka, Kenya itatawalika vema,

Matatizo ya Kenya si sababu ya Rutto bali ni Mambo ya Dunia nzima

#FichaOdingaWakenyaWawenaAmani

Britanicca
Piga risasi moja ya kichwa maliza kazi..Misukule yake itapiga vurugu siku chache ila nchi itapata amani ya kudumu baada ya hapo
 
Siasa za Kenya ni zaidi ya vyama vya siasa ndani yake kuna ukabila wa kutisha wa wajaluo na kikuyu. Sio shughuli ndogo kudeal na Odinga,manake husipopiga mahesabu vizuri unaamsha vita ya Kikuyu na Wajaluo.
 
Kwanza lazima ujue historia ya Kenya na Odinga kabla ya kushauri njia za kuondokana naye.Die hard supporter wa Odinga ni almost nusu ya wakenya wote.Pia ikumbukwe wanasiasa wengi wa kizazi hiki Kenya wamepita mikononi mwa Odinga.Neno BABA Kenya linamaana kubwa.Ukitaka kusambaratisa Kenya basi tumia njia za kibabe.Njia pekee labda nikumwomba Mungu amchukue naturally.😀😀😀
 
Ujinga ni kipaji,
Fuatilia alichosema Rais Ruto kanisani baada ya Upinzani kutangaza maandamano.
Nanukuu "Naomba watupatie Ratiba sahihi ya maandamano yao kuwa yataanza lini na yataisha lini ili niwapatie ulinzi wa kutosha na pia nashauri waandamane kila siku usiku na mchana" sasa wewe unakereka nini wao wakiandamanq nchini kwao?

Ruto mwenyewe ni mfuasi wa Raila...Kenya hawako Mataira kama waTanzania ambao mtu mmoja anaweza kuwachezesha Gere anavyotaka.
Punguzeni ujinga.
 
Back
Top Bottom