Kwanza kabisa, Ku_deal na Rails kwa kumuondoa kabisa in wazo ambalo halipo. Akuguswa tu, patakuwa hapatoshi hapa Kenya, na sio utani.
Pili, siasa za Raila zinahujumu siasa za Ruto za Bottom-Up. Kipindi cha kampeni, Ruto alisema akishaapishwa na kuweka Biblia chini, atashughulikia mfumuko wa bei ya vyakula, ataomdoa ruzuku kwenye mafuta na unga, hatakopakopa nje, atapumguza matumizi na ya kuwa bei ya juu ya bidhaa kipindi kile ni kwa sababu ya handshake (kumbuka vita vya Ukraine/Russia). Sasa ahadi zake zote zinamtokea puani.